Pages

This is default featured slide 1 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by Lasantha Bandara - Premiumbloggertemplates.com.

This is default featured slide 2 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by Lasantha Bandara - Premiumbloggertemplates.com.

This is default featured slide 3 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by Lasantha Bandara - Premiumbloggertemplates.com.

This is default featured slide 4 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by Lasantha Bandara - Premiumbloggertemplates.com.

This is default featured slide 5 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by Lasantha Bandara - Premiumbloggertemplates.com.

Friday, August 31, 2012

KALALA KUANZA KAZI RASMI LEO HII.

 Kalala akiwa na Kiongozi msaidizi wa Twanga Pepeta Saleh Kupaza siku ya kutangazwa kwake.

Mwimbaji nyota wa muziki wa dansi, Kalala Junior aliyehamia katika Bendi ya African Stars "Twanga Pepeta" Ijumaa hii tarehe 31 mwezi huu anataraji kuanza kazi rasmi katika bendi yake hiyo mpya.

 Akiwa na warembo wa Twanga Pepeta wanaounda safu ya mbele ya wanenguaji.

Kalala ataanzia rasmi kufanya kazi katika ukumbi wa Mzalendo Pub uliopo katika Jengo la Millenium Tower lililopo maeneo ya Makumbusho Jijini Dar es salaam. 
 
Jumamosi itakuwa zamu ya ukumbi wa nyumbani wa Mango Garden na Jumapili atamalizia Leaders Club Kinondoni mchana kuanzia saa nane.

Picha ya Siku: Diamond na mama yake, sasa na enzi akiwa mdogo

Uvaaji wa mrembo huyu wamshtua Jose Chameleone, aibu!

Ladies Pleeeeeeese! this is too much!
Hapa ni kama Jose anataka kumkacha hivi huyu mrembo!

MWANAUME NA MWANAMKE WAFUPI DUNIANI WAKUTANA





Kwa mara ya kwanza katika historia, Mwanaume mfupi na mwanamke mfupi duniani wamekutana, Mwanaume mfupi anayeitwa Chandra Bahadur Dangi mwenye miaka 72 anatokea Nepal anaurefu wa inchi 21.5 na Mwanamke mwenye miaka 18 Jyoti Amge anatokea Nagpur India anaurefu wa ichi 25.
 
Ilikuwa ni katika kupiga picha kwa ajili ya promo ya maandalizi ya kitabu cha Guiness World Records kitakachotoka Septemba 2013.

BEN POL ASITISHA KUFANYA COLLABO


 
 Ben Paul
Msanii anayeondoka na style za Rnb hapa bongo huyu si mwingine namzungumzia  Ben pol.

Msanii huyu amesitisha kufanya collabo na wasanii mpaka amalize project ya nyimbo yake inayofahamika kwa jina la Pete.kwani ameeleza kwamba utakuta anatumia muda mwingi sana katika kufanya collabo na wasanii wa hapa nchini na hicho ndicho kinachomfanya asimalize project zake. 

kwa hiyo amesitisha kwanza mpaka amalize project yake ya pete ndipo atachukua uamuzi wa kufanya collabo na wasanii.

Hayo ndiyo maneno ya Ben Pol akifunguka kuhusiana na sababu za kutokufanya collabo.

TRACK LIST YA LUPE FIASCO ALBUM MPYA YA “FOOD & LIQOUR 2” GREAT AMERICAN RAP ALBUM PT.1



Mkali kutoka Obama Land nchini Marekani Hip Hop figure Lupe Fiasco ameonyesha Track list ya ngoma zinazopatikana katika album yake ambayo bado ipo store na inatarajiwa kutoka Septemba 25. Wiki mbili zilizopita mkali huyo ameachia video ya ngoma “B*tch Bad” na “Battle Scars” akiwa na Sebastiana ilianzia kwenye mitandao. Katika ngoma yake aliyoiachi hivi karibuni ya “Battle Scars” Fiasco anawaambia watazamaji wazime kompyuta zao na watoke nje wakafanye kitu kinachoweza kuibadilisha duniania.

Hii ndo Tracklist ya Album ya Mkali Lupe Fiasco

1. Ayesha Says (Intro)

2. Strange Fruition (feat. Casey Benjamin)

3. ITAL (Roses)

4. Around My Way (Freedom Ain’t Free)

5. Audubon Ballroom

6. B*tch Bad

7. Lamborghini Angels

8. Put Em Up

9. Heart Donor (feat. Poo Bear)

10. How Dare You (feat. Bilal) 11.

11. Battle Scars (with Guy Sebastian)

12. Brave Heart (feat. Poo Bear)

13. Form Follow Function

14. Cold War (feat. Jane $$$)

15. Unforgivable Youth (feat. Jason Evigian)

16. Hood Now (Outro)

17. Things We Must Do For Others

LEO NDANI YA NEW MSASANI CLUB SANTURI DARAA (5) KWA PAMOJA ZINAZINDULIWA

Wednesday, August 29, 2012

Tuhuma za T.I.D za Kutaka Kumuua Ally Kiba


Ally Kiba na T.I.D

Kwenye U heard ya XXL Clouds Fm august 28 2012 Gossip Cop Soudy Brown ameripoti kwamba kuna mwanamke aliekamatwa na Polisi na kuhojiwa kwa saa nane wakati akiwa kwenye mipango ya kumuua msanii wa bongo fleva Ally kiba.

Baada ya kuhojiwa na polisi kwa saa nane, mwanamke huyo alikiri kwamba alitumwa na T.I.D kwenda kumuua Ally Kiba.

Alipohojiwa na Soudy Brown, T.I.D amesema “kwa nini nimuue Ally Kiba bwana, si mtu wangu nampenda kabisa bwana, kweli sasa hivi niko polisi kwa ajili ya kuhojiwa, nilikua safari, nimerudi sasa sijui mwanamke gani anaweza kufanya hivyo, siwezi kufanya hivyo, kwa sababu gani? toka nimezaliwa sijawahi kugombana na Ally Kiba, ukibisha muulize mwenyewe kama ameshawahi kukorofishana na mimi,nia ya hao watu ni kuniangusha mimi nionekane ni mtu mbaya nisiuze mziki wangu nisipendwe”

Soudy alipomtafuta meneja wa Ally Kiba alijibiwa “hakuna taarifa zozote ambazo ziko tayari kutolewa kwenye vyombo vya habari sasa hivi  lakini ikiwa tayari utakua wa kwanza kujua”

Diamond Kupiga Show kubwa Marekani Tarehe 01 Sep 2012


KWA MARA YA KWANZA KABISA NDANI YA MAREKANI..DIAMOND LIVE IN WASHINGTON DC JUMAMOSI HII TAREHE  1 SEPT!
VIP  TABLES ZINAUZIKA KWA KWASI....PIGA SIMU HIZI :
        DMK # 301-661-6207 ....J&P # 240-605-1870

P-Square waongoza nominations za tuzo za Headies, Camp Mulla nao wamo



Jana waandaaji wa tuzo za Headies 2012 za nchini Nigeria, jana wametoa majina ya wasanii watakaowania tuzo hizo.

Mapacha wa P-Square wameongoza kwa kuwa na nominations nyingi zaidi.
Camp Mulla wa Kenya wamekuwa wasanii pekee kutoka Afrika Mashariki waliotajwa kwenye tuzo hizo kwenye kipengele cha AFRICAN ARTIST OF THE YEAR.
Camp Mulla
Hii ndio orodha yote

ALBUM OF THE YEAR

Everybody Loves Ice Prince- Ice Prince Zamani
The Invasion- PSquare
Super Star- Wizkid
Super C Season- Naeto C

ARTIST OF THE YEAR

Psquare
Wizkid
Ice Prince
Naeto C
DBanj

SONG OF THE YEAR

Chop My Money- Psquare feat. Akon & May D
Dami Duro- Davido
Oliver Twist- Dbanj
Gaga Crazy- Chuddy K
Kukere- Iyanya

RECORDING OF THE YEAR

Stupid Song- Bez
Private Trips- Wande Coal
I Love You- Praiz
Ara- Brymo

PRODUCER OF THE YEAR

Cobhams Asuquo- Stupid Song (Bez)
Tee Y Mix- Super C Season (Naeto C)
Shizzy- Dami Duro (Davido)
J Sleek- Private Trips (Wande Coal)
Jesse Jags – E.L.I (Ice Prince Zamani)

BEST MUSIC VIDEO (AWARD GOES TO DIRECTOR)

5 & 6 (Naeto C)- Clarence Peters
Chop My Money Remix (Psquare feat May D & Akon)- Jude Engees Okoye
Ara (Brymo)- Aje
Kosorombe (DIPP feat Da Grin)- MEX

BEST R ‘N’ B SINGLE

Private Trips- Wande Coal
Stupid Song- Bez
N.A.W.T.I- Olu Maintain
Sound Track- May D
Love Me (3x)- Tiwa Savage

BEST POP SINGLE

Dami Duro- Davido
Oliver Twist- Dbanj
Gaga Crazy- Chuddy K
Chop My Money- Psquare
Kukere- Iyanya

BEST R ‘N’ B/ POP ALBUM
Superstar- Wizkid
Super Sun- Bez
Versus- 9ice
The Invasion- Psquare

BEST RAP SINGLE

Too Much Money- Iceberg Slim
Shutdown- Phyno
Angeli- Vector feat. 9ice
OMG (Oh My Gosh)- Yung6ix
Young Erikina- Olamide

BEST RAP ALBUM

E.L.I- Ice Prince
The Dreamer Project- Show Dem Camp (SDC)
Rapsodi- Olamide
Super C Season- Naeto C

LYRICIST ON THE ROLL

Vector- Angeli
Yung6ix- OMG (Oh My Gosh)
Iceberg Slim- Too Much Money
Phyno- Shutdown
Erigga- Mo Street Gan

BEST COLLABO

Chop My Money remix- Psquare feat. Akon & May D
Angeli- Vector feat. 9ice
Carolina- Sinzu feat. Davido
Stupid Song- Bez feat. Praiz
Orobo- Sound Sultan feat. Excel & Flavour

BEST VOCAL PERFORMANCE (MALE)
Wande Coal- Private Trips
Banky W- Low Key
Praiz- Love You
Brymo- Ara
Bez- Stupid Song

BEST VOCAL PERFORMANC (FEMALE)

Tiwa Savage- Love Me (3x)
Chidinma- Kedike
Ijeoma- Oloomi
Waje- Na The Way

AFRICAN ARTIST OF THE YEAR

Sarkodie (Ghana)- Azonto
Camp Mulla (Kenya)- Feel No Pain
D-Black (Ghana)- Get On The Dancefloor
Zahara (South Africa)- Loliwe

BEST STREET HOP


Kaoko Bi Chicken- Reminisce
Gaga Crazy- Chuddy K
Akpako- Terry G
Roll- Rayce
Mo Street Gan- Erigga

NEXT RATED

Davido
Eva (Alordiah)
Praiz
Chuddy K

HIP HOP WORLD REVELATION OF THE YEAR

Wizkid
Ice Prince Zamani
Bez
Timi Dakolo
Olamide

Tuesday, August 28, 2012

MWONEKANO MPYA WA JUX VUITTON

 
 Jux kabadilika kuanzia mavazi mpaka mwonekano

Labels