Pages

This is default featured slide 1 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by Lasantha Bandara - Premiumbloggertemplates.com.

This is default featured slide 2 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by Lasantha Bandara - Premiumbloggertemplates.com.

This is default featured slide 3 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by Lasantha Bandara - Premiumbloggertemplates.com.

This is default featured slide 4 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by Lasantha Bandara - Premiumbloggertemplates.com.

This is default featured slide 5 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by Lasantha Bandara - Premiumbloggertemplates.com.

Thursday, February 28, 2013

SASA SOGGY KUFANYA KAZI NA REDIO EBONY FM MKOANI IRINGA


Msanii/Mtangazaji Soggy Doggy ameacha mzigo pande za redio Uhuru na leo rasmi ameondoka Dar es salaam nakwenda Iringa ambapo atakuwa akifanya kazi katika kituo kingine cha Redio kinachoenda kwa jina la Ebony Fm.
 
Soggy Doggy ashawahi kufanya kazi katika vituo vya redio mbalimbali hapa nchini kama Arusha na Mwanza.

JA RULE KUTO SHEREHEKEA SIKU YAKE YA KUZALIWA KUTOKANA NA MWAKA HUU KUWA MFUPI.........JA RULE ALIZALIWA FEBRUARI 29


Msanii Ja rule mwaka huu 2013 hatasherehekea siku yake ya kuzaliwa kwasababu mwaka huu ni mfupi, ikimaanisha mwezi wa 2 umeishi tarehe 28 wakati yeye Jarule amezaliwa tarehe 29 mwezi wa 2.
 
Jarule juzi kati tu tarehe 21 alitoka jela lakini alijikuta akiwa chini ya ulinzi tena kutoka na madeni ya kodi anayodaiwa.

Police wameongeza ulizi wa rapper Rick Ross Baada ya Vitisho vipya dhidi ya maisha ya Rick Ross kuongezeka


Police wameongeza ulizi wa rapper Rick Ross Baada ya Vitisho vipya dhidi ya maisha ya Rick Ross kuongezeka.
 
Polisi wameongezeka kwenye msafara na Hotel alioshukia Rick Ross ya The London na wamekuwa wakiskiliza maongezi ya simu yake na kufatilia ratiba za rapper huyo mwenye Hood yake pande za Floida Miami.
Fahamu kuwa mwezi uliopita Rick Ross alinusurika kifo baada ya watu wasio julikana kufyatua risasi kwenye gari yake aina ya Rolls Royce akiwa anatoka kwenye party ya kusherekea siku yake ya kuzaliwa.

[USHUHUDA WA KWELI]:-EXPOSED THE HIGH PRIESTESS OF HELL


HABARI KAMILI KUHUSU KIFO CHA MWALIMU WA SHULE YA SEKONDARI KITULO ILANI MAKETE

Mwalimu mmjoa wa shule ya sekondari kitulo wilayani makete aliyefahamika kwa jina la casto sote kawamba ameuawa kwa kupigwa risasi na askari wa jeshi la polisi makete
Akizungumza na mtandao huu ofisini kwake mkuu wa polisi wilaya ya makete SP Peter Kaiza kuhusu tukio hilo lililotokea eneo la benki ya nmb tawi la makete siku ya jana majira ya saa moja na robo asema kuwa mwalimu huyo alikuwa anakwenda kupata huduma za kibenki kupitia ATM akiwa na pikipiki ndipo alipo amuliwa na asikari momoja aitwae Jose Msukuma na kudai kuwa alikuwa hana eriment alipo amuliwa kusimama alikaidi amri na kutaka kumgonga askari huyo aliye kuwa lindo
 
Nae mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya ya makete bw, Idd Nganya ambaye ndie mwajiri wa marehemu amesema kuwa mwili wa marehemu bado umehifadhiwa katika hospitali ya wilaya ya makete wakati utaratibu wakusafirisha mwili huo kwenda kwao mbeya kwa ajili ya mazishi ukiendelea
Nae mmoja wa mashuhuda wa tukio hilo ambaye jina lake limehifadhiwa amesema kuwa askari hao walikuwa wakiomba fedha kwa mwalimu huyo na baada ya kukatariwa ndipo walipo anza kumshushia kichapo na alipo wazidi walilazimka kutumi asilaha na kumpiga bega kwa upande wa mbele na ndipo alipo mpa umauti
 
Kwa upande wao baadhi ya walimu wenzake na marehemu ambao walifika hospitali kujua kuhusina na kifo cha mwalimu mwenzake wamerahani tukio hilo na kusema kuwa nilakikatili na linapaswa kukemea
 
Aidha mganga mkuu mfawidhi ambaye ni msemaji wa hospitali ya wilaya ya makete bw,Michael gulaka amesema kuwa wao walipokea mwili wa marehemu nasio majeruhi

[PICHA]:-MWALIMU AFA KWA KUPIGWA RISASI NA POLISI ALIYEKUWA LINDO BANK YA NMB TAWI LA MAKETE KISA ELEMENT YA PIKIPIKI





Tunaomba Radhi kwa picha za kutisha na endelea kutembelea mtandao huu kwa habari zaidi

DADA YAKE GOLDIE AWEKA WAZI SABABU NYINGINE ILIYO SABABISHA KIFO CHA GOLDIE

Mdogo wake marehemu Goldie Harvey, Joshua Filani ameweka wazi kifo cha dada yake Goldie kuwa kimechangiwa na msongamano mkubwa wa foleni za magari kutokana na kwamba siku hiyo watu wengi walikuwa kwenye pilika pilika za sherehe ya siku ya wapendanao yaani Valentines Day.

Joshua ndie aliyekuwa mtu wa mwisho kuongea na marehemu dada yake wakati wakiwa pamoja kwenye gari ambapo wakati Joshua akiongea na baba yao, ghafla Goldie alimpokonya simu hiyo ya mkononi na kumwomba baba yake amsalie wakati huo akilia kutokana na kupatwa na maumivu makali ya kichwa.

Maumivu hayo yalimpelekea Goldie kulia na hatimaye kuzimia na kuingia katika hali ya kutopteza fahamu kiasi cha mdogo wake kuchanganyikiwa, ambapo walichelewa kufika haraka hospitalini hapo kutokana na foleni za magari ukizingatia watu walikuwa katika shamra shamra za kusheherekea Valentines Day.

[NEW SONG....VERY HOT DOWNLOAD]:-PRODUCER MAN WALTER - NAWAOGOPA


Tuesday, February 26, 2013

BREAKING NEWZ:-Radio Imani, Kwa Neema FM zafungiwa... Clouds FM yatozwa faini!

Radio hizi mbili zimefungiwa miezi sita, na Clouds FM kupigwa faini ya milion 7

KWA NEEMA FM Mwanza: Sababu ni kushabikia maswala ya uchinjaji Mwanza

Radio Iman FM Morogoro: Kushabikia watu kutoshiriki Sensa 2012

Clouds FM:
~ Kuendesha/kusabikia masuala ya ushoga wakati wa uchaguzi wa Marekani, kuendesha kipindi cha uchochez wakati wa uchaguzi wa Marekani
~ Kuendesha kipengere cha 'Jicho la ng'ombe' kisichofata maadili

TCRA kitego cha mahudhui ndio kimefanya kazi hii leo 
 
cHONZO:-EA radio & Jamii Forums

TIMBULO ANENA KUHUSU TUHUMA ZA KUKAMATWA NA DAWA ZA KULEVYA


Tangu jana  kumekua na story zilizoenea mitaani kuhusu Mwanamuziki Timbulo kukamatwa na madawa ya kulevya Nchini Burundi. Picha  zake zilizagaa katika  mtandao wa facebook  zikimuonyesha timbulo akiwa chini ya ulinzi wa police na kidhibiti chake cha madawa haya ambayo yamefungwa kwa mfano wa pipi...

Ilinibidi nimtafute timbulo kupitia mtandao wa whatsup ambapo nilimuona akiwa active kama dakika kumi zilizopita mara baada ya kupata habari hizo

Timbulo amesema ni kweli alihisiwa kuwa amebeba madawa ya kulevya kitu kilichowafanya wanausalama kuomba kumkagua na kweli kumkuta na Pipi ambazo mara nyingi zimekua ni mfumo wa kubebea madawa ya kulevya katika begi lake, lakini katika maelezo ya timbulo anasema hazikuwa dawa za kulevya kweli bali ni mfano wa dawa ambazo alifanyia shooting katika movie yake ya hivi karibuni na kusahau kuzitoa. 

Hata hivo kutokana na maelezo yake anasema alihisiwa zaidi kubeba mzigo huo kutokana na mtu aliekuja kumpokea kusadikika kuwa katika biashara hiyo.

Timbulo alikua nchini burundi kwa shughuli zake za kimuziki akiwa ametokea Bukoba alikokua na shows huko lakini pia ikiwa ni mwendelezo wa safari ya kumfikisha Younde Cammeron ambako pia alikua anaenda kwa shughuli zake za kimuziki. Safari zote hizo ziliishia hapo baada ya tukuo hilo na hivi mpaka naingia mtamboni timbulo aliniambia yupo jijini mwanza kwa safari ya kurudi Dar Es Salaam.
 
kwa Hisani ya:-eddymoblaze.blogspot.com

[PICHA na WIMBO]:-WASANII WA KUNDI LA EMPOWERMENT MUSIC GROUP WAKATI WAKITAMBULISHA NGOMA YAO MPYA YA "ODEMBA" KATIKA STUDIO ZA KITULO FM LEO

Y - Jay [kushoto] na Mr Releasin' Every Dreams [Mr R.E.D] ni wasanii wa kundi Empowerment Music Group [EMG]
 
Ergon Elly Meneja wa Kundi na Mtangazaji Wa Redio Kitulo Fm [0755 894 663]
Y - Jay [Msanii]
 
Mr. R.E.D [Msanii]

Download Mzigo Huapo chini[Produced by BJ Zay]

CHECK OUT:MAONI MBALIMBALI BAADA YA LADY J DEE KUOMBA MUONEKANO MPYA WA CD YAKE

Jana kupitia katika mtandao wa facebook mwanadada Lady J Dee,baada ya kuomba maoni kwa mashabiki wake kuhusu muonekano mpya wa CD ambayo itakuwa ina ngoma yake mpya aliyofanya collabo na Professa Jay "JOTO HASIRA"

Haya ndiyo maoni mbalimbali ya watu wakimshauri Lady J Dee achukua cover kati hizo hapo juu itakayohusika katika kubeba ngoma yake mpya 'JOTO HASIRA'


[PICHA]:-TIMBULO WAKATI AMEWEKWA KITIMOTO....KUHUSU TUHUMA ZA KUKUTWA NA MADAWA YAKULEVYA



[NEW HIT....VERY HOT]:-PITBULL ft (LIL WAYNE DISS) - WELCOME TO DADE COUNTY


[PICHA]:-JANJARO NA PNC WAKIWA CAPE TOWN,SOUTH AFRICA

 
Msanii kutoka Arusha ambae kwa sasa makazi yake yamehamia Bongo, akiwa chini ya label ya Watanashati Entertainment akiwa kishule na kimuziki zaidi, Dogo Janja yupo jijini Cape Town, South Africa. 
 
Janjaro ambae kwa sasa anatamba na ngoma yake inayokwenda kwa jina la Ya Moyoni akimshirikisha Mtanashati mwenzie, PNC bado haijafahamika kuwa ameenda nchini humo kwa ajili ya matembezi au kwa shughuli za kimuziki.
 
Bado tunafuatilia kwa karibu ili kujua kilichompeleka huko.
pIChA Na:-gongamix blog

Birdman aongelea uhalisia wa Drake, amtaja kama 'Mwenye kipaji zaidi katika industry ya Music'



Birdman baada ya kukisikia kibao kipya cha Drake kwa mara ya kwanza kinachokwenda kwa jina la 'Started From the buttom' ameshindwa kuzificha hisia zake na kuthibitisha imani juu yake kwamba Drake mtu halisia na ni miongoni mwa watu wenye vipaji zaidi katika muziki kuwahi kuwepo.

Katika mixtape aliyoiachia hivi majuzi, Birdman ameamua kuwaonjesha fans wa Music ni kitu gani ambacho wakitegemee kutoka 'Young Money' na moja kati ya vitu hivyo ni Album yake Drake na ambapo aliongelea ujio huo wa Drake 'Started from  the buttom'  umemfanya aendelee kumpa credit nyingi zaidi kwani unaendelea kuthibitisha ni kwa jisni gani drake anaweza kazi hiyo isivyo kawaida.

Kuhusiana na hili Birdman alikaririwa akisema

"Drake sio mtu wa kawaida ikija kwenye masuala ya music.... ni kipaji halisia. Harudii rudii kazi zake, hujjiandalia tone yake mwenyewe, na kila kitu katika mziki wake hufanya mwenyewe."
Pia Birdman aliuongelea uvumi juu ya Drake kuihama YMCMB na kusema Drake haendi popote na kuwa hii ni biashara, watu wanaongea, blogs zinaongea lakini yote ya yote jambo hilo halina ukweli wowote ndani yake....
 "Our relationship with Drake ... that's my lil brother. That's the homie. That's family. So there's never been no friction. We're just working hard, trying to give people great music." 
Soma zaidi

Monday, February 25, 2013

NEW JOINT KUTOKA KWA:-BI CHEKA - NALIA [DOWNLOAD]

IJUE SABABU ILIYOFANYA TRACK YA KAMA ZAMANI YA MWANA FA KUTOACHIWA LEO MPAKA HAPO ITAKAPOTANGAZWA

 
Ile track ya ''Kama Zamani'' kutoka kwa rapper Mwana FA ambayo ameshirikiana na Kilimanjaro Band [Wananjenje] pamoja na Man'dojo na Domokaya ambayo ilitakiwa kutoka leo imeahirishwa hadi hapo itakapotangazwa tena.
Lifeline Music Inc. ndio kampuni inayosimamia kazi zote za rapper huyo, na ndiyo iliyotoa taarifa hizo za kuahirisha kwa uzinduzi wa ngoma hiyo kwa sababu ambazo zipo nje ya uwezo wao.
Soma taarifa kamili hapa chini:
TAARIFA KWA WADAU

Leo tarehe 25 Februari mwaka 2013 ndio ilikuwa iwe siku nyingine ya kihistoria katika medani ya muziki wa kizazi kipya. Kwa siku kadhaa sasa tumekuwa tukitangaza kwamba wimbo mpya wa MwanaFA ulio katika mahadhi ya Hip Hop uitwao “Kama Zamani” aliowashirikisha Man'dojo, Domokaya na The Kilimanjaro Band (Wananjenje) ungeanza kuuzwa kupitia njia mbalimbali kama ‘iTunes’, ‘Amazon’ na kupitia katika simu za mkononi.

Pia ndio tarehe ambayo Kama Zamani ingeanza kusikika katika vituo vya redio Tanzania na nchi za jirani.

Lifeline Music Inc. ndiyo inayosimamia muziki wa MwanaFA kwa sasa, ikiwa ni kampuni ambayo inafanya kazi za muziki, kuangalia na kuhakikisha kwamba wasanii inaowasimamia wananufaika kwa kiasi kikubwa kutokana na kazi zao; na kwamba muziki unaofanyika kwa sasa unafuata kanuni zote zinazosimamia makubaliano ya biashara.

Kama mjuavyo, biashara yoyote ina pande mbili na mafanikio yake yanategemea zaidi maridhiano baina ya pande hizo na utimizaji wa vipengele tofauti ndani ya mikataba ya biashara.

Katika kuboresha maslahi ya wanamuziki husika na wimbo huu piakuboresha zaidi njia zitakazotumika kuhakikisha ya kwamba burudani hii itawafikia washabiki wengi zaidi wa muziki unaofanywa na MwanaFA, Kilimanjaro Band(WanaNjenje) na Man’Dojo na Domokaya, tumefikia uamuzi wa kusubiri na kusogeza mbele siku ya kuachia wimbo wa Kama Zamani kama ilivyopangwa hapo awali.

Tunachukua nafasi hii kuwaomba radhi mashabiki ambao mmekuwa mnasubiri kwa hamu kusikia ni nini muungano huu wa muziki wa kizazi kipya na moja ya bendi kongwe kabisa za muziki yenye miaka zaidi ya 40 katika tasnia ya muziki Tanzania umewaandalia.

Kwa niaba ya MwanaFA, uongozi wa Lifeline Music Inc. unaomba uvumilivu na subira toka kwenu mashabiki na wapenzi wa muziki. Tunaamini kwamba subira huvuta heri na mambo mazuri hayahitaji haraka.

Tunawashukuru kwa dhati kwa ushirikiano wenu.

Henry Mkumbukwa
PR Strategist
Lifeline Music Inc.
Fans wengi wamekuwa wakiisubiri track hii kwa hamu, tumekuwa tukiombwa links na wengi wakiiulizia kwa shauku ya kuusikia, Lifeline Music wamezungumza na kuweka bayana kilichotokea.
I think its a good deal they are trying to pull through, tusubirie tuone lini itatoka. As we promised ikitoka tu utaipata hapa hapa...
MAMBO MAZURI HAYATAKI HARAKA... Lol.. One!!

[PICS]:-OMMY DIMPOZ NA ALI KIBA WAKATI WAKIPIGA SHOW HUKO LONDON UINGEREZA


 

TIMBULO AKAMATWA NA DAWA ZA KULEVYA BURUNDI

Msanii wakizazi kipya, anae ondoka na mitindo ya bongo flava Ally TIMBULO kuna tetesi zinasema kuwa amekamatwa na dawa zakulevya Mjini Bujumbura

Habari zinadai kwamba Msanii huyo alikuwa na mpango waku endesha tamasha Mjini Bujumbura mwezi wa 4 baada ya maombi lukuki ya washabiki wake Mjini Bujumbura/nchini Burundi . 
 

SIKILIZA BOB JUNIOR AKIFUNGUKA KUTOKA ITALY KUHUSIANA NA TOUR ZAKE ZINAZOENDELEA


Mwanamuziki na producer anayemiliki studio ya sharobaro Records,Bob junior au Yule mwenye rasha rasha za chocolate,siku za hivi karibuni uliweza kusikia katika mitandao mbalimbali kwamba ana tour ndefu katika nchini tofauti tofauti ambazo ni,Italy,Denmark,Germany,Sweden,Switzerland.
Leo tumeweza kupiga naye story kuhusiana na tour zake zinazoendelea hivi sasa ebu msikiliza hapa akifunguka zaidi.


Habari kwa Hisani ya:-djfetty.blogspot.com

WEMA SEPETU ATANGAZA NAFASI ZA KAZI KATIKA KAMPUNI YAKE MPYA"ENDLESS FAME FILM"

Msanii wa bongo movie 'Wema Sepetu' siku chache baada kufungua kampuni yake mpya Endless Fame Film.
Leo kupitia katika ukurasa wake wa twitter ametangaza nafasi za kazi mbalimbali ikiwemo,graphic designer,editor,camera man,usekretari.

Maelezo zaidi soma hili tangazo kutoka katika kampuni yake 'Endless Fame Film' wakitangaza nafasi za kazi!!!!!

PICHA ZA PREZZO AKITOA HESHIMA YA MWISHO KWA ALIYEKUWA MPENZI WAKE GOLDIE HARVEY


Sunday, February 24, 2013

[INTERVIEW]:-LAWIZE AKIZUNGUMZIA SABABU ZILIZOFANYA ASIRELEASE NGOMA YAKE MSIMU WA WAPENDANAO

[LYRICS]:-VANESSA MDEE `CLOSER' YAKO HAPA.

Verse 1:


Let me ask you a question,
What would it take for me to get your attention. 

You're my kinda guy and I think you're fly,
Your shoe game alright, prolly kick it for a while.
I kinda like your style,
But most of all your smile.
I saw you on facebook so I know how your face look.
Relationship status is single,
Ready to mingle.

Bridge:
Waulize washkaji ninashindwa kunywa maji inakuwa sana kazi, haujui.
Najaribu kuhifadhi chozi langu kama maji inakuwa sana kazi, haujui.  x2

Chorus:
I wanna get you closer, closer, closer, closer to me.
Closer, Closer, Closer, Closer to me x 3

Verse 2

So I try to catch your wave,
And look for you at every rave,
It's almost addictive and slightly submissive,
Not usually how I behave.
I kinda like your style,
But most of all your smile.
I'm done catching feelings its time for the dealing,
My heart is now willing, Yeeeeaaah!

Bridge:
Waulize washkaji ninashindwa kunywa maji inakuwa sana kazi, haujui.
Najaribu kuhifadhi chozi langu kama maji inakuwa sana kazi, haujui.  x2

Chorus:

I wanna get you closer, closer, closer, closer to me.
Closer, Closer, Closer, Closer to me x 3

Baby please come a little closer to me you're the air I breathe.
Honestly - ay ay ay ay ay
It's been a while I've been longing this feeling.
Nataka uwe wangu wangu niishe nawe siku za maisha yangu.
I just wanna wake up every morning to your beautiful kiss,
And get you closer.

Chorus:

I wanna get you closer ( Closer baby, into your heart) closer, closer ( I wanna make you feel so good) closer to me.
Closer, Closer (hold you closer, closer to me now) Closer, Closer ( Come a little closer ama show you something baby)
Closer I'm talking close aah
I wanna feel your heartbeat baby.
Close enough so I can taste u now ah ah ah ah
Closer baby, I wanna have you closer, closer, closer to me.

Fades Out
Kwenye track hii ya Hermy B

NEW HIT:-KINGKAPITA ft GODZILLA - KUNATATIZA?


KAMA HAUKUSIKILIZA TOP TWENTY ZA REDIO KITULO FM [24 FEBRUARI 2013].....LIST HAPO CHINI

20;-Mahakama ya Mapenzi - Linex [Ingizo Jipya]
19:-Kidela - Abdu Kiba [17]
18:-Always - Country Boy ft T.I.D [Ingizo Jipya]
17:-Sina noma nae - Mc koba [13]
16:-Listen - Belle 9 [19]
15:-Narudi kazini - Beka Ibrozama [16]
14:-Nikupe nini - Noorah ft Ali kiba [18]
13:-Dole - Mabeste ft Deddy [12]
12:-Dear God - Kara Jeremiah [11]
11:-Utamu - Dully ft Diamond & Ommy Dimpoz [10]
10:-Money - AY ft Vanessa [14]
09:-Mama yeyo G-nako ft Ben Pol [For 2 weeks]
08:-My Everythin' - Ali kiba [For 2 weeks]
07:-Me & U - Ommy Dimpoz ft Vanessa [For 2 weeks]
06:-Dear Gambe - Youn' Killer ft Belle 9 [15]
05:-Bonge la Bwana - Shetta ft Linna[-]
04:-One Time - Rich Mavoko [For 2 weeks]
03:-Wazo la leo - Stamina ft Fid Q [05]
02:-Jambo Jambo - Steve RnB [01]
BONUS TRK:-So Crazy - Maua Sama ft Mwana Fa
01:-Kesho - Diamond Platinumz [02]

Kwa Ushauri/Maoni:-ergonsanga@yahoo.com au 0755 894 663.
Jumapili Njema!!!

Saturday, February 23, 2013

WIMBO MPYA:-DULLY SYKES - FUNGA DOMO LAKO

Labels