Pages

This is default featured slide 1 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by Lasantha Bandara - Premiumbloggertemplates.com.

This is default featured slide 2 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by Lasantha Bandara - Premiumbloggertemplates.com.

This is default featured slide 3 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by Lasantha Bandara - Premiumbloggertemplates.com.

This is default featured slide 4 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by Lasantha Bandara - Premiumbloggertemplates.com.

This is default featured slide 5 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by Lasantha Bandara - Premiumbloggertemplates.com.

Monday, July 30, 2012

BUSTA RHYMES ANAMPANGO WA KUTOA ALBUM


Busta Rhymes ana mpango wa kutoa Album yake nyingine inayofahamika kama YEAR OF THE DRAGON ambayo itapatikana kwenye Google Play BURE

Kwa mujibu wa maneno yake, album hii haihusiani na Cash Money ila itamshirikisha kiongozi wake Lil Wayne.

 Akiweka msisitizo, Busta Rhymes a.k.a King Tut alisema, "Hii ni Album yangu ya Google, na atapewa kila mtu bure".
 
Busta Rhymes aliendelea mwaga info akisema, "Sababu iliyotufanya tuamue kumpa kila mtu bure ni moja, Google Play ni mahali ambapo itapatikana. 

Hivyo ikitoka, ambayo ni wiki ya pili ya Agosti na utapata tarehe husika siku chache zijazo.

 Ni muhimu kwenda na kuipata huko kwa sababu ndio sehemu pekee utakapoipata BURE " alisema King Tut.
Zaidi ya Lil Wayne, album hii pia itamshirikisha MMG Boss Rick Ross na wengine wengi.

 " Tuna Tunechi, tuna Rick Ross, Robin Thicke, Maino and Anthony Hamilton kwenye wimbo pamoja, Gucci Mane, tuna Reek Villain na J-Doe", alisema Busta kwenye 106 & PARK.

Mshindi wa TUSKER PROJECT FAME 2012 ni RUTH kutoka NAIROBI-KENYA

Pichani: Ruth mshindi wa kwanza
 
Age: 26 Years Old
Country: Kenya

I am a 26 year old lady born in the Western part of Kenya.
I love music and I believe that I will die doing music because that is my passion. Aside from being a passion, I know it is a gift I got from God. It keeps me going through life's issues.
Through music, I get to express myself easier and better.

However, I want to use my music as a tool to speak to the voiceless out there. People who cannot speak for themselves yet they have a lot that they would want to share with the rest of the world.

I am currently participating in the Tusker Project fame music competition and I am enjoying every bit of it despite the few surprises that come with it. I love God and I thank Him for the gift.

 Pichani: Doreen mshindi wa pili

Age: 21 Years Old
Country: Kenya

Purple Diva is what they call me. Doreen Naira is the name my parents gave me... I am a lover of art, a student of nature, a poet and a girl that is crazy about the color purple...but above all these, I am a music fanatic. I come from Kenya, the closest place I know to the mythical land of milk and honey.

I am no scientist; in fact, I believe music makes the earth go round. I am a spirited singer (music is bigger than me, than you and its greater than us all) music is not what I do it is who I am, it is through music, I believe, that I can tap into my reservoir, and give to human kind the best of me.
It’s a unifying factor that makes us come together and bring out the best in us... Try as we may, we cannot live without music (at least I can’t)

I want them to remember me, and when I am gone... I don’t want them to say much... Just that I was here," and boy, did she sing her heart out!" I will feel that I lived my life, and lived it well.

Much love
Doreen xoxox

Pichani: Jackson mshindi wa tatu 
 
Age: 25 Years Old
Country: Rwanda

Hi I am Jackson, I am a performing artist from a beautiful country; they call it the land of a thousand hills. I am the fourth of six children and I love my mother. She always told me that if I loved something, I should do it wholeheartedly.

Since my childhood ,I have loved music....it is my greatest passion. I believe that music has power, it inspires me. To all my fans, my music is like the spirit...it unites the body to the soul. It is good for us to know our fellow men while on earth, since the heart has a lot of secrets it hides....God gave man the ability to compose and perform music...so that we can share what is in our hearts.

Jackson

Pichani: Joe mshindi wa nne
Age: 24 Years Old
Country: Burundi

hellowz
Its Joe Irankunda aka Kiki in the Tusker Project Fame Academy.....


I am from Burundi with the current help of the best East African faculty of Tusker Project Fame I’m on my way too being a singer by career! I have been singing since I was 5 years old and i would like to thank God for giving me this amazing talent that I’m learning to use skillfully every day. I’m enjoying my time here and loving it.

I’m a caring gentleman with a natural trait of a considerate person, I care about people and I’m always compelled to make you feel better by singing to you.

To my homies, my mom, and my beloved brother thank you for believing me. I want to be with you all, but until then, I enjoy singing for you!

Yours always Joe.
Habari kwa hisani ya DJ CHOKA BLOG

Ben Pol alijua ‘Baadaye’ ya Ommy Dimpoz itakuja kuwa hit



Mara nyingi wasanii hupata fursa ya kusikiliza nyimbo za wenzao zinapokuwa kwenye hatua ya kutayarishwa.
Ben Pol aliusikia wimbo wa Ommy Dimpoz kabla hata ya kutoka na kumwambia kuwa utakuja kuwa tishio.
‘Unakumbuka niliwahi kukuambia kuhusu 'Baadae ,ona bro ,sasa nchi yote inaimba 'Baaadaeee eeeh'...hongeraaaa!!!,” ametweet Ben Pol kumwambia Ommy Dimpoz.
“Nakumbuka broo thanxxx,” alijibu Ommy.
Baadaye ni wimbo wa pili wa Ommy Dimpoz kufanya vizuri baada ya kuhit pia na wimbo wake wa kwanza, Nai Nai aliofanya na Ali Kiba.
Katika hatua nyingine Ben Pol amekuwa msanii wa kwanza Tanzania kuzungumzia habari ya msanii maarufu wa Marekani Frank Ocean kujitangaza kuwa ni shoga.
“Frank ocean anatuweka watu kwenye wakati mgumu ,ametoa album kali huku amejitangaza kuwa yeye ni gay ,kumuacha kumsikiliza nayo ni ishu,da!” amesema.
Hata hivyo hitmaker huyo wa ‘Nikikupata’ na mshindi wa tuzo za Kili, anaamini kuwa scandal hiyo haimpunguzii uwezo wake katika muziki.
“Haishushi ,ila bado wabongo sisi hatuwaelewi mashoga (mimi mbongo pia) ,ameni-dissapoint kidizain flani ,ila he's a gud singr/writer.”
Album ya Frank Ocean, Channel Orange ilikamata nafasi ya pili kwenye chart ya Billboard 200 na nafasi ya kwanza kwenye Billboard R&B/Hip-Hop Albums chart, kwa kuuza kopi 131,000 katika wiki ya kwanza.
Habari na LEOTAINMENT

Sunday, July 29, 2012

NEW TRACK: Momba & Juma Nature - Mdundiko

Mambo niaje ndg zangu??poleni na mfungo mtukufu wa ramadhani..!!hii ni ngoma mpya ya MOMBA ambayo safari hii kamshirikisha JUMA NATURE ngoma hii inaitwa MDUNDIKO.imefanywa na producer MAZOU kutoka MAZOU RECORDS.

Tunategemea sapoti yako sana hasa ukiwa kama mdau wa muziki wetu wa kitanzania..momba ni msanii ambaye ana rekodi kadhaa nyuma ambazo ni dar es salaam,gari,mimi sio sharobaro na kabwela...

+255 714 885380 MOMBA.
Na DJ CHOKA BLOG

YUZZO - NEVER RUN AWAY (Official Video)

 
NA Dj CHOKA

Picha: Jason Derulo akiperform nchini Rwanda


Jana mwanamuziki wa Marekani Jason Derulo alitumbuiza kwenye uwanja wa Amahoro nchini Rwanda kwenye fainali za shindano la Primus Guma Guma SuperStar. 

      Hizi ni baadhi ya picha za show hiyo.
 

 
 
Picha na LEOTAINMENT

Keko asainishwa na Sony BMG Africa



Tuliliona hili linakuja mapema mno kutokana na uwezo wa rapper huyu. Hatimaye kweli imekuwa hivyo. Rapper wa kwanza wa kike nchini Uganda kupenya kwenye mainstream, Keko amekula mkataba na record label ya Sony BMG Africa.

Keko amekuwa akiwasiliana na Sony BMG Africa na amekuwa akifunga safari za hapa na pale kwenda Afrika Kusini kuzungumzia mchongo huo. Habari njema ni kuwa rapper huyo anayetamba sasa na ngoma ‘Make You Dance’ amechukuliwa rasmi.

Kwa sasa Keko anajiandaa kufanya collabo na msanii wa Afrika Kusini Toya Delazy ambaye naye yupo chini ya Sony.

Keko anaungana na mkenya Xtatic aliyesainishwa hivi karibuni na label hiyo pamoja na Rose Muhando ambaye alichukuliwa mwaka jana.
 
Habari na LEOTAINMENT.

Rachel K wa Uganda kujaribu bahati American Idol ijayo



Mwanamuziki wa Uganda Rachael K amepanga kujaribu bahati yake kwenye mashindano ya American Idol mwaka huu.

Tayari ameshajiandikisha kwenye shindano hilo na yupo tayari kumface jaji mpya wa mashindano hayo, Mariah Carey.

July 19 kupitia ukurasa wa Facebook aliandika: “American Idol auditions tomorrow in Oklahoma City!??! Heading to registration now!!!

Kutokana na status hiyo watu wengi wa Uganda na kwingine walimtakia kila lakheri katika safari hiyo.

Kwa hisani ya leotainment

Thursday, July 26, 2012

Ushahidi:Diamond si 'mpweke' tena!

Facebook bana raha sana! Haifichi mambo! Ukibadilisha status tu washkaji wanajua! So kumbe Diamond alikuwa mpweke muda wote huo? Kwani yeye na Jokate waliishia wapi?


Tunafahamu wametosana kwa mujibu wa magazeti ya udaku na sio muda mrefu. Lakini kwa picha hiyo hapo juu inaonekana kama kijana alikuwa mpweke kwa muda sasa. Hongera lakini kwa kubadilisha status. Upweke haujawi kuwa mzuri. Ain't no fun when you are lonely!

Na Daily entertainment take away

Godzilla auponda mfumo wa elimu Tanzania



Rapper mwenye swagga za 50 Cent, Godzilla ameukosoa mfumo wa elimu uliopo nchini ambao anadai hautengenezi wataalam. Kupitia mtandao wa Facebook, Godzilla ameandika:

Mfumo wa Elimu Tanzania inabidi ubadilishwe. Elimu ndefu sana na haiko katika kutengeneza wataalam(Experts).

Mfano mtu kasoma hadi darasa la 7 akafeli na mtu aliyesoma hadi Form6 akafeli wote wanakuwa sawa coz hawaajiliwi #so miaka yote imepotea bure.

Zamani kulikuwa hadi na la 4 la mkoloni wazee wakifika la 4 wanamaliza sa hivi aje wazee?!

Fanyeni mfumo mzuri wa Elimu ili tuwe na wasomi wengi.

Mawazo mazuri Godzilla.

Labels