Pages
▼
Wednesday, October 30, 2013
AUDIO | DAMIAN SOUL feat. JOH MAKINI "NI PENZI" Coming Soon
Mkali wa miziki
ya Soul bongo anajulikana kwa jina la Damian Soul anatarajia kuja na
wimbo wake mpya alioupa jina la NI PENZI akiwa amemshirikisha mkali
mwingine wa Hip Hop bongo anayetokea kundi la WEUSI anajulikana kwa jina
la Joh Makini.
Damian anawaomba mashabiki wake wampokee kwa ujio huu
mpya na anaamini hatowaangusha.
Tuesday, October 29, 2013
NGOMA MPYA: BOB JUNIOR FT. VANESSA MDEE - BASHASHA
Ni ngoma mpya kabisa kutoka kwa msanii Bob Junior inayokwenda kwa jina
la "BASHASHA" ambayo amemshirikisha mwanamuziki Vanessa Mdee.
DIAMOND NA DAVIDO WALIPOKUWA STUDIO WAKIREKODI REMIX YA NUMBER 1
Davido akiingiza sauti
Diamond akimwelekeza Davido baadhi ya maneno ya kiswahili aliyoyatumia ndani ya wimbo wa number
VIDEO YA 2030 YA ROMA KUTOKA NOVEMBA 01 2013
Ile video iliyokuwa ikisubiriwa kwa Hamu na Fans wa Msanii anayewakilisha TA Roma Mkatoliki inatarajiwa kuachiwa Rasmi Mwezi Novemba 01 Mwaka Huu.
Taarifa
za Ujio wa Video hiyo zimetolewa na Muongozaji wa Video Hiyo ambaye
alishafanya Video kadhaa kama Listen,Jikubali n.k si mwingine
“Nisher”.
Tunaendelea - Kipande kingine tena hiki hapa tena, cha 2030 ya Roma
Mkatoliki,, wait wait this Friday ni zaidi ya Display katika Screen
yako.
Monday, October 28, 2013
Chris Brown Akamatwa Na Polisi Washington DC
Mwanamuziki wa Pop na
R&B Chris Brown akamatwa leo saa 4:25 a.m. asubuhi (0825 GMT) na
kutiwa mbaroni na Polisi akiwa jijini Washington DC Marekani kwa kosa la
kupigana na mtu ambaye haikujulikana ana uhusiano gani na msanii huyo,
mtu huyo aliyefahamika kwa jina la Christopher Hollosy na yeye pia
alikamatwa na polisi lakini alipelekwa Hospital kwanza.

Chris Brown
ambaye kwa sasa anatumikia adhabu ya kazi za kusaidia jamii kutokana na
kosa la kumpiga aliyekuwa mpenzi wake Rihanna na pia hivi karibuni
kukutwa na hatia ya kugonga mtu na kukimbia jijini Los Angeles ambapo
aliongezewa adhabu ya kusaidia kazi za kijamii kwa muda wa masaa 1000.
Ofisi ya uwanasheria jijini Los Angeles imemshtaki mwanamuziki huyo
kwa kosa la kukwepa kutumikia adhabu yake ambayo Chris Brown anatakiwa
kuitumikia baada ya kupewa ruhusa ya kutumikia adhabu hio nyumbani kwao
Virginia.
Sunday, October 27, 2013
Dk Jose Chameleone ashinda tuzo ya BEFFTA...awabwaga Rihanna na D'Banj.
Jose
Chameleone ameibuka mshindi kwenye tuzo za BEFFTA, tuzo kubwa za Ulaya
kwaajili ya watu weusi ambazo huwatuza watu kwenye burudani, fashion,
televisheni na sanaa.
Chameleone
alikuwa ametajwa kuwania kipengele cha Best International Act na
alikuwa akishindana na wasanii wengine wakiwemo Rihanna na D'Banj.
Tuzo hizo zimetolewa jana Ijumaa na leo Jumamosi pia huko jijini London.
Kupitia Facebook, Chameleone ameandika kuelezea furaha yake baada ya kutwaa tuzo hiyo:
"It's
hard to fully express my gratitude towards all of you who appreciate My
MUSIC, and love AFRICAN music at large. You are the reason I have
managed to add another onto my list and rankings. Am fresh and still
jubilating with you This joyous feeling in me i congratulate my fans
worldwide, we did this together i have just won BEFFTA AWARDS BEST
INTERNATIONAL ACT- DR JOSE CHAMELEONE."
LIVE SHOO YA FIESTA 2013 DAR ES SALAAM NOUMA SANA USIKU HUU


























CREDIT: MICHUZI JR
BAADA YA MITAMBO KUPATA HITILAFU JANA USIKU NA KUSHINDWA KUENDESHA
MITAMBO MIKUBWA; M/KITI WA KAMATI KUU YA SERENGETI FIESTA 2013 KWA NIABA
YA KAMATI NZIMA NA PRIME TIME PROMOTIONS BW. SEBASTIAN MAGANGA AMEOMBA
RADHI SANA NA KUWATANGAZIA WATANZANIA NA KUWAALIKA KURUDI LEO SAA 9
ALASIRI ILI KUWAONA WASANII WOTE AMBAO HAWAKU PERFORM JANA KAMA VILE
DAVIDO, DIAMOND, NAY WA MITEGO, MOHOMBI NA WENGINE.
HAKUTAKUWA NA KIINGILIO CHOCHOTE KWA LEO HII NI BUREEEEEE...... PIA
AEKIRI NA KUSISITIZA KUWA LICHA YA MAZURI MENGI WAYAFANYAYO ILI
KUKAMILISHA NA KUTIMIZA HAJA YA BURUDANI BASI MAPUNGUFU NI SEHEMU
MOJAWAPO YA KITU KISICHOKWEPEKA. AMETOA SHUKRANI ZA DHATI SANA KWA WOTE
WALIOJITOKEZA KATIKA MATAMASHA YOTE AMBAYO WAMEYAANDAA YA MIKOANI NA
HATIMAYE KATIKA KILELE KIKUBWA JIJINI DAR. News via Clouds FM
SO NI KUANZIA SAA 9 NDANI YA VIWANJA VYA LEADERS CLUB BUREEEEEEE
CHANZO:-http://www.aloyson.com
Monday, October 21, 2013
HIZI NDIZO SABABU ZA MR BLUE ZA KUTOONEKANA KWENYE VIDEO YA HEMEDY PHD - REST OF MY LIFE

Blue amesema "Ni kweli Hemedy alinitafuta tufanye video ila wakati huo
nilikuwa na show nje ya nchi na nilivyo rudi sikuwa na nafasi ila
tulikubaliana kuwa tuta shoot hivi karibuni, Blue amendelea kusema
Ameshanga sana kusikia kuwa video imetoka bila yeye kuwepo na kuwa
Hemedy amechana mistari yake, Sina sababu ya kutokuwepo kwenye video ya
Hemedy kwani sisi ni marafiki na nampa heshima sana Hemedy kama kaka
yangu, Nikimuona Hemedy nitamuliza kwanini ameshindwa kusubiri mpaka
niwe na muda wa kufanya sehemu yangu na ametoa video bila mimi"
Mr Blue Alimaliza kwa kusema kuwa Atakacho fanya ni kumtafuta na wayamalize na kama kutakuwa na version ya pili ya hii video basi anauhakika wa kuwepo kwenye kipande chake alisema
Mr Blue Alimaliza kwa kusema kuwa Atakacho fanya ni kumtafuta na wayamalize na kama kutakuwa na version ya pili ya hii video basi anauhakika wa kuwepo kwenye kipande chake alisema
KWA UPANDE WA HEMEDY PHD
HEMEDY PHD
AWAOMBA LADHI FANS WAKE KWA KUTOONEKA MR BLUE KWENYE VIDEO YA WIMBO
WA REST OF MY LIFE.
The
Hit Maker wa Track ya Rest Of My Life nazingine Kibao ''Hemedy PHD''
Aliyomshirikisha Mr Blue Amewaomba Ladhi Mashabiki wake kwa Kutooneka
Mr Blue kwenye Video ya Wimbo Huo ambayo imeachiwa Rasmi Leo.
Hemedy amesema kuwa Kutokana na Mr Blue Kuwa na Tour nyingi nje ya Nchi ndiyo sababu kubwa iliyofanya Mr Blue kutoonekana kwenye Video hiyo hii nikutokana na yeye Kutaka kuwahi kuitoa Video Hiyo.
PHD
Ameongeza Kuwa Licha ya Video hiyo kutoka lakini atafanya Version ya
Pili ambayo itamuhusisha Mr Blue na inatarajiwa kuanza kufanyika
mapema kabla ya Mwaka Huu Kuisha itakuwa Tayari imetoka.
Akipiga
Stori katika Kipindi Cha BEST REQUEST...online www.bestfm.co.tz
kinachorushwa na BEST FM ya Mkoani Njombe wilaya ya Ludewa amesema
anampango wa Kurelease New Joint nyingine ambayo amemshirikisha Bi -
Dadakuwa na Mapema Mwazoni mwa Mwaka 2014 ataachia Filamu yake ambayo
kwasasa Inafanyiwa uhariri/Editing.
SIMBA WAONGOZA DHIDI YA YANGA KATIKA ''NANI MTANI JEMBE''?
Pamoja na mchezo wa watani wa jadi kuisha kwa sare ya 3-3 Jumapili ya wiki iliyopita, Simba wameanza kuongoza katika kampeni ya "Nani Mtani Jembe?" inayoendelea hivi sasa kwa kuwashirikisha mashabiki wa klabu hizi mbili kongwe nchini.
Mpaka sasa Simba wana kitita cha Shilingi 50,012,500.00 wakati watani
wao wa jadi Yanga wana Shilingi 49,987,500.00.
Upigaji wa kura katika
kampeni hii unahusisha mashabiki kununua Bia ya Kilimanjaro na kusoma
namba zilizo chini ya kizibo na kutuma kwa ujumbe wa simu wakianza na
jina la timu wanayoishabikia kwenda 15440 na moja kwa moja Shilingi
1,000 kupunguzwa kutoka kwa wapinzani na kuwekwa kwa timu yao.
Matokeo
ya Nani Mtani Jembe yanapatikana katika tovuti ya http://kilitime.co.tz/campaigns/nmj/
DIAMOND "SIWEZI KUSAHAU DADA WA KWANZA NILIYEMUOMBA TUSHOOT VIDEO ALINIJIBU SIWEZI SHOOT NA MA UNDERGROUND"
Kitu ambacho siku zote siwezi kukisahau katika
harakati na siku za Maisha yangu ni jinsi dada
wa kwanza nilivyomfata na kumuomba kushoot video na mimi
akasema "Siwezi kushoot Video na Ma undergeound" Dah! Iliniuma saaana... Lakini
wewe kwa moyo mmoja bila maringo uliamua kunisaidia
na kukubali kushoot video na mimi na
hatimaye ikaniweka kwenye Ramani... dah! siku zote huwa
nakushkuru na kukuombea sana
kwa mwenyezi mungu kwani naamini wewe ni
mmoja ya watu waliofanya hadi mimi kufika hapa... MyVideo Queen Nenda Kamwambie #BestSongofTheYear2009 BestRnBSongof TheYear2009
harakati na siku za Maisha yangu ni jinsi dada
wa kwanza nilivyomfata na kumuomba kushoot video na mimi
akasema "Siwezi kushoot Video na Ma undergeound" Dah! Iliniuma saaana... Lakini
wewe kwa moyo mmoja bila maringo uliamua kunisaidia
na kukubali kushoot video na mimi na
hatimaye ikaniweka kwenye Ramani... dah! siku zote huwa
nakushkuru na kukuombea sana
kwa mwenyezi mungu kwani naamini wewe ni
mmoja ya watu waliofanya hadi mimi kufika hapa... MyVideo Queen Nenda Kamwambie #BestSongofTheYear2009 BestRnBSongof TheYear2009
PROF JAY:-Leo nimekabidhiwa BARCODE yangu na shirika la GS1 TANZANIA.
Leo
nimekabidhiwa BARCODE yangu na shirika la GS1 TANZANIA.
Hii
itaniwezesha kuweza kutanua zaidi wigo wa soko la Muziki wangu na
kuwafikia mashabiki wangu sehemu mbali mbali duniani na Quality ya juu
zaidi, kwa wale wote waliokuwa wakiniulizia watapataje muziki wangu wa
zamani na wa sasa tena kwa kiwango cha juu kabisa kaeni mkao wa
kula....MUNGU AWABARIKI SANA!!
Sunday, October 20, 2013
KAMA ULIMIS KUSIKILIZA B 20 ZA BEST FM...SASA HII NDIYO ORODHA YA BEST FM B TWENTY 20 AUGUST 2013
Namba
|
Jina
la Wimbo & Msanii
|
Nafasi
wiki hili &Lilipita
|
20
|
Bei ya Mkaa – Nick II Ft Joh Makini | 16 |
| 19 | Mungu Nipe – Dogo D Ft Abuu Nusic | 20 |
| 18 | Umependeza - Rachel | 19 |
| 17 | Thanks God – Godzilla Ft Walter Chilambo | 17 Kwa Wiki Mbili. |
| 16 | Jaribu Kujiuliza – Kala Jeremiah Ft Marry Lucos | 09 |
| 15 | Mwambie Mwenzio – Stamina Ft Warda & Darassa | 11 |
| 14 | Umechelewa – Suma Manazaleth Ft Richard | 18 |
| 13 | Bila Kukunja Goti – A.Y & Mwana FA Ft J Martins | 13 Kwa Wiki Mbili. |
| 12 | Touchin' Body – J Martins Ft Dj Arafat | 15 |
| 11 | Kimugina – Linex The V.O.A | 14 |
| 10 | Au Sio – Adam Mchomvu (Baba Jonii) | 12 |
| 09 | Salamu Zao – Ney Wamitego | 06 |
| 08 | Tupogo – Ommy Dimpoz Ft J Martins | 08 Kwa Wiki Mbili. |
| 07 | Kama Huwezi – Rama Dee – Lady JayDee | 07 Kwa Wiki Mbili. |
| 06 | Nakaza Roho – Chid Beenz | 10 |
| 05 | Mrs Super* - Young Killer Ft Bright & Nemo | 05 Kwa Wiki Mbili. |
| 04 | I Love You – Cassim Tajiri | 04 Kwa Wiki Mbili. |
| 03 | Weka Ngoma – Darassa Ft Lameck Ditto | 03 Kwa Wiki Mbili. |
| 02 | Number One - Diamond | 02 Kwa Wiki Mbili. |
| Bonus Track | Selena Gomez – Slow Down | |
| DJ Khaled Feat. Chris Brown, Wale, Wiz Khalifa & Ace Hood -I'm Still | ||
| 01 | Roho yangu – Rich Mavoko | 01 Kwa Wiki Mbili. |
FUTURE AMFUNGULIA MASHITAKA DREEZY
Future
msanii ambaye ni boyfriend wa Ciara, zilitoka taarifa kwamba ametoswa
kwenye tour ya Drake iliyopewa jina la “Would You Like a Tour”.
Kabla ya kutolewa ilitangazwa kwamba atakuwepo kwenye hiyo tour. Future alichukua hatua za kufungua mashataka akitaka kulipwa fidia dola 1.5 million baada ya kutolewa.
Kabla ya kutolewa ilitangazwa kwamba atakuwepo kwenye hiyo tour. Future alichukua hatua za kufungua mashataka akitaka kulipwa fidia dola 1.5 million baada ya kutolewa.
Lakini kwenye show ya kwanza ya tour hiyo ambayo ilifanyika
huko Pittsburgh, mashabiki walishuhudia show ya Future kitu ambacho kina
tafsiriwa kwamba Drake amemrudisha Future kwenye list ya wasanii
watakaofanya tour hiyo.
Unaambiwa Future angekosa ku-make pesa sana kama
angeikosa hii tour kwasababu ina show za kutosha ambazo zinamuigizia
pesa. Hiyo pia ilikuwa sababu kubwa ya kufungua mashataka ya kudai fidia
ya dola 1.5 million baada ya kutangazwa kwamba ametolewa kwenye tour
Show ya Future kwenye “Would you like a tour”
















