Pages

This is default featured slide 1 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by Lasantha Bandara - Premiumbloggertemplates.com.

Sunday, May 06, 2012

Diamond afunguka! Nimejiajiri, nimeajiri kupitia muziki

 MSANII anayeongoza nchini Tanzania kwa ubunifu wa kufanya shoo nzuri na zenye mvuto mkubwa kwa mashabiki wake amesema kuwa kwake muziki ni ajira na ni kazi kama ilivyo kwa mfanyakazi anayeingia ofisini. Mshindi huyo wa tuzo tatu za Kilimanjaro kwa mwaka huu na mwaka 2010, alisema kuwa anafanya kazi hiyo kwa malengo zaidi na ndio maana anaweza kuwateka mashabiki wake na kuufanya muziki wa kizazi kipya uzidi kupendwa ndani na nje ya nchi. "Nafanya muziki kama kazi, sifanyi muziki kujifurahisha mimi na kutafuta pesa pekee huku nikiwaacha...

Lady Jaydee apanga kutengenezewa beat na Dr Dre!

  Ameshafanya kazi na wasanii wakubwa Afrika kama Oliver Mtukuzi na wengine lakini kwake Judith Wambura aka Lady Jaydee anaona haitoshi.Sasa anatamani kufanya kazi na producer mkubwa kabisa duniani na ambaye kwa mujibu wa orodha ya wafalme wa Hip Hop wenye mshiko zaidi duniani (Forbes) mwaka huu amekamata nafasi ya tatu, Andre Romelle Young ama Dr Dre, whaaaaaat! Jaydee you must be kidding right?Mapema Jumapili hii Jaydee ametweeet,...

Mayweather awapa raha wana Hiphop!

  Ukimtoa Mike Tyson, hakuna boxer mwingine duniani kipenzi cha wanamuziki hasa wa Hiphop kama Floyd Mayweather Jr.Usiku wa kuamkia leo amedhihirisha kuwa hatakuja kushindwa ulingoni na boxer yoyote wa uzito wake kwa kumshinda Miguel Cotto kwa pointi na kuchukua mkanda wa WBA junior middleweight. Boxer pekee aliyebakia na ambaye anadhaniwa pengine anaweza kuivunja rekodi yake ya kutopigwa ni Manny Pacquiao wa Ufilipino. Baada ya ushindi...

YALIYOJIRI KWENYE KILI MUSIC AWARD WINNERS MWANZA

   Show ya hapa Mwanza ilifunguliwa na msanii wa taarabu Isha Mashauzi, shangwe zilikuwa zakutosha kabisa na wapenzi wa burudani ya taarabu walipata chakula cha ubongo.  Akafuatia msanii aliyechukuwa tuzo ya RnB anajulikana kama Ben Pol  Misago, Hellen & Dullah Barnaba, Hellen & Sam Misago  Kaka mkubwa ndio aliyekuwa akiangalia ulinzi wa wasanii wote wakiwa salama   Ikafikia...

Wanamuziki wa Kenya kufanya maandamano ya amani

Wanamuziki wa Kenya kesho May 6 watashiriki katika maandamano ya amani katikati ya jiji la Nairobi. Wasanii hao kwa pamoja wakijiita Kenya One, wataungana kusisitiza amani na mshikamano nchini humo katika kuelekea kipindi cha uchaguzi. Wataungwa mkono na watu wazito akiwemo mwenyekiti mtendaji wa Safaricom Bob Collymore na Jimnah Mbaru na Chris Kirubi. Bob Collymore "Tutatembea kutoka KICC na kuzunguka mitaa yote mikubwa....

Beyonce apewa tuzo ya uandishi wa habari!

  Beyonce Knowles – mwanamke mrembo zaidi duniani  (kwa mujibu wa People Magazine) mke wa rapper wa pili kwa hela duniani, Mama wa mtoto mrembo na mshindi wa tuzo kibao za Grammy na sasa ameongeza heshima nyingine ambayo si rahisi kuifikiria . Mwanamuziki huyo ameshinda tuzo kutoka kwenye umoja wa waandishi wa habari weusi wa New York kwa makala yake aliyoiandika kwenye jarida la Essence iitwayo...

Simu za Jose Chameleone zawa kimbilio la wanyonge

  Wanasema ukiwa na hela unaweza kufanya lolote utakalo! Yaweza yasiwe mambo yote katika dunia hii kama vile kununua pumzi, lakini wazo la biashara lolote linaweza kutekelezwa kama pesa ikiwepo. Kibongobongo wazo rahisi kabisa la msanii wa muziki apatapo vijisenti ni duka la nguo? Hakuna idea zingine?  Ni tofauti kidogo kwa nguli wa muziki nchini Uganda Jose Chameleone. Yeye anafikiria mambo makubwa zaidi! Tayari wiki...

Saturday, May 05, 2012

ASLAY ALIPO KUWA MAKETE

Aslay kwa Stage...

KILI MUSIC AWARD WINNERS SASA NI ZAMU YA MWANZA KUPATA LADHA YA UBONGO.

  Tukiwa Airport ya Dar pichani ni Dullah wa Planet Bongo na Barnaba  Wakati tupo uwanja wa ndege tukakutana na rafiki zetu Arthur na Salama Jabir na walikuwa wanaelekea Mwanza ila kwenye kazi yao ambayo haiusiani kabisa na tour ya Kili  Ommy Dimpozi & AY wakiwa tayari kuingia kwenye ndege, AY alikuwa na Salama so AY yeye anashow kesho jumapili hapa hapa Mwanza Baada ya kufika Mwanza salama tukapata nafasi...

Labels