Pages

This is default featured slide 1 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by Lasantha Bandara - Premiumbloggertemplates.com.

This is default featured slide 2 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by Lasantha Bandara - Premiumbloggertemplates.com.

This is default featured slide 3 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by Lasantha Bandara - Premiumbloggertemplates.com.

This is default featured slide 4 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by Lasantha Bandara - Premiumbloggertemplates.com.

This is default featured slide 5 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by Lasantha Bandara - Premiumbloggertemplates.com.

Friday, November 30, 2012

BRAND NEW MUSIC;-CHARLZ B - SHENDELLE

Song Details:-

Artist : Charlz B

Song : Shendelle

Producer : GQ

Studio : Digital Vibes

Special Thanks to : SAB Multimedia / Digital Vibes
                       ;- You All For Publishing The Track, Reading The Track Name, Listening To It, Downloading It And Distributing it to others.

The attached is an Audio Track from a new artist (His First Track ever to be released)          
It has a message concerning AIDS.  
Short Story (Not Actual Facts) :
He had an affair with someone and she was not faithful to him, later days his health was getting worse, he then decides to go for a check up and its was found out that he was HIV +ve.

GihCue
Tha TownXon
+255657659969

Waliomkata vidole na kumuibia vitu Sharo Milionea baada ya ajali wakamatwa.



Watu wanne wamekamatwa na Jeshi la Police kwa tuhuma za kumkata vidole na kumuibia marehemu Sharo Milionea baada ya kupata ajali ya gari na kupoteza maisha.

Kwa mujibu wa website ya thisisdiamond.com watu hao wamekutwa na vitu alivyokuwa navyo marehemu Sharo Milionea kama vile
T-shirt, Viatu, Simu ya mkononi, Pete, Cheni, Tairi moja la gari , pamoja na Battery la gari ambalo marehemu alipata nalo ajali.

Taarifa za awali zinasema watuhumiwa hao walikuwa sita lakini wamekamatwa wanne hadi sasa, na jeshi la Polisi linaendelea kuwasaka watuhumiwa wawili.

Inasemekana watu hao waliamua kumkata vidole marehemu baada ya kushindwa kumvua pete.
Hata hivyo jeshi la polisi bado halijatoa taarifa rasmi kuhusiana na kukamatwa kwa watu hao.
 

CHECK OUT NA NYIMBO KUMI KALI ZA WIKI 30/11/2012 (REDIO KITULO FM)

10;-My Everything - Ali Kiba
09;-Si kosa lake - Empowerment Music Group (E.M.G)
08;-Leo leo - Lawize
07;-Soma Ule (SU) - Afande Sele
06;-Niache kidogo - Nick II,G nako & Joh Makini
05;-Let Me Go - Keko
04;-Moro moro - Stamina
03;-Nataka kulewa - Diamond Platnumz
02;-Me & U - Ommy Dimpoz ftn Vanessa Mdee
01;-Nipende - Mr Blue ftn Walter Chilango

HAYA NDIO MAFANIKIO YA PRODUCER TUDDY THOMAS

Najua nikizungumzia ma producer wakali katika tasnia hii ya muziki hapa bongo basi Tudd thomas atakuwa katika list yangu,sasa leo baada ya kuchonga naye aliweza kunieleza siri ya mafanikio yake katika muziki wa hapa bongo.
 
Alisema  kwamba katika maisha yake atosahau kitu kinachoitwa ngoma kwani alieleza hizo ndizo zimemfanya hii leo kujulikana katika tasnia ya muziki hapa nchini.

KUNDI LA EMPOWERMENT MUSIC GROUP KUTOKA MAKETE KESHO KATIKA SIKU YA MAADHIMISHO YA SIKU YA UKIMWI DUNIANI KUTOA ELIMU KWA NJIA YA NYIMBO


Ikiwa kesho Tarehe 1/12/2012 ni Maadhimisho ya  Siku ya ukimwi Duniani Kundi la Muziki kutoka  Katika Wilaya ya Makete la EMPOWERMENT MUSIC GROUP (E.M.G) litatoa Elimu kuhusu UKIMWI kupitia Nyimbo zao mbili ambazo ni Mapenzi na Shule & Si kosa lake,Pia wasanii wengine watakao husika watatoka SUMASESU.

Kiwilaya maadhimisho hayo yatafanyika katika Kata ya Ikuwo iliyopo Wilayani Makete

BEEF;50 ASEMA FRENCH MONTANA HAWEZI KUSHINDANA NA LEVEL ZAKE.....


50 Cent kwasasa ameachia new track "My Life" featuring Eminem and Adam Levine, na katika sehem ya  verses zilizomo humo ndani 50, ametumia maneno makali dhidi ya member wa zamani wa G-Unit ,Game na Young Buck,akiashiria hakuna love kati yao..lakini pia ameendeleza vita ya maneno dhidi ya rapper kutoka Bad Boys  French Montana..

Katika interview  alioifanya 50 kuhusu MoNtana amesema " anaendesha mdomo wake kitoto,hayuko tayari kushindana na mimi katika Level yoyote ,nikiachia ngoma inakuwa yakwanza kimauzo ndani ya masaa 24,
Hayo ni majigambo ya 50 dhidi ya French Montana.
Na;- swahiliinfo

MTIKISIKO 2012..."Ndo Vileeee....!!!" GRAND FINALE IRINGA TOWN....


 Shamrashamra za MTIKISIKO 2012 "Ndo Vileeeee...!!!" zikiwa zinaendelea....na tukiwa tumemaliza lile tamasha kubwa la "ASANTE TANZANIA" kutoka kwa muigizaji wa filamu TANZANIA...Juma Kilowoko aka SAJUKI na mkewe WASTARA kwenye viwanja vya SAMORA wiki iliyopita....wiki hii ni GRAND FINALE ya MTIKISIKO 2012 itarindima palepale kwenye viwanja vya SAMORA...kuanzia saa 12 jioni mpaka 'the next day' kwa buku tano tu kama ukinunua tiketi mapema na buku saba mlangoni...hii ni list na wana watakaoonekana on stage......


BABA LEVO

BELLE 9

BOB JUNIOR

D.N.A (KENYA)

DARASA

DAZ BABA

JUMA NATURE

KALA JEREMIAH

IZZO BUSINESS

GANGWE MOBB

MABAGA FRESH

MWASITI

NEY WA MITEGO

PROF JAY

QUICK ROCKA

SUMA MNAZARETI

STAMINA

SOLID GROUND FAMILY

Thursday, November 29, 2012

LIST YA WATAKAO TOA BURUDANI KATIKA SHOW YA MTIKISIKO IRINGA JUMAMOSI DNA NAYE NDANI

 
01;-Stamina
02;-Izzo b
03;-Daz baba
04;-Roma
05;-Mwasiti
06;-Suma Mnazaleti
07;-Mabaga Fresh
08;-Gangwe Mobb
09;-Kala Jelemiah
10;-Prof J
11Quick rocka

Msikilize DNA hapa akizungumzia kuhusu MTIKISIKO 2012

 

SIKU MBILI KABLA YA MTIKISIKO ;CHEKI MAANDALIZI UWANJA WA SAMORA..










CHECK OUT NA BLOG MPYA YA HABARI NA MATUKIO MBALIMBALI



EXCLUSIVE;-UTAMU VIDEO & AUDIO INAKUJIA TAREHE 1 DESEMBA 2012


TAARIFA KUTOKA HATUA MEDIA COMPANY LTD. HAMECO)


HATUA MEDIA COMPANY LTD. HAMECO)



Kutakuwa na Kikao Maalum kwa ajili ya Kuzungumzia Masuala kadhaa ambayo yanatakiwa kufanyika kwa Muda Huu

Wanachama wote wa HAMECO Mnaombwa kuhudhuria hasa kwa Wale ambao Wapo Dar es Salaam. 



Kwa Wale ambao Tuko Mikoani kama kuna uwezekano wa Kuhudhuria, itakuwa Ni Vema zaidi maana Mchango wenu ni Muhimu Zaidi



SIKU YA KIKAO:

Kikao Kitafanyika Siku ya JUMAMOSI ya Tarehe 01 December 2012 



MUDA : Saa 9 : 00 Alasiri



MAHALI : Yombo Vituka, Nyumbani kwao FRANK M. J.



DHUMUNI LA KIKAO :

Kutafakari na Kurejea Maazimio ya @[100002019027935:2048:Kampuni] Ya HAMECO, Pamoja na Kuandaa Mikakati kwa ajili ya Kuiboresha Zaidi Kampuni. 



Tafadhari, unaombwa Kuhudhrioa Bila Kukosa
Kutakuwa na Kikao Maalum kwa ajili ya Kuzungumzia Masuala kadhaa ambayo yanatakiwa kufanyika kwa Muda Huu

Wanachama wote wa HAMECO Mnaombwa kuhudhuria hasa kwa Wale ambao Wapo Dar es Salaam.

...
Kwa Wale ambao Tuko Mikoani kama kuna uwezekano wa Kuhudhuria, itakuwa Ni Vema zaidi maana Mchango wenu ni Muhimu Zaidi

SIKU YA KIKAO:

Kikao Kitafanyika Siku ya JUMAMOSI ya Tarehe 01 December 2012

MUDA : Saa 9 : 00 Alasiri


MAHALI : Yombo Vituka, Nyumbani kwao FRANK M. J.


DHUMUNI LA KIKAO :

Kutafakari na Kurejea Maazimio ya Kampuni Ya HAMECO, Pamoja na Kuandaa Mikakati kwa ajili ya Kuiboresha Zaidi Kampuni.

Tafadhari, unaombwa Kuhudhuria Bila Kukosa


CHECK OUT NA RATIBA YA BURUDANI

Leo Alhamis 29/11/12 Kibao kata, Ijumaa ya kesho 30/11/12 Party ya kumpongeza AY kushinda tuzo ya Channel 0 na burudani + JIDE na Machozi Band, Jumamosi 1/12/12 Grooveback nite na Jumapili 2/12/12 MACHOZI BAND live... Shughuli zote hizi zitafanyika NYUMBANI LOUNGE, Karibuni mpate burudani ya mwisho wa mwezi

Orodha ya wasanii 25 wanaolipwa fedha nyingi zaidi duniani mwaka 2012

Wednesday, November 28, 2012

UJIO MPYA WA IZZE MARTIN NA MILYO HIV KARIBUN


 Yeah!! inakuwaje ndugu hapo mko powa,kipindi hiki ninge penda kuchukua nafasi hii kuwashukuru watu wote kwa support kwenye nyimbo iliyo kuwa  hewani WIMBO WA SEMA MAPEMA. 

Wimbo huo mpaka sasa bado unaendelea kufanya vizuri kwenye Redio na Tv mungu awabariki wote mlio tusupport ...ila kwasasa nilikuwa nafamisha kuanzia leo tuna achia wimbo mpya inaitwa HUU WIMBO UNAMZUNGUMZIA DADA ambaye Hajatulia kwenye mapenzi ngoma kali sana tena sana ..

The Hit Maker wa ngoma ni KARA LEE  kwamala ya pili tuna fanya nae ngoma kali juu ya kali 2naombeni sapoti zenu watu wote 1 love

Zamaradi Mtetema wa Clouds TV afiwa na mama yake mzazi


Zamaradi Mtetema
Mtangazaji wa kipindi cha 'Take One' cha Clouds TV Zamaradi Mtetema, amefikwa na msiba wa mama yake mzazi muda mfupi uliopita, aliyekuwa akisumbuliwa na ugonjwa wa kansa.

Kwa mujibu wa mtangazaji wa Clouds fm Dina Marios ambae ndio chanzo cha habari hizi, kupitia kipindi cha Leo Tena ametangaza kuwa asubuhi ya leo alipokea ujumbe kutoka kwa Zamaradi wenye taarifa za msiba huo. 

Ergonelly.blogspot.com  inampa pole Zamaradi na ndugu wote, wana Clouds Media Group na marafiki wote kwa msiba huo, R.I.P mama.

MAREHEMU SHARO MILIONEA KUZIKWA LEO


                                                           Mama Mzazi wa Marehemu
                                                   
 Nape akizungumza na wananchi waliofika katika msiba huo.

               Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi.
Picha kwa hisani ya Dj Fetty

TANGAZO LA KIFO CHA MTANGAZAJI WA BOMBA FM CLEMENCE MPEPO


 
  KWA MASIKITIKO MAKUBWA UONGOZI WA REDIO BOMBA FM, TUNATANGAZA KIFO CHA MFANYAKAZI WETU CLEMENCE MPEPO "MZEE WA MAKABILA" ALIYEFARIKI USIKU WA KUAMKIA LEO KATIKA HOSPITALI YA TAIFA YA MUHIMBILI. 
KWA TAARIFA ZAIDI TUTAENDELEA KUWAFAHAMISHA JUU YA UTARATIBU WA MAZISHI NA PIA ENDELEA KUSIKILIZA REDIO.

"Tuchangie kiasi cha Pesa ili kuweza kufanikisha Mazishi ya Rafiki Yetu,Ndugu Yetu na JAMAA Yetu CLEMENCE MPEPO ambaye alikuwa Kiungo Muhimu sana kwenye Tasnia ya Habari kwa kupitia namba 0755 729000 kwa njia ya M-Pesa lakin pia waweza kufika Bomba FM Redio sehemu ambayo Msiba upo kwa sasa kabla ya kuelekea DSM kwa Mazishi... au Wasiliana na Ndugu Djfredy Herbet"

BAGHDAD AKAMILISHA NGOMA AMBAYO NI SPECIAL KWA MAREHEMU SHARO MILIONEA

 
Nyota wa muziki wa kizazi kipya na aliye kuwa Mtangazaji wa Redio Clouds Fm si mwingine ni Godpray Kweka maarufu kama Baghdad ameshakamilisha wimbo wake kwaajili ya kumuombea aliye kuwa mwanamuziki na mchekeshaji mwenzake marehemu Hussein Mkiety 'Sharo Milionea' aliyefariki kwaajali ya gari huko Tanga Muhenza tarehe 26/11/2012 majira ya saa mbili usiku

Album ya Rihanna ‘Unapologetic’ yakamata nafasi ya kwanza kwenye chart za Billboard



Album mpya ya Rihanna ya  Unapologetic
yakamata nafasi ya kwanza kwenye chart za albam 200 za Billboard.

“Unapologetic,” iliyokamata nafasi ya kwanza pia kwenye iTunes katika nchi 43 ikiwa masaa tu tangu itoke November19, iliuza kopi 238,000 kwa mujibu wa Billboard.

Wimbo wa kwanza kutoka kwenye albam hiyo, “Diamonds” upo kwenye top five ya Billboard Hot 100 wiki iliyopita na kuwa single ya 12 ya Rihanna kuwahi kukamata nafasi ya kwanza.

Albam hiyo imefanyiwa promotion ya uhakika na Rihanna aliyefanya ziara ya siku saba kwenye majiji saba duniani kote kwa kusafiri na waandishi wa habari pamoja na mashabiki wake.

Labels