Pages

This is default featured slide 1 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by Lasantha Bandara - Premiumbloggertemplates.com.

This is default featured slide 2 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by Lasantha Bandara - Premiumbloggertemplates.com.

This is default featured slide 3 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by Lasantha Bandara - Premiumbloggertemplates.com.

This is default featured slide 4 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by Lasantha Bandara - Premiumbloggertemplates.com.

This is default featured slide 5 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by Lasantha Bandara - Premiumbloggertemplates.com.

Monday, September 24, 2012

MSECHU KUREKODI NYIMBO NA VIDEO MPYA MAREKANI



Msanii wa muziki wa kizazi kipya nchini Peter Msechu amesema anatarajia kufanya nyimbo na video nchini Marekani.
 
msanii huyo anasema kuwa ataenda nchini Marekani hivi karibuni na hajajua atarudi lini maana atafanya shoo mbalimbali

Msechu alisema hajajua ni nyimbo gani atazifanya akiwa huko ila amepania kufanya mazuri katika shoo zitakazofanyika mjini Washinton Dc, Houston Texas, Chicago, na New York. 
 
“Nimekuja huku kikazi zaidi kufanya shoo na kuandaa nyimbo zangu mpya na video zake” alisema Msechu

“Sijui nitakaa huku kwa muda gani mwaka huu unaweza kuisha au miaka kadhaa yote ni kuandaa mambo mazuri kwa mashabiki zangu” alisema

LADY GAGA AMZIMIKIA MWANAMITINDO WA BONGO









Mwanamitindo maarufu nchini Flaviana Matata ameendelea kung’ara katika fani hiyo baada ya kung’ara katika maonesho ya wiki ya Mavazi ya London, ‘ London Fashion Week’Fraviana ambaye kwa sasa anaishi nchini Marekani kwa shughuli hizo za mavazi, aliwavutia sana wadau wa maonesho hayo hasa mwanamuziki nyota wa kike duniani Stefani Joanne Angelina Germanotta maarufu kwa jina la Lady Gaga
Mwanamitindo huyo anawasisimua wadu wengine wa mitindo wakiwemo watu maarufu duniani na kuendeleza kujizolea sifa na kutangaza jina lake na nchi yake pia, Fraviana amekuwa akishiriki maonesho hayo tangu mwaka 2010 , hata hivyo mwaka huu ameonesha kukomaa zaidi na kuweza kutawala jukwaa hilo

Maonesho ya mavazi mwaka huu yaliwahusisha wabunifu wengine wengi maarufu wa mitindo ambapo mmoja wapo ni Vivenne Westwood Red Label ambaye anatamba duniani, pamoja na kuwepo kwa mbunifu Philip Treaacy naye alifanya mambo makubwa kwenye maonesho hayo yaliyozinduliwa na Lady Gaga

Flaviana alipewa heshima kubwa ya kuvaa jaketi la mwanamuziki aliyekuwa mfalme wa muziki wa aina ya Pop Marehemu Michael Jackson pia livaa mavazi ya wabunifu maarufu kamamMike Fast na Christopher Raeburn

Diddy na Cassie waweka hadharani uhusiano wao






Hatimaye Diddy na Cassie wameweka hadharani uhusiano wao kwa kuonesha jinsi wanavyopendana kupitia akaunti zao za Twitter na Instagram.

Cassie ameweka picha ya bwana yake akiwa kwenye boti iendayo kwa kasi na kwenye instagram na kuandika ‘Love him’.

Baadaye kidogo Diddy naye aliweka picha ya Cassie na kuandika ‘I am very lucky man’
Kuna wale wanaosema kuwa wawili hao tayari wameshachumbiana

Friday, September 21, 2012

ULE MCHAKATO WA VISION RECORD'S WAKUSAKA VIPAJI NJE NA NDANI YA WILAYA YA MAKETE UMEANZA NA FOMU ZA KUJIUNGA ZINAPATIKANA KWA 10,000/=


Uzinduzi wa studio hiyo utafanyika Tarehe 27/10/2012 wakati mgeni rasmi atakuwa Mkuu wa Wilaya Makete Mh. Josephine Matiro na ikumbukwe kuwa watakao kuwa washindi watatu katika shindano hilo la kutafuta vipaji watarekodi bure na kazi zao zitasimamiwa naVISION ENTERTAINMET.

Mawasiliano kwa watakaotaka kuchukua fomu 0755 894 663 & 0657 803 934.

Thursday, September 20, 2012

FILAMU MPYA YA KANUMBA NA JACKLINE WOLPER KUINGIA SOKONI MWEZI HUU

 


Kipenzi cha wengi marehemu Steven Kanumba ataendelea kukumbukwa na fans wake kutokana na kazi zake zinazoendelea kuingia sokoni.

NDOA YANGU ndio jina la filamu mpya ya Kanumba aliyoigiza na star wa kike  Jackline wolper.

Kampuni ya Steps Entertainment ambayo inajihusisha na usambazaji wa filamu za bongo ndio itakayosambaza filamu hiyo ya kwanza mpya kutoka kwa Kanumba toka afariki dunia mwezi April mwkaa huu.

Kama wewe ni shabiki wa Kanumba anza kuitafuta sokoni kuanzia tarehe 28 September 2012 ndio itaingia sokoni.
 
Na leotainment

Diamond Platnumz: Nataka kutengenza ajira kwa vijana wenzangu

 

MSANII wa Kimataifa wa Tanzania, Naseeb Abdul ‘Diamond Platnumz’ amesema amedhamiria kutoa ajira kwa vijana wengi wa kitanzania kupitia muziki huku pia akileta mapinduzi katika sekta hiyo nchini.
 
Diamond ambaye ni msanii ghali zaidi kwa sasa Tanzania, amesema kuna watu wengi wenye vipaji ambao wako mtaani au wako katika sekta nyingine lakini hawajui wafanyeje ili kufikia ndoto zao jambo ambalo linahitaji watu wengine wawasaidie kuwafikisha pale wanapotaka.
“Kuna tatizo ambalo lipo katika mambo ya mitindo, muziki.
 
Watu wengi wanachukulia kama uhuni, wengi wanaona kama kuuza sura, yaani mtu aonekane kwenye video ili apate umaarufu, tunatakiwa kubadilisha mawazo haya, Ulaya hata hapo Afrika Kusini wanaonekana kwenye video wanalipwa.

“Mimi nitawalipa wote watakaonekana kwenye video yangu, tutakapofanya usaili kesho wale watakaochanguliwa watalipwa, lakini pia hii inaweza kuwa ni kufunguliwa milango kwenye sekta nyingine, wapo wanaoweza kuonekana wanafaa kwenye matangazo ya biashara, hawa watapata kampuni ambazo zinaweza kuwatumia.
 
“Katika majaji watakuwepo Raqey Mohammed wa I-View Studios, hawa wanafanya kazi nyingi za matangazo, movie, atakuwepo pia Ally Rehmtulah huyu ni mbunifu anaweza kumuona mtu na akasema huyu anafaa kwa sekta yake, Sammy Cool ni densa na mwalimu hata Missie Popular yeye ni mwandishi na mwanamitindo wanajua wapi kwa kuwafikisha watu wengine’ alisema.
 
Msanii huyo alisema mafanikio aliyo nayo ya kumiliki nyumba, magari na kujulikana kwake yametokana na muziki, hivyo ana uhakika wapo watu wengine pia kupitia yeye na wanamuziki wengine kama yeye wanaweza kufaidika na kufikia mafanikio kama aliyoyapata.

Diamond alisema usaili huo unafanyika kesho  pale nyumbani Lounge kuanzia saa tano asubuhi. Hii ni mara ya kwanza kwa msanii wa nchini kufanya usaili kwa ajili ya watu watakaonekana kwenye video yake.
 
Diamond pia ndiye msanii wa kwanza wa muziki wa kizazi kipya kuandaa shoo yake mwenyewe na watu kulipa kiingilio cha sh 50,000.
 
Diamond alifanya hivyo kwenye onyesho alilolipa jina la Diamond are Forever pale Mlimani City, Dar es Salaam.
 
Na Dj Choka blog

Tuesday, September 18, 2012

Hatimae Nick Minaj Ametangazwa Rasmi Kuwa mmoja wa Majaji American Pop Idol

'American Idol' has finally announced its new judging panel for the upcoming season. They are - Nicki Minaj, Keith Urban, Mariah Carey & Randy Jackson. AI host Ryan Seacrest confirmed on Twitter

Amber Rose Amepost Picha Ikionyesha Mimba yake

Amber Rose just posted this pic on her Instagram profile..

Dogo Janja abadili jina, sasa ni JANJARO



Jumamosi ya September 15, 2012 msanii aliekuwa Tip top na sasa akiwa chini ya Mtanashati entertainment aliyefahamika kama Dogo Janja, alisheherekea birthday yake na alikuwa anafikisha umri wa miaka 18 ambao sasa unamuweka katika kundi la watu wazima.

Kutokana na hilo Mmiliki wa kundi la Mtanashati Ostadh Juma na Musoma ambae ndio msimamizi wake kwa sasa, kupitia kipindi cha Power Jam cha East Africa Radio leo Jumatatu 17th Sept 2012, amesema sasa msanii huyo hataitwa Dogo Janja tena bali jina rasmi atakalotumia ni JANJARO.

Juma na Musoma ameongeza kuwa huo ni uamuzi ambao ulifanywa na Mtanashati kwa kushauriana na Dogo Janja mwenyewe na jina hilo limeanza kutumika rasmi siku hiyo aliyotimiza miaka 18.

Historia inaonyesha kuwa wasanii wengi duniani ambao huwa wanaanza muziki katika umri mdogo sana, huwa wanaanza kwa kutumia majina yanayoashiria udogo wao na baadae huwa wanakuja kuyabadili majina hayo, hasa wanapofikisha umri wa kuwa watu wazima yaani miaka 18.

Baadhi ya wasanii waliowahi kubadili majina yao ni pamoja na Bow wow ambaye hapo kabla alikuwa anatumia Lil Bow wow, mwingine ni Romeo ambaye kabla ya kubadili alikuwa akitumia Lil Romeo.

Kwa hapa bongo tukiachilia mbali Janjaro ambae kabla alikuwa Dogo Janja, mwingine ni Dogo Hamidu ambaye kwa sasa anatumia Nyandu Tozi, na Ditto ambaye hapo mwanzo alikuwa anatumia Dogo Ditto. 

Msanii mwingine ambaye mpaka sasa anatumia jina lake kutokana na umri wake mdogo ni Yule kutoka mwanza anaitwa Dogo Baraka.

ETI FABOLOUS KAM’DISS LIL WAYNE KATIKA NGOMA YAKE MPYA…??


Usiku wa kuamkia jana…mtu mzima Funky Master Flex kwa mara ya kwanza aligonga mkono mpya wa Fabolous unaitwa “So NY”.
Ndani ya mkono huo tayari wajuzi wa mambo wameshaona vijimaneno vinavyomlenga moja kwa moja Lil Wayne..kiongozi wa YMCMB.
Kwenye choras Fabolous anasema “I’m so New York Weezy probably don’t like me” na inajirudia kama mara nne hivi..mbali na kwenye choras lakini pia Fabolous amezungumzia masuala mengine kibao ndani ya ngoma hiyo…kama ishus za Weezy za kukutwa na silaha na mengine mengi..ngoja tusubiri tuone Lil Wayne atajibu nini baada ya kuisikia track yenyewe..??

Fabolous – So NY. kuna Lyrics zinasema
“I’m so New York, Weezy probably don’t like me”

Fabolous – So NY Lyrics
[Intro]:
Best things come to those who wait
It’s time to go get it
[Hook]
I said I’m so New York, Weezy probably don’t like me (x3)
La-dada-da-da-da-daaaa
For my city, emphasis on my city
You got to go to L.A. if your looking for Diddy
You gotta check C.T. if your looking for Fitty
Niggas in Paris, but what about the city?
I’m so N.Y. like the folks who make Playstation
Hope ya’ll enjoyed your summer vacation
I been on that medicine, all y’all sick patients
Time to come for Sugar Hill, word to Ray Nathan
I’m coming for the belt and I stay H’ing
Coming for your Idol, word to Clay Aiken
Pause- in case they take it the wrong way
And bitch nigga always take it the wrong way
Still spitting, I’m the city’s saliva
Want the keys to it like the designated driver
Sometimes I listen to my old rhymes, it feels like I had the fucking keys the whole time
Ain’t gotta give me credit, I take cash
(Broooklyn) Yeah we take cash
Those old niggas trying to live off their old bodies
These young niggas think they killing shit, with no bodies
But this ain’t about old school, new school
Cause my old school look better than your new school
And I drive my new school like my old school
Just to wave at the teachers from my old school
In Flex We Trust I let him do my old schools
The girl used to brain me, you love my old school
Stop playing, you boys grew up on me
I fed you, burped you, until you threw up on it
I gave these niggas style, they never had a Clue
But they heard the freestyles yea they had the Clues
Been doing this a while, probably had your boo
She probably came back had a little attitude
Gun charge, oh yea I had like two
My black lawyer beat them, never had a Jew
I done had a few, never use, had them new
So I’m Pac, in a white suit, I Ain’t Mad At You
No Diddy, no Dupri, no Dr. Dre
No Cash Money from Baby, and no Rocs from Jay
And I’m still here, I’m still here!
I’m so New York that I’m still her
[Hook]
Let me know what you think of the Fabolous So NY Lyrics?

Soon utaisikia hapa hiyo track...

Monday, September 17, 2012

KANYE WEST AMEMUIMBIA MAMA YAKE WIMBO "HEY MAMA"

[Chorus]
(Hey Mama), I wanna scream so loud for you, cuz I'm so proud of you
Let me tell you what I'm about to do, (Hey Mama)
I know I act a fool but, I promise you I'm goin back to school
I appreciate what you allowed for me
I just want you to be proud of me (Hey Mama)

[Verse 1]
I wanna tell the whole world about a friend of mine
This little light of mine and I'm finna let it shine
I'm finna take yall back to them better times
I'm finna talk about my mama if yall don't mind
I was three years old, when you and I moved to the Chi
Late December, harsh winter gave me a cold
You fixed me up something that was good for my soul
Famous homemade chicken soup, can I have another bowl?
You work late nights just to keep on the lights
Mommy got me training wheels so I could keep on my bike
And you would give anything in this world
Michael Jackson leather and a glove, but didn't give me a curl
And you never put no man over me
And I love you for that mommy cant you see?
Seven years old, caught you with tears in your eyes
Cuz a nigga cheatin, telling you lies, then I started to cry
As we knelt on the kitchen floor
I said mommy Imma love you till you don't hurt no more
And when I'm older, you aint gotta work no more
And Imma get you that mansion that we couldn't afford
See you're, unbreakable, unmistakable
Highly capable, lady that's makin loot
A livin legend too, just look at what heaven do
Send us an angel, and I thank you (Hey Mama)

[Chorus]

[Verse 2]
Forrest Gump mama said, life is like a box of chocolates
My mama told me go to school, get your doctorate
Somethin to fall back on, you could profit with
But still supported me when I did the opposite
Now I feel like it's things I gotta get
Things I gotta do, just to prove to you
You was getting through, can the choir please
Give me a verse of "You, Are So Beautiful To Me"
Can't you see, you're like a book of poetry
Maya Angelou, Nicky Giovanni, turn one page and there's my mommy
Come on mommy just dance wit me, let the whole world see your dancing feet
Now when I say Hey, yall say Mama, now everybody answer me (Hey Mama)

[Chorus]

[Bridge]
I guess it also depends tho, if my ends low
Second they get up you gon get that Benzo
Tint the windows, ride around the city and let ya friends know (Hey Mama)

[Verse 3]
Tell your job you gotta fake em out
Since you brought me in this world, let me take you out
To a restaurant, upper echelon
Imma get you a jag, whatever else you want
Just tell me what kind of S-Type Donda West like?
Tell me the perfect color so I make it just right
It don't gotta be Mother's Day, or your birthday
For me to just call and say (Hey Mama)

[Chorus (with variations)]

Beyonce ashangazwa na jinsi watu wanavyomsema vibaya mwanae



Beyonce akiwa na mwanae Blue Ivy wakati walipokuwa likizo nchini Ufaransa hivi karibuni

Beyonce anadaiwa kushtushwa na maoni yanayotolewa na watu kwenye mtandao kuhusu binti yake Blue Ivy.
Muimbaji huyo amekuwa akifanya mambo chini chini tangu ajifungue mtoto wao wa kwanza na mume wake Jay-Z January 7 mwaka huu, lakini amekuwa akifuatilia namna watu wanavyoizungumzia familia yake.

Wanandoa hao walipost online picha za kwanza za Blue wiki iliyopita ambapo pamoja na kuwepo na maoni ya watu wanaoitakia heri familia hiyo, kumekuwepo na maoni yasiyopendeza dhidi yao.

“Someone better kill off that baby,” mtu mmoja aliandika kupitia Twitter huku mwingine akisema: “What an ugly-ass baby.”

Bey na Jay pia wamekuwa wakishambuliwa kiubaguzi wa rangi na chanzo kilicho karibu nao kimesema wanashangazwa na jinsi baadhi ya watu wanavyowachukulia.
 
“BeyoncĂ© is horrified by all the hate. 

It ranges from racism and foul language to questioning who the father is. Luckily there have been loads more saying how beautiful the baby is,” kilisema chanzo hicho.

Nas na Kelis warudiana?




Nas na Kelis wanaweza kuwa waliachana kwa talaka mbaya miaka mitatu iliyopita lakini inaonekana kama siku za uaudui zimekwisha.

Wawili hao walionekana kwenye chakula cha usiku pamoja wiki iliyopita na sasa wameonekana wakiwa pamoja na mtoto wao wa kiume Knight huko Santa Barbara.

Picha hizo zilichukuliwa na wapiga picha wa TMZ.
Nas na Kelis wakiwa na mtoto wao Knight

Hata hivyo wanandoa hao wa zamani wamekuwa wakisisitiza kuwa wao ni marafiki tu na wameamua kupatana kwa manufaa ya Knight.
Pia albam ya Nas, Life Is Good inazungumzia uhusiano na ndoa yake na Kelis ambayo huenda imefanya wawe karibu tena.

Labels