Pages

This is default featured slide 1 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by Lasantha Bandara - Premiumbloggertemplates.com.

Saturday, April 28, 2012

Drake aanguka tena jukwaani

BIRMINGHAM, Uingereza NI kichekesho. Rapa Drake aliwashangaza mashabiki wake pale alipoanguka wakati akitumbuiza jukwaani huko Uingereza. Kilichowachekesha mashabiki siyo kuanguka kwake, bali ni ujumbe aliokuwa akiutoa na kitendo hicho. Inadaiwa rapa huyo alianguka wakati akiimba wimbo Take Care ambao tafsiri yake ni 'Kuwa mwangalifu'. Kingine kilichowachekesha mashabiki ni kitendo cha rapa huyo kujifanya kama vile alipanga kuanguka na kujikusanya...

Wastara awaonya wanaomchukulia mumewe!

      Kufuati uvumi uliozagaa katika Jiji la Dar ukidai kwamba, msanii anayefanya vizuri kwenye gemu la sinema Bongo, Juma Kilowoko ‘Sajuki’ amefariki dunia, mkewe Wastara Juma ameibuka akiwataka wazushi hao kuacha mara moja tabia hiyo. Uvumi huo ulizagaa kuanzia Jumamosi iliyopita huku watu kadhaa wakiandika kwenye kurasa zao za mtandao wa kijamii wa Facebook kuwa, staa huyo ameaga dunia. Wastara mwenyewe alikiri kupokea...

Afande Sele atoa somo la Siku ya Kufa

MFALME wa Rhymes kutoka mji kasoro bahari, Morogoro, Afande Sele, amewatahadharisha wasanii wenzake kuwa makini na maisha akiwaambia kuna siku ya kufa kama ilivyo ile ya kuzaliwa. Afande Sele ambaye alisherehekea siku yake ya kuzaliwa Aprili 24 mwaka huu, amewataka wasanii na Watanzania kwa ujumla kuishi maisha ya amani na upendo. "Tuna wajibu wa kukumbuka kuwa kama kuna kuzaliwa basi kuna kufa vilevile. Siku ya kuzaliwa itumike kama changamoto kwetu tukitafakari kwanini tupo duniani na makusudi na Mungu kutuumba wanadamu na si wanyama au ndege,"...

Kidumu jukwaa moja na Msechu

MSANII kutoka nchini Burundi aliyefanikiwa kutamba Afrika Mashariki kutokana na nyimbo zake, Kidumu, anatarajia kufanya shoo akiwa pamoja na Peter Msechu kutoka Tanzania. Shoo hiyo iliyopangwa kufanyika sehemu maarufu ya kiburudani iliyopo jijini Dar es Salaam ijulikanayo kama Mbalamwezi Beach, inatarajia kufanyika Ijumaa ya Mei 4 mwaka huu. Kidumu ambaye alikuwa kioo kwa msanii Peter Msechu wakati wa shindano la Tusker Project Fame, atasindikizwa na msanii huyo katika nyimbo zake atakazoziimba usiku huo. Na mwanasport...

Dully Sykes aifunua BBM

MSANII wa muziki wa kizazi kipya, Dully Sykes Mr Misifa, ameamua kuingilia kati tabia ya vijana wengi kujikita katika mapenzi ya kwenye mtandao ambayo kwa mujibu wa msanii huyo ni ya kudanganyana. Dully ambaye hivi sasa ameibuka na wimbo wake mpya 'Mapenzi ya BBM', amesema alisukumwa kuandika mashairi ya wimbo huo kutokana na tabia ya akinadada wengi siku hizo kuutumia mtandao huo kuharakisha ngono kabla ya ndoa. "Mapenzi ya BBM ni wimbo maalum kwa watu wanaotumia BBM (Blackberry Messenger) tu," alisema. "Siyo Watanzania wote, lakini wapo wachache...

Barnabas: Magubegube una ujumbe mzito

MSANII aliyesheheni vipaji lukuki kutoka Tanzania, Barnaba Elias Barnabas, amesema kuwa ujumbe uliomo katika wimbo wake wa Magubegube, ni mzito zaidi ya jina la wimbo wenyewe. "Magubegube ni wimbo ambao nilipanga kuwapa ujumbe wanafunzi wa shule hasa wa kike," anasema Barnabas. "Kuna wanafunzi ambao wanakwezwa na walimu wao baada ya kuwaridhisha kimapenzi, pia wapo ambao wanafelishwa makusudi hasa wanapokataa kuwaridhisha kimapenzi baadhi ya walimu wenye tabia mbovu. "Lakini pia ujumbe huo unawaendea na wale wanaopenda ovyo na wenye tabia chafu...

KITABU: Chuo Kikuu cha Hiphop!

      Hiki ni kitabu kuhusu Hip Hop kimeandikwa na M.S. HANZI "MALLE" ni denti wa Chuo Cha Ustawi wa jamii Dar es salaam. Dhumuni la kuandika kitabu hiki ni kutoa mwanga kwa jamii kuhusu Hip Hop na ukweli uliopo kuondoa mtazamo hasi kwamba Hip Hop ni uhuni, ni ya rika fulani tu, kutokana na makosa maarifa utamaduni wa Hip Hop, vijana wengi duniani wanakosea kwa kufikiri vitu/ vitendo kama kuvuta bangi, kunywa vileo,...

Friday, April 27, 2012

ROMA MKATOLIKI KUYAWEKA MAISHA YAKE YA MZIKI KWENYE DOCUMENTARY YAKE MPYA.

  Msanii anayeiwakilisha TANGA katika bongo fleva ROMA, baada ya kuchukua tuzo mbili za Kilimanjaro kama Msanii bora wa Hip Hop na wimbo wake Mathematics kuchukua kama wimbo bora wa Hip Hip hivi sasa anatengeneza Documentary yake inayoeleza maisha yake kimuziki toka alivyoanza mziki shida alizopitia mpaka kufikia hivi sasa alipofikia.   Roma akiwa katika studio ya Tongwe Rec akiitengeneza DVD hiyo ambayo amesema nimapema...

KOFFI CHARLES OLOMIDE AJIPANGA KUGOMBEA UBUNGE KONGO

Koffi Charles Olomide ambaye hivi karibuni amesaini mkataba mwingine na Bia ya SKOL wa kumdhamini kwa miaka miwili ambapo kampuni hiyo itagharaia show zake na kuwalipa mishahara wanamuziki wake.Koffi kwa sasa amezidisa show zake za barani Afrika na kuimarisha zile za Kongo Kinshasa ikiwa ni matokeo ya wanaharakati wa Congo wanaojulikana kama Banakongo au Lecombatant ambao wameongoza kufanya fujo kwenye show za wanamuziki wote ambao walikuwa wakimsupport Rais Kabila kwenye kampeni ambapo Koffi alitunga wimbo kwa ajili ya kuhamasisha wananchi...

Saturday, April 21, 2012

KURASA ZA MTANDAO WAKIJAMII FB J'MOSI

  Neuro Magret Wapendwa....Je ni halali kwa huyu mbunge wetu Halima Mdee kuchangisha pesa kwaajili ya kumsaidia 'LULU na familia yake?Je ni watu wangapi wapo gerezani kwa kuonewa na wengine wana hali duni katika jamii zetu lakini hawana misaada?LULU ni kama nan?kwanini asiiache Sheria ikachukua mkondo wake? ","type":22}" name="like" onclick="fc_click(this, false); return true;" title="Like this item"...

kurasa za facebook j'mos

Abuneri Mgaya MAISA YAMEBADIRIKA XANAUKIENDA KUMSARIMIA BA MDOGO WAKO,SHANGAZ YAKO AU KAKA AKOWANAONA UMEWAONGEZEA MZIGOWANAANZA KUKUULIZA MASWALI MENGI MENGIUNAKAA CKU NGAPIKWANINI UMEKUJAMPAKA UTAGUNDUA WANANIA YA KUKUFUKUZA   Nahima Sharifu likes this. Deo Mhumbira Zamani tukienda kwa watu kama hao tulikuwa hatuendi mikono mitupu, angalau kadebe cha mchele n.k., na pia tukikaa huko hatuachi kusaidia kazi k.v. za shamba...

NI KWA UPANDE WA KURASA ZA FACEBOOK ZILIVYO ANDIKWA LEO J'MOSI

SORT Deogratius Van MginaKIGLOBALIZESHENI ZAIDI HII NI ISHARA YA TANZANIA KUELEKEA KATIKA "UTAJIRI TULIONAO" IN REAL WANAOTUIBIA SERIKALINI WATAPUKUTIKA NA WENGNE WATAKUWA WASAFI "HATA KAMA SINA CHAMA THANX SANA TIMU YA WABUNGE WA CHADEMA KWA KUMWAGA TINDIKALI YA KUTOA VIRUS" baada ya miaka mi5 tu TZ itakuwa NEXT LEVEL.... Simon Nkutupa yah kwa nguvu za chadema 2napata nn 2lichokuwa 2nakihitaji pia kwa ushirikiano wa wananchi...

Labels