Pages

This is default featured slide 1 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by Lasantha Bandara - Premiumbloggertemplates.com.

This is default featured slide 2 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by Lasantha Bandara - Premiumbloggertemplates.com.

This is default featured slide 3 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by Lasantha Bandara - Premiumbloggertemplates.com.

This is default featured slide 4 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by Lasantha Bandara - Premiumbloggertemplates.com.

This is default featured slide 5 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by Lasantha Bandara - Premiumbloggertemplates.com.

Friday, May 31, 2013

Baraza la Sanaa la Taifa limepokea kwa masikitiko makubwa taarifa za msiba wa msanii wa tasnia ya Muziki nchini Albert Mangwea a.k.a Ngwair.

“ Baraza limestushwa na kuhuzunishwa sana kutokana na taarifa ya kifo hiki cha Ngwair ambaye mchango wake unahitajika sana katika tasnia ya sanaa, pengo aliloliacha ni kubwa kwani ubunifu wao bado unahitajika katika tasnia hii.”

Baraza linatoa pole kwa familia ya marehemu na wasanii wote nchini, aidha linawatakia moyo wa subira katika wakati huu wa majonzi ya kuondokewa na mpendwa wetu.

Tunaomba mwenyezi Mungu aipumzishe mahala pema peponi roho ya marehemu. Baraza liko pamoja na familia ya marehemu katika kipindi hiki kigumu cha maombolezo, tutambue kuwa haya ni mapenzi ya Mungu.

COMING SOON:-STEREO F/ AMAN - KILA KITU

Baada yakusaini Dili na Unity Entertainmen Msanii Stereo Sasa ni zamu yake kusikika na Hit yake Mpya ambayo inatarajiwa kuachiwa hivi karibuni.

akipiga Stori katika Show ya 970 Show na Ergonelly inayorushwa na Kitulo Fm Stereo amesema Track yake mpya itaitwa KILA KITU ambayo amemshirikisha Mwanadada Anayefanya poa na Joint ya Kiboko Changu Si Mwingine ni Aman na Producer P Funk Majani wa Bongo Record's ndiye aliyehusika katika kuitengeneza
 na Joint Hiyo inahusu mapenzi. 

STEREO amesema wimbo wowote kuanzia sasa utakuwa ukiachiwa katika mfumo wa AUDiO & VIDEO 

Hakeem 5 – Nitunzie (Official Video)

Baada Ya Msiba Wa ALBERT MANGWEA, MwanaFA Atoa Tamko Lingine Kuhusiana Na “THE FINEST”

Baada ya kutokea kwa kifo cha ndugu, rafiki yetu marehemu ALBERT MANGWEA … Rapper MwanaFA alitangaza kuahirisha show yake ya THE FINEST iliyokuwa ifanyike kesho.
Leo hii, MwanaFA ametoa tamko lingine kuhusiana msiba huo wa mwanamuziki mwenzie na pia kuhusiana na show yake ya THE FINEST … Hichi ndicho alichoandika …

“Kutokana na Msiba uliotokea wa ndugu yetu Albert Mangwair, Show ya THE FINEST iliyokuwa ifanyike 31.05.2013 imeahirishwa mpaka baada ya mazishi. Kwa kuwa ulifanya booking, utapigiwa simu kupewa tiketi yako/zako kuanzia tarehe 06.06.2013. Tunaomba radhi kwa usumbu uliojitokeza. Ahsanteni.”

NEW MUSIC VIDEO:-One Incredible – Get Em

Thursday, May 30, 2013

UPDATE: Taarifa ya kamati ya mazishi ya Albert Mangwair

Kwa ushirikiano na Shirikisho la muziki Tanzania zinasema kwamba mwili wa marehemu Ngwair utaletwa nchini siku ya tarehe mosi mwezi juni (Jumamosi) na kuna mipango ya wapenzi na mashabiki wake kumuaga siku ya terehe 2 (Jumapili) katika eneo litakalotangazwa.

Wednesday, May 29, 2013

MILLARD AYO NDANI YA AFRIKA YA KUSINI KUPATA UKWELI JUU YA KIFO CHA NGWEA


Millard Ayo mtangazaji wa Amplifaya na Top 20 Vya Clouds FM akiwa Afrika ya Kusini kufuatilia kwa undani kuhusiana na kifo cha msanii wa Bongo Flava Albert Mangwea a.k.a Ngwair - Cow Bamaaa kilichotokea siku ya jana Jumanne 28/5/2013 huko Afrika ya Kusini.

Soggy, Noorah, Mwana FA na Cpwaa wakimuongelea Ngwair



NEW SONG:-Chidi Beenz - R.I.P Albert Mangwear


(Official Music Video) Nay wa Mitego ft. Diamond Platnumz - Muziki gani

BAADA YA YA KALAPINA NA MWANA FA, JAYDEE NAE AAMUA KUAHIRISHA SHOW YAKE KUFUATIA KIFO CHA MSANII ALBERT MANGWEA...!!

Mwanamuziki nguli wa muziki wa kizazi kipya nchini, mwanadada Judith Wambura Maarufu kama Lady Jaydee ametangaza kuahirisha shughuli ya maadhimisho ya miaka 13 tangu aanze muziki iliyokuwa imapangwa kufanyika Ijumaa hii ya Mei 31, 2013 katika mgahawa wake wa Nyumbani Lounge kupisha msiba wa kifo cha msanii Albert Robert Mangweha aliyeripotiwa kufariki nchini Afrika Kusini jana.

Judith amesema hayo muda mfupi uliopita (saa 3:52 asubuhi) wakati akihojiwa katika kipindi cha Super Mix ya East Africa Radio na mtangazaji Zembwela.

Jaydee ameeeleza uamuzi wake wa kutitisha show hiyo kuwa unalenga kutoa nafasi kwa wafiwa wote na wadau wa tansnia ya muziki na wapenzi wa Mangwea kumaliza taratibu za kumsitiri kipenzi chao na kueleza kwamba tarehe nyingine ya shughuli hiyo itatangazwa baadae.

Tangu amekaribishwa studio, Judith Wambura alionekana kuwa na majonzi sana kiasi cha kushindwa kuongea mara kwa mara na kukatisha mazungumzo yake kutokana na kukabwa na kilio.

HISTORIA YA MAREHEMU NGWAIR ALIYOISEMA MWENYEWE KWENYE INTERVIEW YAKE YA MWISHO


JINA LAKE HALISI NI ALBERT KENETH MANGWAIR,NI MTU WA RUVUMA MNGONI...,,,,MNGONI,LAKINI ALIZALIWA MBEYA TAREHE 16 NOVEMBER,MWAKA 1982.YEYE NI MTOTO WA MWISHO KWAO,KWA BABA AKIWA MTOTO WA 10,KWA MAMA AKIWA MTOTO WA 6.

NGWAIR ASILI YAKE NI RUVUMA,YAANI MNGONI, ALIZALIWA MBEYA,A KIWA MIAKA 5 WALIHAMIA MOROGORO AKASOMA SHULE YA MSINGI BUNGO HADI DARASA LA 5,BABA YAKE AKAPATA UHAMISHO AKAHAMIA DODOMA,SO AKAHAMA NA BABA YAKE AKAENDA AKAMALIZA SHULE YA MSINGI MLIMWA DODOMA.BAAADAE MAZENGO SEC,THEN CHUO CHA UFUNDI MAZENGO

Na AnnaPeter

Tuesday, May 28, 2013

T.I.D amehairisha show yake ya leo pale NEW MAISHA CLUB na ya BUKOBA.

These are the Darkest days in Bongo Music Industry i lost a brother a friend and my motivation..am cancelin my perfomance tonight @ Maisha Club as well as Bukoba shows this weekend....cant stop tears from fallin.

Ngwea akiwa na msanii M to the P jana south africa.


ALBERT MANGWEAR afariki dunia katika hospital ya ST.HELLEN iliyopo JO'BURG South Africa

ALBERT MANGWEAR afariki dunia katika hospital ya ST.HELLEN iliyopo JO'BURG South Africa

Habari kutoka kwa washkaji zangu walioko South Africa wamenipa ripoti ya kwamba msanii aliyekuwa akiwakilisha kundi la EAST ZOO Albert Mangwear amefariki dunia katika hosp ya St. Hellen iliyopo Jo'burg 

MWENYEJI WA NGWEA KUTOKA AFRIKA KUSINI AZUNGUMZIA KIFO CHA NGWEA, SIKILIZA SAUTI YAKE

NEW HIT:-Terminal_Pokea Simu_Producer Lollipop


NEW SONG:-Mr R.E.D - JITUNZE



NEW JOINT:-INNOCENT MKUMBA - UMENIPOTEZA ARTIST


*DETAILS*
*TRACK NAME: UMENIPOTEZA ARTIST
NAME: INNOCENT MKUMBA COMPOSED BY INNOCENT PRODUCER: TIDDY HOTTER
STUDIO: ONE LOVE FX
CONTACTS: +255 712 56 02 01/ +255 754 44 06 11 (c) 2013*

MIAKA 13 KATIKA MUZIKI NA UZINDUZI WA ALBUM YA JDEE WAKARIBIA


Sunday, May 26, 2013

SPINCE WA AYAYA - NA uJIO MPYA ''KULE''



Je, Unajua kama Spince Seseme ni Mkurugenzi,Super Director na Producer? MSIKILIZE HAPA.

MABESTE AKIZUNGUMZIA UJIO WAKE MPYA MWEZI UJAO


NYIMBO 20 BORA ZA REDIO KITULO FM JUMAPILI YA TAREHE 26 MEI 2013



20:-Wanipa wazimu – Lawize Entertainer f/ Ney Lee [Ingizo Jipya]
19:-Love Me – Izzo B f/ Barnaba & Shaa [Ingizo Jipya]
18:-Nje ya Box – Nick II f/ Joh Makini & G-nako [11 Last week]
17:-Ugonjwa wa Moyo – Makomando [Ingizo Jipya]
16:-Kumbe – PeterMsechu f/ Joh Makini [18 Last week]
15:-Dear Gambe – Young Killer f/ Belle 9 [13 Last week]
14:-Jitunze – Mr RED [17 Last week]
13:-Uzuri wako – Jux [16 Last week]
12:-No Beef – Ngwea f/ TID [19 Last week]
11:-Sina Makosa – Timbulo [15 Last week]
10:-Sio Mimi {Pombe yangu} – Madee f/ Raymond [09 Last week]
09:-Maisha ya Skonga – Janjaro f/ PNC [12 Last week]
08:-Mahakama ya Mapenzi – Linex The VOA [08 For  3 weeks]
07:-Tuko wangapi – Suma Mnazaleth – Tunda Man [04 Last week]
06:-Ukimuona – Diamond [10 Last week]
05:-Kashaolewa – Sam waukweli f/ Rich Mavoko & Z Anto [05 For @ weeks]
04:-Masebene – Y  3 weeks]
07:-Tuko wangapi – Suma Mnazaleth – Tunda Man [04 Last week]
06:-Ukimuona – Diamond [10 Last week]
05:-Kashaolewa – Sam waukweli f/ Rich Mavoko & Z Anto [05 For @ weeks]
04:-Masebene – Y  Tony [06 Last week]
03:-Muziki Gani – Ney wamitego f/ Diamond [02 Last week]
02:-Sina Imani – Shetta f/ Rich Mavoko [03 Last week]
Bonus Track:- Jipe Shavu – A.Y f/ Fid Q
01:-Joto,Hasira – Lady Jaydee f/ Prof Jay [01 For 2 weeks]

Jumapili Njema!!
LIST YA NYIMBO 20 BORA ZA REDIO KITULO FM IMEPANGWA NA MUSIC DEPARTMENT
01:-Ergon Elly
02:-Dj Nundu

PRODUCTION IMESIMAMIWA NA :- Ergon Elly
NITUMIE USHAUR/MAONI/KURA/PENDEKEZO KUPITIA

Email:-ergonsanga@yahoo.com
Simu:-+255 768 511 373

LUDACRIS AACHIA MIXTAPE SIKU MOJA NA MOVIE ALIYOSHIRIKI "FAST AND FURIOUS 6"

Rapper LudaCris amedondosha moxtape yake mpya leo kupitia Datpiff.com ikiwa ni siku moja na release ya movie aliyoshiriki 'fast and furious 6', mixtape hiyo ina nyimbo10 na tayari ishadondoka leo hii, pichani ni cover yenye track list ya nyimbo hizo.
 

LIST YA NYIMBO 20 BORA ZA REDIO KITULO FM JUMAPILI YA TAREHE 19 MEI 2013



20:-Mama yeyoo -  G nako ft Ben Pol [17 Last week].
19:-No Beef – Ngwea ft T.I.D
18:-Kumbe – Peter Msechu ft Joh Makini [20 Last week]
17:-Jitunze – Mr R.E.D [Ingizo Jipya]
16:-Uzuri wako – Jux [19 Last week]
15:-Sina Makosa – Timbulo [18 Last week]
14:-Kesho – Diamond [12 Last week]
13:-Dear Gambe – Young killer Ft Belle 9 [13 For 2 weeks]
12:-Maisha ya Skonga – Janjaro ft PNC [15 Last week]
11:-Nje ya Box – Nick II ft Joh Makini & G nako [10 Last week]
10:-Ukimuona – Diamond [16 Last week]
09:-Sio Mimi – Madee ft Raymond
08:-Mahakama ya Mapenzi – Linex The VOA [08 For 2 weeks]
07:-So Crazy – Maua Sama ft Mwana FA [05 Last week]
06:-Masebene – Y Tony [14 Last week]
05:-Kashaolewa – Sam waukweli ft Rich Mavoko & Z Anto [07 Last week]
04:-Tuko wangapi – Suma Mnazalet ft Tunda Man [06 Last week]
03:-Sina Imani – Shetta ft Rich Mavoko [03 For 3 weeks]
02:-Muziki gani – Ney wamitego ft Diamond [01 For 3 weeks]
Bonus Track:- Wanipa wazimu – Lawize Entertainer ft Ney Lee
01:-Joto,Hasira – Lady JayDee – Prof Jay [02 For 3 weeks]
Jumapili Njema!!
LIST  YA NYIMBO 20 BORA ZA REDIO KITULO FM IMEPANGWA NA MUSIC DEPARTMENT
01:-Ergon Elly
02:-Dj Nundu

PRODUCTION IMESIMAMIWA NA :- Ergon Elly
NITUMIE USHAUR/MAONI/KURA/PENDEKEZO KUPITIA
Email:-ergonsanga@yahoo.com
Simu:-+255 768 511 373

Thursday, May 23, 2013

NEW HIT ...VERY HOT:-DULLAYO - MARA MIA

DULLAYO NA NGOMA MPYA
Artist---Dullayo
Song---Mara mia
Producer--Zest
Studio--Plexity recs

OFFICIAL MUSIC VIDEO:-AMAZON - MAMITO

VIDEO MPYA-TZ ALL FEMALE STARS-KIDOLE KIMOJA(FISTULA)

PRODUZA MARCO CHALI WA MJ RECORDS AZUNGUMZIA FOUNDATION YAKE


Produza wa Mj Records  Marco Chali akiwa kwenye interview pamoja na Godzila akizungumzia 'Marco Chali' Foundation itakayozinduliwa Mwembe Yanga Temeke Jumapili hii siku ya tarehe 26.
Watangazaji wa Supa Mix,Zembwela na Irene Tillya wakiwa na Marco Chali pamoja na GodZilla aka King ZiZi
Kwa kushirikiana na Zantel Marco Chali atazindua Foundation yake ambayo lengo lake ni kutoa mafunzo kwa vijana kuhusu muziki, na pia baadae kuwasaidia wasanii wenye vipaji vya kufanya muziki kutimiza ndoto zao.

Tamasha hilo linaend kwa jina la Epic Open Mic litakuwa msaada kwa watu wote wenye ndoto zakuja kuwa msanii mkubwa.

Pamoja na uzinduzi wa Marco Chali Foundation wasanii wakali ambao Marco Chali amewahi kuwatengenezea nyimbo wataperform kama Madee anayefanya vizuri na wimbo wa 'Pombe Yangu',Godzila anayefanya vizuri na 'Nataka' aliyoshirikiana na Marco Chali,Daimond, Mshindi wa EBSS Walter Chilambo,Slim Sal,Ney wa Mitego,King Kapita na wengine kibao
Produza Marco Chali,mimi na Godzila

Show itaanza kuanzia saa 8 kiingilio ni bureeeee
   HABARI NA ANNAPETER

VIDEO MPYA:WITNES WA WAKILISHA FT OCHU SHEGGY

Tuesday, May 21, 2013

PAMOJA NA KWAMBA MSANII KALA JEREMIAH ANASHEREHEKEA SIKU YAKE YA KUZALIWA AMESEMA HATOFANYA SHEREHE YEYOTE

Msanii Kala Jeremiah akiwa eneo ambalo walizikwa baadhi ya waliokufa kwenye Ajali hiyo miaka 17 iliyopita.

Pamoja na kwamba leo ni siku yake ya kuzaliwa lakini amesema kuwa hatafanya sherehe yeyote ile wala kukata keki na badala yake atawaaombea ndugu na marafiki waliokufa kwenye ajali hiyo.

DIAMOND ATOKA NA MTINDO MPYA WA NYWELE

                                                                         Mtindo wake mpya

Siku zote Diamond amekuwa akijaribu kutoka na mitindo tofauti ya mavazi yanayokuwa yakimtambulisha kwenye showz zake,lakini siyo kubadili mtindo wa nywere tangu aanze mziki ,na sasa amekuja kitofauti kwa  kutia rangi ya goldish kwenye nywele.

BAADHI YA WASANII WANAOADHIMISHA SIKU YA KUZALIWA 21 MAY

  

Msanii Kala Jeremiah ambaye anafanya poa na ngoma yake ya 'Dear God' leo ni kumbukumbu ya siku yake ya kuzaliwa.

Thursday, May 16, 2013

NEW VIDEO:-Y TONY - MASEBENE

NEW JOINT:-LINEX f/ WYRE - RIZIKI YANGU

PICHA:-HARUSI YA SAMWEL SAMSON MTUMISHI HALMASHAURI YA WILAYA MAKETE

 Bwana Harusi na Mkewe Lucy

Wednesday, May 15, 2013

LYRICS : Madee - POMBE YANGU


Artist: Madee
Song: POMBE YANGU

Kololo kolo mawena na tip
Sheneida


Verse : 1

Bana ndugu ebu leta tulivyo kabla mimi sijaondoka
Wanatuhadithia tatizo wakati si tushamoka
Weka bia tatu kwenye meza pale
Hiyo bili atalipa babu tale
We neema nenda ukalale
Si bado tupo mpaka mishale
Kila kitu barida
Unachotaka agiza
Chali muite Farida
Aje kabla sijamaliza
Bia nyingi nshakunywa nshalewa
Fala ukinisukuma ukinisachi mawe

VIDEO :- BARNABA Na LINAH Kupiga Show Kwenye Miaka 13 Ya LADY JAYDEE

19 MEI 2013 NI USIKU WA KUMTOA MAMA YEYOO NJE YA BOX


DRAKE AFUNIKA BET AWARDS 2013 KWA NOMINATIONS, RADIO NA WEASEL KUIBEBA BENDERA YA AFRIKA MASHARIKI


BET Awards ’13 Nominations
Best Female R&B/Pop Artist
Beyoncé
Tamar Braxton
Alicia Keys
Rihanna
Elle Varner
Best Male R&B/Pop Artist
Chris Brown
Bruno Mars
Miguel
Justin Timberlake
Usher

Tuesday, May 14, 2013

BIG BROTHER AFRICA KUANZA HIVI KARIBUNI


The Biggest Reality Show In Africa ijulikanayo kama Big Brother Africa, inakaribia kuanza tena hivi karibuni kupitia televisheni yako.

LADY JAYDEE NA MIPANGO YAKUHAMA TANZANIA

Ni masaa machache tu yaliyopita mwanamuziki LADY JAYDEE ameandika kutaka kihama nchi yake hii na kuelekea nchi jirani ya Jamhuri ya watu wa KENYA.

Jide anafikiria kwenda kuomba uraia huko ama MALAWI katika kuonekana kutaka kujinasua kutoka katika jambo fulani.

LINE UP Nzima Ya Wasanii Watakaopiga Show Kwenye MTV AFRICA ALL STARS [KWAZULU-NATAL] Yatoka ..

.
Siku 4 kutoka leo, yaani tarehe 18 MAY mwaka huu litapigwa bonge la CONCERT likisherehekea MTV BASE upande wa Africa na kushirikisha wasanii kibao kutoka barani humo

CONCERT hiyo itakayofanyika KWA ZULU-NATAL katika uwanja MOSES MABHIDA STADIUM huko People's Park, DURBAN itaongozwa na rapper mkubwa duniani famously known as SNOOP DOGG and recently SNOOP LiON .

Angelina Jolie akatwa matiti kuzuia Saratani

Angelina Jolie Mcheza filamu mashuhuri sana duniani,Angelina Jolie amesema kwamba amekatwa matiti yake yote pamoja na kuondoa mfuko wake wa uzazi.

Kwenye taarifa aliyoandika kwenye gazeti la New York Times, Bi Jolie amesema alifanyiwa uchunguzi wa celi zake na kugunduliwa kwamba alikuwa katika hatari kubwa sana ya kupata saratani ya matiti. Ndipo akaamua kukatwa matiti yake mawili.

FAINALI YA THE MIC KING KUFANYIKA MEI 25

FAINALI ya shindano la Hip Hop la The Mic King ambalo linaratibiwa na Ukumbi wa Dar Live, Litafanyika Mei 25, mwaka huu, na mshindi atazawadiwa gari aina ya Toyota Fun Cargo.

Kwa mujibu wa Luqman Maloto ambaye ni mratibu wa shindano hilo, fainali ya The Mic King itafanyika siku hiyo katika kilele cha Usiku wa Hip Hop ambao huandaliwa na Ukumbi wa Dar Live, ulioko Mbagala Zakhem, Dar es Salaam.

Labels