Pages

This is default featured slide 1 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by Lasantha Bandara - Premiumbloggertemplates.com.

This is default featured slide 2 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by Lasantha Bandara - Premiumbloggertemplates.com.

This is default featured slide 3 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by Lasantha Bandara - Premiumbloggertemplates.com.

This is default featured slide 4 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by Lasantha Bandara - Premiumbloggertemplates.com.

This is default featured slide 5 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by Lasantha Bandara - Premiumbloggertemplates.com.

Wednesday, October 30, 2013

Tash feat Pbling - Bye Bye Video Coming Soon


AUDIO | DAMIAN SOUL feat. JOH MAKINI "NI PENZI" Coming Soon


A
Mkali wa miziki ya Soul bongo anajulikana kwa jina la Damian Soul anatarajia kuja na wimbo wake mpya alioupa jina la NI PENZI akiwa amemshirikisha mkali mwingine wa Hip Hop bongo anayetokea kundi la WEUSI anajulikana kwa jina la Joh Makini.
 
Damian anawaomba mashabiki wake wampokee kwa ujio huu mpya na anaamini hatowaangusha.

P SQUARE LIVE IN DAR | SIKU YA JUMAMOSI TAREHE 23.II.2013

M-PESA: 30,000Tsh
DUKANI: 35,000Tsh
GETINI: 50,000Tsh

Tuesday, October 29, 2013

NGOMA MPYA: BOB JUNIOR FT. VANESSA MDEE - BASHASHA

Ni ngoma mpya kabisa kutoka kwa msanii Bob Junior inayokwenda kwa jina la "BASHASHA" ambayo amemshirikisha mwanamuziki Vanessa Mdee.

DIAMOND NA DAVIDO WALIPOKUWA STUDIO WAKIREKODI REMIX YA NUMBER 1

Davido akiingiza sauti

Diamond akimwelekeza Davido baadhi ya maneno ya kiswahili aliyoyatumia ndani ya wimbo wa number

VIDEO YA 2030 YA ROMA KUTOKA NOVEMBA 01 2013

Ile video iliyokuwa ikisubiriwa kwa Hamu na Fans wa Msanii anayewakilisha TA Roma Mkatoliki inatarajiwa kuachiwa Rasmi Mwezi Novemba 01 Mwaka Huu.

Taarifa za Ujio wa Video hiyo zimetolewa na Muongozaji wa Video Hiyo ambaye alishafanya Video kadhaa kama Listen,Jikubali n.k si mwingine “Nisher”.

. 
 
Tunaendelea - Kipande kingine tena hiki hapa tena, cha 2030 ya Roma Mkatoliki,, wait wait this Friday ni zaidi ya Display katika Screen yako.

Monday, October 28, 2013

Chris Brown Akamatwa Na Polisi Washington DC

Mwanamuziki wa Pop na R&B Chris Brown akamatwa leo saa  4:25 a.m. asubuhi (0825 GMT) na kutiwa mbaroni na Polisi akiwa jijini Washington DC Marekani kwa kosa la kupigana na mtu ambaye haikujulikana ana uhusiano gani na msanii huyo, mtu huyo aliyefahamika kwa jina la Christopher Hollosy na yeye pia alikamatwa na polisi lakini alipelekwa Hospital kwanza.


chris_brown_lead_1
Chris Brown ambaye kwa sasa anatumikia adhabu ya kazi za kusaidia jamii kutokana na kosa la kumpiga aliyekuwa mpenzi wake Rihanna na pia hivi karibuni kukutwa na hatia ya kugonga mtu na kukimbia jijini Los Angeles ambapo aliongezewa adhabu ya kusaidia kazi za kijamii kwa muda wa masaa 1000.

Ofisi ya uwanasheria jijini Los Angeles imemshtaki mwanamuziki huyo kwa kosa la kukwepa kutumikia adhabu yake ambayo Chris Brown anatakiwa kuitumikia baada ya kupewa ruhusa ya kutumikia adhabu hio nyumbani kwao Virginia.

Sunday, October 27, 2013

Dk Jose Chameleone ashinda tuzo ya BEFFTA...awabwaga Rihanna na D'Banj.

Jose Chameleone ameibuka mshindi kwenye tuzo za BEFFTA, tuzo kubwa za Ulaya kwaajili ya watu weusi ambazo huwatuza watu kwenye burudani, fashion, televisheni na sanaa.

Chameleone alikuwa ametajwa kuwania kipengele cha Best International Act na alikuwa akishindana na wasanii wengine wakiwemo Rihanna na D'Banj.
Tuzo hizo zimetolewa jana Ijumaa na leo Jumamosi pia huko jijini London.
Kupitia Facebook, Chameleone ameandika kuelezea furaha yake baada ya kutwaa tuzo hiyo:
"It's hard to fully express my gratitude towards all of you who appreciate My MUSIC, and love AFRICAN music at large. You are the reason I have managed to add another onto my list and rankings. Am fresh and still jubilating with you This joyous feeling in me i congratulate my fans worldwide, we did this together i have just won BEFFTA AWARDS BEST INTERNATIONAL ACT- DR JOSE CHAMELEONE."

LIVE SHOO YA FIESTA 2013 DAR ES SALAAM NOUMA SANA USIKU HUU


 
CREDIT: MICHUZI JR
BAADA YA MITAMBO KUPATA HITILAFU JANA USIKU NA KUSHINDWA KUENDESHA MITAMBO MIKUBWA; M/KITI WA KAMATI KUU YA SERENGETI FIESTA 2013 KWA NIABA YA KAMATI NZIMA NA PRIME TIME PROMOTIONS BW. SEBASTIAN MAGANGA AMEOMBA RADHI SANA NA KUWATANGAZIA WATANZANIA NA KUWAALIKA KURUDI LEO SAA 9 ALASIRI ILI KUWAONA WASANII WOTE AMBAO HAWAKU PERFORM JANA KAMA VILE DAVIDO, DIAMOND, NAY WA MITEGO, MOHOMBI NA WENGINE.

HAKUTAKUWA NA KIINGILIO CHOCHOTE KWA LEO HII NI BUREEEEEE...... PIA AEKIRI NA KUSISITIZA KUWA LICHA YA MAZURI MENGI WAYAFANYAYO ILI KUKAMILISHA NA KUTIMIZA HAJA YA BURUDANI BASI MAPUNGUFU NI SEHEMU MOJAWAPO YA KITU KISICHOKWEPEKA. AMETOA SHUKRANI ZA DHATI SANA KWA WOTE WALIOJITOKEZA KATIKA MATAMASHA YOTE AMBAYO WAMEYAANDAA YA MIKOANI NA HATIMAYE KATIKA KILELE KIKUBWA JIJINI DAR. News via Clouds FM

SO NI KUANZIA SAA 9 NDANI YA VIWANJA VYA LEADERS CLUB BUREEEEEEE
 

Monday, October 21, 2013

VIDEO MPYA:-KIMUGINA - LINEX The V.O.A

HIZI NDIZO SABABU ZA MR BLUE ZA KUTOONEKANA KWENYE VIDEO YA HEMEDY PHD - REST OF MY LIFE

 
Blue amesema "Ni kweli Hemedy alinitafuta tufanye video ila wakati huo nilikuwa na show nje ya nchi na nilivyo rudi sikuwa na nafasi ila tulikubaliana kuwa tuta shoot hivi karibuni, Blue amendelea kusema  Ameshanga sana kusikia kuwa video imetoka bila yeye kuwepo na kuwa Hemedy amechana mistari yake, Sina sababu ya kutokuwepo kwenye video ya Hemedy kwani sisi ni marafiki na nampa heshima sana Hemedy kama kaka yangu, Nikimuona Hemedy nitamuliza kwanini ameshindwa kusubiri mpaka niwe na muda wa kufanya sehemu yangu na ametoa video bila mimi"
Mr Blue Alimaliza kwa kusema kuwa Atakacho fanya ni kumtafuta na wayamalize na kama kutakuwa na version ya pili ya hii video basi anauhakika wa kuwepo kwenye kipande chake alisema

KWA UPANDE WA HEMEDY PHD
 
HEMEDY PHD AWAOMBA LADHI FANS WAKE KWA KUTOONEKA MR BLUE KWENYE VIDEO YA WIMBO WA REST OF MY LIFE.
The Hit Maker wa Track ya Rest Of My Life nazingine Kibao ''Hemedy PHD'' Aliyomshirikisha Mr Blue Amewaomba Ladhi Mashabiki wake kwa Kutooneka Mr Blue kwenye Video ya Wimbo Huo ambayo imeachiwa Rasmi Leo.

Hemedy amesema kuwa Kutokana na Mr Blue Kuwa na Tour nyingi nje ya Nchi ndiyo sababu kubwa iliyofanya Mr Blue kutoonekana kwenye Video hiyo hii nikutokana na yeye Kutaka kuwahi kuitoa Video Hiyo.


PHD Ameongeza Kuwa Licha ya Video hiyo kutoka lakini atafanya Version ya Pili ambayo itamuhusisha Mr Blue na inatarajiwa kuanza kufanyika mapema kabla ya Mwaka Huu Kuisha itakuwa Tayari imetoka.

Akipiga Stori katika Kipindi Cha BEST REQUEST...online www.bestfm.co.tz kinachorushwa na BEST FM ya Mkoani Njombe wilaya ya Ludewa amesema anampango wa Kurelease New Joint nyingine ambayo amemshirikisha Bi - Dadakuwa na Mapema Mwazoni mwa Mwaka 2014 ataachia Filamu yake ambayo kwasasa Inafanyiwa uhariri/Editing.


SIMBA WAONGOZA DHIDI YA YANGA KATIKA ''NANI MTANI JEMBE''?

Pamoja na mchezo wa watani wa jadi kuisha kwa sare ya 3-3 Jumapili ya wiki iliyopita, Simba wameanza kuongoza katika kampeni ya "Nani Mtani Jembe?" inayoendelea hivi sasa kwa kuwashirikisha mashabiki wa klabu hizi mbili kongwe nchini.


Mpaka sasa Simba wana kitita cha Shilingi 50,012,500.00 wakati watani wao wa jadi Yanga wana Shilingi 49,987,500.00. 

Upigaji wa kura katika kampeni hii unahusisha mashabiki kununua Bia ya Kilimanjaro na kusoma namba zilizo chini ya kizibo na kutuma kwa ujumbe wa simu wakianza na jina la timu wanayoishabikia kwenda 15440 na moja kwa moja Shilingi 1,000 kupunguzwa kutoka kwa wapinzani na kuwekwa kwa timu yao. 

Matokeo ya Nani Mtani Jembe yanapatikana katika tovuti ya http://kilitime.co.tz/campaigns/nmj/

DIAMOND "SIWEZI KUSAHAU DADA WA KWANZA NILIYEMUOMBA TUSHOOT VIDEO ALINIJIBU SIWEZI SHOOT NA MA UNDERGROUND"

Kitu ambacho siku zote siwezi kukisahau katika
harakati na siku za Maisha yangu ni jinsi dada
 wa kwanza nilivyomfata na kumuomba kushoot video na mimi
akasema "Siwezi kushoot Video na Ma undergeound" Dah! Iliniuma saaana... Lakini
 wewe kwa moyo mmoja bila maringo uliamua kunisaidia
 na kukubali kushoot video na mimi na
 hatimaye ikaniweka kwenye Ramani... dah! siku zote huwa
nakushkuru na kukuombea sana
 kwa mwenyezi mungu kwani naamini wewe ni

 mmoja ya watu waliofanya hadi mimi kufika hapa... MyVideo Queen Nenda Kamwambie #BestSongofTheYear2009  BestRnBSongof TheYear2009

PROF JAY:-Leo nimekabidhiwa BARCODE yangu na shirika la GS1 TANZANIA.

Leo nimekabidhiwa BARCODE yangu na shirika la GS1 TANZANIA.
Hii itaniwezesha kuweza kutanua zaidi wigo wa soko la Muziki wangu na kuwafikia mashabiki wangu sehemu mbali mbali duniani na Quality ya juu zaidi, kwa wale wote waliokuwa wakiniulizia watapataje muziki wangu wa zamani na wa sasa tena kwa kiwango cha juu kabisa kaeni mkao wa kula....MUNGU AWABARIKI SANA!!

Sunday, October 20, 2013

KAMA ULIMIS KUSIKILIZA B 20 ZA BEST FM...SASA HII NDIYO ORODHA YA BEST FM B TWENTY 20 AUGUST 2013



Namba
Jina la Wimbo & Msanii
Nafasi wiki hili &Lilipita
20
Bei ya Mkaa – Nick II Ft Joh Makini 16
19 Mungu Nipe – Dogo D Ft Abuu Nusic 20
18 Umependeza - Rachel 19
17 Thanks God – Godzilla Ft Walter Chilambo 17 Kwa Wiki Mbili.
16 Jaribu Kujiuliza – Kala Jeremiah Ft Marry Lucos 09
15 Mwambie Mwenzio – Stamina Ft Warda & Darassa 11
14 Umechelewa – Suma Manazaleth Ft Richard 18
13 Bila Kukunja Goti – A.Y & Mwana FA Ft J Martins 13 Kwa Wiki Mbili.
12 Touchin' Body – J Martins Ft Dj Arafat 15
11 Kimugina – Linex The V.O.A 14
10 Au Sio – Adam Mchomvu (Baba Jonii) 12
09 Salamu Zao – Ney Wamitego 06
08 Tupogo – Ommy Dimpoz Ft J Martins 08 Kwa Wiki Mbili.
07 Kama Huwezi – Rama Dee – Lady JayDee 07 Kwa Wiki Mbili.
06 Nakaza Roho – Chid Beenz 10
05 Mrs Super* - Young Killer Ft Bright & Nemo 05 Kwa Wiki Mbili.
04 I Love You – Cassim Tajiri 04 Kwa Wiki Mbili.
03 Weka Ngoma – Darassa Ft Lameck Ditto 03 Kwa Wiki Mbili.
02 Number One - Diamond 02 Kwa Wiki Mbili.
Bonus Track Selena Gomez – Slow Down



DJ Khaled Feat. Chris Brown, Wale, Wiz Khalifa & Ace Hood -I'm Still

01 Roho yangu – Rich Mavoko 01 Kwa Wiki Mbili.

FUTURE AMFUNGULIA MASHITAKA DREEZY

future-drake 

Future msanii ambaye ni boyfriend wa Ciara, zilitoka taarifa kwamba ametoswa kwenye tour ya Drake iliyopewa jina la “Would You Like a Tour”. 

Kabla ya kutolewa ilitangazwa kwamba atakuwepo kwenye hiyo tour. Future alichukua hatua za kufungua mashataka akitaka kulipwa fidia dola 1.5 million baada ya kutolewa.

Lakini kwenye show ya kwanza ya tour hiyo ambayo ilifanyika huko Pittsburgh, mashabiki walishuhudia show ya Future kitu ambacho kina tafsiriwa kwamba Drake amemrudisha Future kwenye list ya wasanii watakaofanya tour hiyo.

Unaambiwa Future angekosa ku-make pesa sana kama angeikosa hii tour kwasababu ina show za kutosha ambazo zinamuigizia pesa. Hiyo pia ilikuwa sababu kubwa ya kufungua mashataka ya kudai fidia ya dola 1.5 million baada ya kutangazwa kwamba ametolewa kwenye tour
Show ya Future kwenye “Would you like a tour”

Labels