Pages

This is default featured slide 1 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by Lasantha Bandara - Premiumbloggertemplates.com.

This is default featured slide 2 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by Lasantha Bandara - Premiumbloggertemplates.com.

This is default featured slide 3 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by Lasantha Bandara - Premiumbloggertemplates.com.

This is default featured slide 4 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by Lasantha Bandara - Premiumbloggertemplates.com.

This is default featured slide 5 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by Lasantha Bandara - Premiumbloggertemplates.com.

Friday, November 22, 2013

NYIMBO 10 ZA WIKI REDIO KITULO FM

Zimerushwa na Ergon Elly (katika Picha)
10:-Slow Down - Selena Gomez
09:-Touching Body - J Martins F| Dj Arafat
08:-Skelewu - Davido
07:-Baba la Baba - Baba levo(baba la baba) F| Amonaizy
06:-Imekatika - Timbulo F| X Maleya
05:-Basi Nenda - Mo Music
04:-Siri ya Mchezo - Fid Q F| Juma Nature
03:-Sijiwezi - Maua Sama
02:-Sugua Gaga - Shaa
01:-Usinihukumu - Criss wamarya

SASA KAZI NA BIASHARA ZA JEEZY KUSIMAMIWA NA ROCK NATION YA JAY Z

Rapper Young Jeezy ametangaza kuanza kufanya kazi na  Jay Z na lebel yake ya  Roc Nation.
Jeezy ametangaza taarifa hizi kupitia twitter account yake kuwa Jay z na Lebel yake watasimamia sehemu ndogo ya muziki wake na kampuni yake ya CTE.

Mixtape ya Jeezy ItsThaWorld2 inatoka November 27 na imesimamiwa na producer mkali anaijiita Drumma Boy. Toleo la kwanza la mixtape hii ya #ItsThaWorld ilitoka mwezi wa tano.

In My Head ni joint ya kwanza kutoka kwenye album hio ya Jezzy na tayari ametoa video teaser inayozungumzia ujio huo akiwashirikisha Usher, Future na Ludacris na deejays watakao husika ni DJ Drama na Don Cannon.

Wednesday, November 13, 2013

TIMBULO:-BAADA YA IMEKATIKA HIKI NDICHO KINACHOFUATA.




The Hit Maker wa Nyimbo kama Waleo wakesho,Bado Kijana,Domo langu na Anayefanya Vizuri na Kazi yake mpya ya IMEKATIKA aliyowashirikisha X Maleya Kutoka Cameroon si mwingine ni TIMBULO amefunguka kuhusu mpango mzima jinsi Video ya Wimbo Huo itakavyofanyika.

Timbulo amesema Kuwa Endapo Ratiba zao (Timbulo na X Maleya) Zikikaa Vizuri basi kunaoption tatu ambazo wamezipanga ikiwa ni moja Kukutana na X Maleya London Uingereza au Ufaransa Au Timbulo Kusafiri mpaka Comeroon na Kufanya Video Hiyo na Chaguo la Tatu ni X Maleya Kufanya Clip za Video ambozo zinawahusu na Kuzituma Tanzania kama ilivyokuwa Audio yake na Kisha Director atakaye Husika Kushoot Video ya Wimbo Huo Kuzifanyia kazi Clip Hizo kwa Kuziunganisha.

Ameyasema Hayo wakati akifanya Mahojiano na Ergon Elly katika kipindi Cha 970 SHOW kinachorushwa Kupitia Redio Kitulo Fm wilayani Makete Mkoani Njombe na Kuongeza kuwa Mipango Imeshaanza.

Awali wakati Timbulo akizungumzia Ujio wa Wimbo wake Mpya ambao Leo Unaitwa IMEKATIKA alisema kuwa utaitwa ELASTIC YA PENDO lakini Mara baada ya Wimbo Huo kukamilika alichukua Jukumu la Kuwasikilizisha Baadhi ya Watu wake wa Karibu na Kumshauri Kazi Hiyo iitwe IMEKAIKA na Kuongeza Kuwa mpango wa Kufanya Version Mbili uliota mbawa Kutokana na X Maleya Kuwa Busy na Kazi…..Kama Ulikuwa haufahamu ni kwamba Ilitakiwa Kazi Hiyo Itengenezwe Tanzania Kwa Producer  Man Walter na Cameroon na Wao X Maleya na Ichaguliwe moja ambayo itafaa kuachiwa Rasmi kwenye Vituo Vya Redio.

IMEKATIKA sasa Iko katika Vituo vya Redio vya Tanzania na Cameroon na Ni Mali Halali ya Timbulo na X Maleya kwa Maana kila Mmoja anahaki ya Kuitumia Kokote Duniani….Alisema Timbulo.

‘’Namshukuru Mungu Mipango yote ambayo niliitangaza mwanzoni mwa mwaka huu Imekamilika kwa Kiasi kikubwa ikiwa ni pamoja na kufanya Collabo kubwa na ya kwanza Tangu kuanza kwa Muziki na Wasanii Kutoka Cameroon X Maleya….Pia kuikamilisha Albam ambayo ni vitu vichache tu vimesalia’’….Alisema Timbulo

hHuHHHHhhhhhhhhhhkl;f eya;TPHHHHHHH

Tuesday, November 12, 2013

USIKU WA MBALAMWEZI UTAKAO WAKUTANISHA WASANII KIBAO KWENYE STAGE MOJA




The Hit Maker wa Joint ya Mapenzi na Shule,Odemba,Si Kosa Lake na Zingine Kibao na anayewakilisha kundi la EMG Classic kutoka Wilayani Makete Mkoani Njombe Si Mwingine ni Y Jay Anatarajia Kufanya Uzinduzi wa Video ya Wimbo wake Mpya "Mbalamwezi" Siku ya Jumamosi ya Tarehe 16|11|2013 Pale Ikonda Mseketwa PUB na Jumapili ya Tarehe 17|11|2013 Uzinduzi Huo Utaendelea Makete Mjini katika Ukumbi wa Francis Kona.

Mbalamwezi Audio Imefanyika katika Studio ya Vision Record's na Producer Aldo Sanga na Video Imefanyika na The Super Director Edwin Moshi.

Y Jay Atazindua Nu Joint Kama Sinyora aliyowashirikisha Kundi la SHABABI International kutoka The Green City (MBEYA) na Sina Mpangonao zote Hizo Zimefanyika Katika Studio ya Vision Record's na Producer Fredy.

Katika Uzinduzi huo Atasindikizwa na Wasanii kama Sianda Mzee wa Tambiko,Mackford,Calvin Paul,The Galax Dancers na Mr Releasin' Every Dreams (Mr R.E.D) ambaye pia ni Mwanakundi la EMG CLASSIC.

Usiku Huo wa Mbalamwezi Umedhaminiwa na Mama Serengeti,Nick Cosmetics,Cathelyne Muuzaji maarufu wa Vyombo vya Nyumbani,Mtandao wa Kijamii wa ELLY BLOG na EDDY BLOG,Vision Record's,Y JAY Fashion wauzaji wa Pamba kali za Mtumba,Kitulo Fm Pamoja na Haroon Hardware & Music System.

SHIRIKA LA TUNAJALI (WE CARE) LINATARAJIA KUZINDUA MRADI WA ZERO VVU KWA MIKOA YA IRINGA NA NJOMBE

 
Picha na aminia website
 
Na Veronica Mtauka
 
Shirika la TUNAJALI linatarajia kuzindua mradi wa zero Vvu katika mkoa Njombe na Iringa ili kutokomeza maambukizi mpya ya virusi vya UKIMWI kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto.

Hayo yamebainika mapema hii leo mjini Makambako mkoani Njombe kwenye kikao cha wadau na wanahabari wa vyombo vya habari vya mkoa wa Njombe na Iringa ambapo wanahabari hao wametakiwa kuwa chachu ya kutumia vyombo vyao vya habari katika kutoa elimu kuhusu tiba ya ART kwa maisha yote kwa wajawazito na wanaonyonyesha wenye maambukizi ya virusi vya UKIMWI.

Katika kikao hicho imebainika kuwa Tanzania imepiga hatua kubwa katika kupunguza viwango vya maambukizi ya virusi vya UKIMWI kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto.

Tanzania imelenga kutokomeza maambukizi mapya ya virusi vya Ukimwi miongoni mwa watoto na kuwafanya akina mama waishi kwa muda mrefu zaidi.

Mpango huu umezinduliwa na mh. Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania DR.Jakaya Mrisho Kikwete mkoani Lindi siku ya Ukimwi duniani mwaka 2012 na umeadhimia kufikia malengo ya kutokomeza maambukizi hayo kutoka asilimia 26 mwaka 2011 hadi asilimia 4 ifikapo mwaka2015.

BREAKING NEWS:-MJUMBE WA TUME YA MABADILIKO YA KATIBA DK SENGONDO MVUNGI AFARIKI DUNIA

Mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Dk Sengondo Mvungi amefariki dunia nchini Afrika Kusini ambako alipelekwa kupatiwa matibabu katika hospitali ya Milpark.

Dk Mvungi alijeruhiwa kwa kukatwa na mapanga kichwani siku chache zilizopita, nyumbani kwake Kibamba Msakuzi, nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam.

Sunday, November 10, 2013

TOP TWENTY 10|11|2013 | ORODHA YA NYIMBO 20 REDIO KITULO NA VIDEO YA SHILOLE NAKOMAA NA JIJI




Nafasi wiki Hili
Jina la Wimbo na Msanii
20
Usinihukumu – Criss Wamarya
19
Siri ya Mchezo – Fid Q F| Juma Nature
18
Rest Of Ma Life – Hemedy PHD F| Mr Blue
17
Mungu Nipe – Dogo D F| Mo Music
16
Roar – Katy Perry
15
Touching Body – J Martins F| Dj Arafat
14
Mbalamwezi – Y Jay
13
Tupogo – Ommy Dimpoz F| J Martins
12
Weka Ngoma – Darassa F| Lameck Ditto
11
Umependeza – Rachel
10
Salamu Zao – Ney wamitego F| Neiba
09
Drive Slow – JCB F| Prof Jay
08
I Love u – Cassim Tajiri
07
Love More – Chriss Brown F| Nick Minaj
06
Basi Nenda – Mo Music
05
Mrs SuperStar – Young Killer F| Bright & Nemo
04
Number One – Diamond Platinums
03
Holy Grail – Jay Z F| Justin Timberlake
02
Slow Down – Selena Gomez
Ya Ziada
BASHASHA – BOB JUNIOR F| VANESSA MDEE
01
Roro yangu – Rich Mavoko

I:-Orodha ya Nyimbo 20 za Redio Kitulo Fm zimeandaliwa na Kusimamiwa na Ergon Elly.
II:-Kwa Maoni|Ushauri|Pendekezo Tutumie
Email:-ergonsanga@yahoo.com AU

Jumapili Njema!!!


Friday, November 08, 2013

ONICAR TANYA MARAJ a.k.a NICK MINAJ AZUNGUMZIA KUHUSU SOUND YA ALBUM MPYA NA COLLABO ZA YOUNG MONEY


Ni miaka karibia miwili sasa toka rapper Nicki Minaj ametoa album yake ya mwisho Pink Friday: Roman Reloaded na sasa yupo tayari kwa cd mpya na ametangaza kuwa kazi imeshaanza.

Kwenye Interview aliyofanyiwa hivi karibuni Minaj amesema sound ya album yake mpya itakuwa tofauti sana na nndio kitu kipya kwenye rap game kwa sasa. 
Kama ni shabiki wa msanii huyu utakuwa unajua kuwa anapenda utofauti sana kwenye kazi zake na kwenye hii cd mpya she has done it again.
Kuhusu wasanii wa Young Money kushirikishwa kwenye cd hio mpya Minaj kafunguka kuwa kuna baadhi yao wameshaomba collabo na anafatilia yupi haswa atapendeza zaidi kwenye hii album ila kuna watakao kuwepo.
Hii itakuwa tofauti na cd mpya ya Drake ambayo kwa sasa ni Platinum album haikuwa na msanii wa Young Money.

VIDEO MPYA | NEY WAMITEGO FT NEIBA - SALAMU ZAO


Labels