Pages
▼
Friday, August 29, 2014
Thursday, August 28, 2014
Tuesday, August 26, 2014
Monday, August 25, 2014
Suge Knight apigwa risasi sita katika Pre- MTV VMA Party iliyoshereheshwa na Chris Brown
Party ya utangulizi wa utoaji tuzo za video za MTV (Pre-VMA Party)
iliingia dosari baada ya CEO wa zamani wa Death Row Records alikuwa
mmoja kati ya watu watatu waliojeruhiwa vibaya kwa risasi.
Kwa mujibu wa TMZ, machafuko hayo yalitokea nje ya club ya usiku ya
10AK magharibi mwa Hollywood majira ya saa saba na nusu usiku.
Suge Knight anaripotiwa kupigwa risasi sita zilizompata tumboni, mkononi na sehemu nyingine za mwili. Alikimbizwa hospitali ambapo hali yake inaripotiwa kutia matumaini baada ya kufanyiwa upasuaji.
Polisi walifika katika club hiyo na watu wote walitoka wakiwa wameweka mikono juu kufuatia tukio hilo la hatari.
Chris Brown alikuwa mshereheshaji katika party hiyo ambayo ilihudhuriwa na watu maarufu akiwemo Tyson Beckford.
Mashuhuda wameeleza kuwa kabla ya tukio hilo, rapper The Game na rafiki zake waligombana na mlinzi wa club hiyo na kukataliwa kuingia ndani.
Game aliondoka na kuwaacha rafiki zake maeneo hayo.Kufuatia tukio hilo, Polisi wanafanya uchunguzi dhidi ya makundi mawili ya kihalifu ambayo yalikuwa na beef ya muda mrefu.
Game na Suge Knight wote wanahusishwa na kundi maarufu la bloods.
“It's disappointing that we as a society can't have fun or enjoy ourselves without any altercations sometimes. Miss me with the bullshit!!!” Alitweet Chris Brown baada ya tukio hilo

Saturday, August 23, 2014
VIDEO | PROFESSOR JAY F| DIAMOND PLATINUMZ - KIPI SIJASIKIA
Tazama kionjo cha Video Mpya ya Prof Jay aliyomshirikisha Diamond
NEW SONG | CHRIS BROWN - X
Hit Maker wa Single ROYAL na zingine nyingi Chris Brown Ameachia wimbo unaobeba Jina la Album yake inayotoka septemba 16 mwaka huu
Friday, August 22, 2014
Thursday, August 21, 2014
Tuesday, August 19, 2014
Monday, August 18, 2014
Professor Jay:-Hammer, Cigar, Bakora, Casino: Professor J ni mdosi kwenye video ya Tatu Chafu (Picha)
Safari hii Joseph Haule aka Professor Jay ni kama ameamuakulipa deni alilonalo kwa mashabiki wake, sababu amesema hataki kuweka gap la ukimya tena, itakuwa ni mwendo wa bandika bandua.
Baada ya kutoa single ya ‘Kipi Sijasikia’ aliyomshirikisha Diamond Platnumz mwezi April, hivi karibuni ameachia audio ya single nyingine inayoitwa ‘Tatu Chafu’.Licha ya kuwa video ya ‘Kipi Sijasikia’ aliyoshoot na Adam Juma wa Visual Lab: Next Level mwezi uliopita (July) bado haijatoka, tayari ameanza kushoot video ya single mpya ‘Tatu Chafu’ chini ya mwongozaji Hefemi.
Kupitia Instagram Jay ameshare picha za BTS ya utengenezaji wa video ya
‘Tatu Chafu’
‘Tatu Chafu’
“Day one. .. Madirector na maproducer wetu tukiwawezesha WANAWEZA , Asante Mungu. .. #Hatuachii Gap #Nakung’ata mchana kweupeee kama MBU wa
DENGU #puna Nikupune #BACK2BACK MUZIK #STRICKLY HIPHOP #TheMastermind of the GAME #Nilimshawishi baba yako akuruhusu Uimbe. ..UNABISHA??? @hefemi @nkwabi1 @adamjumanxl @nisherbybee @majani187 @marcochalitz
@fresh120media” Aliandika Professor Jay

“#TATUCHAFU video. …#MGodi unaotembea kwenye HIP HOP GAME #puna nikupune #Hatuachi gap tena mpaka waombe POOH #MWANALIZOMBE #Video directed by @hefemi Three Locations to GO. #God is great!!! “Aliandika
“Day one…. #TATUCHAFU Video in the making. .. ASANTE MUNGU kwako hakuna kinachoshindikana.. . Two locations down , Three to go!!! Work work work”. Aliandika kwenye moja ya picha.
CREDIT:-BONGO5.COM
CHIBWA WA TANCHY KUFANYA COLABO NA JOSE KAMILIONI
The Hit Maker wa Track NISHAI na KWANZA Chibwa wa Tanchy yupo
kwenye Hatua za Mwisho za kukamilisha Mipango yakufanya Track ya Pamoja na
Msanii Jose Kamilioni wa Nchini Uganda.
Chibwa amesema ilikuwa ni kiu ya muda Mrefu lakini Hatua
aliyofikia nikubwa na kitu kilichobaki ni kusubiri Muda ukifika watu watasikia
Radha mpya kabisa kwenye Colabo hiyo
Chibwa amesema hayo wakati wa Mahojiano na Mtangazaji wa Kituo cha Redio Jijini Mbeya "Mbeya Highlands Fm" Ergon Elly wakati wa Tuor ya Muziki inayoandaliwa na Bia ya Kilimanjaro
Friday, August 15, 2014
NYIMBO TANO ZA WIKI | MBEYA HIGHLANDS FM ON HOT SHOW
01-Jlo
F| T.I – aka
02-Wiz
Khalifa - Stayin Out All Night
03-ThroneBoy
– Work It
04-DJ
Khaled - Hold You Down (Feat. Chris Brown, August Alsina, Future & Jeremih)
05-Beautiful
– Sauti From East
CHIBWA WA TANCHY AUTABILIA MAKUBWA MUZIKI WA RAGA NA DANCEHALL
Chibwa wa Tanchy amesema Muziki wa Raga na Dancehall Unawatu wengi lakini wamekuwa hawaonekani wala kufahamika kutokana na kukosa Support kwa Media kama Muziki Mwingine
Mshindi wa Tuzo ya Raga na Dancehall kupitia Tuzo za KTMA 2014 Chibwa ameutabilia Makubwa Muziki huu kwa Miaka Michache ijayo....Amesema hayo wakati wa Mahojiano na Mtangazaji wa Kituo cha Redio "Mbeya Highlands Fm" wakati wa Tour yao Mbeya Inayodhaminiwa na Bia ya KilimanjaroThursday, August 14, 2014
NICKI MINAJ ATAPERFORM WIMBO WA "Anaconda" KATIKA MTV VMAs 2014
Imetangazwa kuwa Msanii wa YMCMB Onika Tanya Maraj a.k.a Nicki Minaj Atafanya Performace ya Wimbo
wake Mpya ANACONDA kwenye MTV VMAS.
Tuzo hizo zitafanyika Agosti 24 2014 huko Inglewood, CA.,Wasanii wengine watakao ungana na Nicki Minaj katika
Performance ni Usher Raymond,Ariana Grande,Beyonce na Wengine Wengi. Beyonce pia
Atapokea tuzo ya Michael Jackson Video Vanguard katika tukio hilo.