Pages

This is default featured slide 1 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by Lasantha Bandara - Premiumbloggertemplates.com.

This is default featured slide 2 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by Lasantha Bandara - Premiumbloggertemplates.com.

This is default featured slide 3 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by Lasantha Bandara - Premiumbloggertemplates.com.

This is default featured slide 4 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by Lasantha Bandara - Premiumbloggertemplates.com.

This is default featured slide 5 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by Lasantha Bandara - Premiumbloggertemplates.com.

Monday, September 30, 2013

NGOMA : LADY JAYDEE FT. SONGA, MKOLONI & NIKKI MBISHI - JOTO, HASIRA RMX



Hii ni Rmx ya ngoma ya Joto, Hasira ya Malkia wa muzki Tanzania maarufu kama Lady JayDee ambayo amefanya na Songa, Mkoloni pamoja na Nikki Mbishi.
                  DOWNLOAD

CHEREKO CHEREKO YA CPWAA KUACHIWA RASMI OCTOBER MOSI 2013



"Chereko Chereko" ni ngoma mpya ya mwanamuziki maaufu kwa jina la Ilunga Khalifa a.k.a Cpwaa "The King Of Bongo Crank", ambayo inatarajiwa kuachiwa siku ya kesho ambayo ni itakuwa October 1.

Cpwaa anatarajia kuachia ngoma hiyo katika radio stations tofauti za hapa nchini pamoja na kwenye Social medias.

Ngoma hii ya Chereko Chereko ambayo imebeba mahadhi ya Afro Dance imefanywa ndani ya Studio ya De Fetality Music chini ya Producer Mensen Selector.

Sunday, September 29, 2013

PICHA SHOW YA DIAMOND ZANZIBAR PICHA,DIAMOND PLATNUM ALIVYOACHA HISTORIA ZANZIBAR,AFANYA SHOW KUBWA SANA






Akizungumza na watu  wa zanzibar ndani ya kituo kikubwa kabisa cha Radio Zanzibar Coconut Radio


Baadae nikakutana na waandishi wa habari ndani ya hotel ya kisasa kabisa,Zanzibar beach lesort

Wanahabari kazini



















ROSE NDAUKA KUJIFUNGUA BILA NDOA

Staa wa filamu za Bongowood, Rose Ndauka ambaye ni mjamzito anadaiwa kuwa atazaa kabla ndoa mwezi Aprili, mwakani. 
Akizungumza na mwanahabari wetu, mchumbaa’ke, Malick Bandawe ambaye ni memba wa kundi la muziki la TNG alianika aya za Kurani kuwa katika Dini ya Kiislamu si ruhusa kufunga ndoa na mwanamke ambaye ni mjamzito kwani ni sawa na kufunga ndoa na watu wawili hivyo anamsubiri ajifungue kwanza. 
“Ni kweli mchumbaa’ngu hivi sasa ni mjamzito na anatarajia kujifungua mapema mwezi wanne, mwakani.
“Kuhusu kufunga naye ndoa kwa sasa ni ngumu hadi ajifungue kwani kwa dini yetu (Uislam) si ruhusa kufanya hivyo lakini atakapojifungua tu tutafunga ndoa,” alisema Malick. 
Malick ambaye hivi sasa anatamba na Wimbo wa ‘Crazy Man’ alisema kuwa ana furaha kubwa kuitwa baba mtarajiwa na anamuomba Mwenyezi Mungu Rose ajifungue salama kwani anampenda kupita maelezo. 
Baada ya kuzungumza na Malick, gazeti hili lilimtafuta mama wa Rose Ndauka, Batuli kufungukia ishu ya mwanaye kubeba ujauzito kabla ya ndoa ambapo aligoma kuzungumza kwani hakubaliani na suala hilo.

PICHA YA RECHO YA NUSU UCHI ALIYOWEKA INSTAGRAM YAZUA MANENO MANENO


Stori: Gladness Mallya


MSANII wa filamu za kibongo, Rachel Haule ‘Recho’ hivi karibuni aligeuka kituko baada ya kutupia picha ya nusu utupu katika mtandao wa kijamii.

Picha hiyo ambayo Recho amevaa shati tupu (inayoonesha ndani) bila kuvaa kitu kingine chochote, aliitupia kwenye mtandao wa kijamii wa Instagram ambapo mashabiki na marafiki zake walichangia huku wakimlaumu kuwa hakufanya vizuri kuiweka picha hiyo ya aibu mtandaoni.

Paparazi wetu alimuuliza Recho kulikoni? Akajibu hivi:
“Nawapenda sana marafiki zangu lakini mimi sijaona tatizo la hii picha kwa sababu ni ya kawaida sana sioni ubaya wake.”
GPL

PICHA ZA UTENGENEZAJI WA VIDEO MPYA YA BABAJONII


 
BABAJONII AKIWA KATIKA MOJA YA SHOT ZA VIDEO YAKE MPYA AMBAYO ITAKUJA KUKICK MJINI MUDA SI MREFU
BABAJONII AKIWA NA MBWA WALIOTUMIKA KWENYE VIDEO YAKE MPYA
BABAJONII KATIKA KAZI

Miss Philippines avishwa taji la Miss World na miss kutoka Ghana awa mshindi tatu. Angalia picha ya tukio jinsi lilivyokuwa

miss world
Miss Philippines  Megan Young mwenye umri wa miaka 23 amevishwa taji la Miss World ambalo limefanyika leo hii huko Indonesia. Megan ni mzaliwa wa Marekani na ana umri wa miaka 23 anasomea mambo ya digital film. Mshindi wa pili ametoka France na watatu kutoka Ghana.

Megan akitoa hotuba ya shukrani baada ya kuvishwa taji na Wenxia Yu wa China ambaye ndiyo Miss World aliyemaliza muda wake leo, Megan ameahidi kuwa miss world bora zaidi ya waliowahi kutokea.
995516_555633037824176_564996907_n
1382107_555683994485747_610847827_n (1)
559837_555611951159618_2054106488_n
1235462_555612107826269_1813106139_n
1375877_555695317817948_68335901_n
1379289_555682527819227_1871897359_n
1382163_555612087826271_124534911_n


Saturday, September 28, 2013

PICHA ZA UTENGENEZAJI WA VIDEO YA POMBE YANGU IMEMWAGIKA YA MSANII ABAGENGE KUTOKA NAIROBI







PICHA NA:-DJ CHOKA

NEW SONG:-YOUNG SUMA - ME NI STAR

Friday, September 27, 2013

BAADA YA KUTOSWA NA DIAMOND SASA MDOGO WAKE DIAMOND ANAYEJULIKAKA KWA JINA LA DOGO S KIDE AMEIMBA WIMBO WA KUMPONDA KAKA YAKE....SIKILIZA WIMBO HUO HAPA....!!!



Ni wimbo ambao unaelezea maisha ya Diamond kabla hajatoka kimuziki.

Dogo aliyeimba inadaiwa kuwa ni Mdogo wake  Diamond ni ndugu yake wa damu kabisa.......Chukua Time kuusikiliza hapa.


Labels