
MBUNGE
wa Chambani, Salim Hemed Khamis (CUF), ambaye alidondoka jana ghafla
katika mkutano wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa
Kimataifa, amefariki dunia mchana wa leo hii.
MBUNGE wa Chambani, Salim Hemed Khamis (CUF), ambaye alidondoka
jana ghafla katika mkutano wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa
Kimataifa, amefariki dunia mchan huu.
Salim alianguka jana saa
tano asubuhi wakati akihudhuria mkutano wa kamati hiyo, uliokuwa ukifanyika
katika ofisi ndogo za Bunge, jijini Dar es Salaam.
































