Pages

This is default featured slide 1 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by Lasantha Bandara - Premiumbloggertemplates.com.

Monday, July 30, 2012

BUSTA RHYMES ANAMPANGO WA KUTOA ALBUM

Busta Rhymes ana mpango wa kutoa Album yake nyingine inayofahamika kama YEAR OF THE DRAGON ambayo itapatikana kwenye Google Play BURE.  Kwa mujibu wa maneno yake, album hii haihusiani na Cash Money ila itamshirikisha kiongozi wake Lil Wayne.  Akiweka msisitizo, Busta Rhymes a.k.a King Tut alisema, "Hii ni Album yangu ya Google, na atapewa kila mtu bure".  Busta Rhymes aliendelea mwaga info akisema, "Sababu iliyotufanya tuamue kumpa kila mtu bure ni moja, Google Play ni mahali ambapo itapatikana.  Hivyo ikitoka,...

Mshindi wa TUSKER PROJECT FAME 2012 ni RUTH kutoka NAIROBI-KENYA

Pichani: Ruth mshindi wa kwanza Age: 26 Years Old Country: Kenya I am a 26 year old lady born in the Western part of Kenya. I love music and I believe that I will die doing music because that is my passion. Aside from being a passion, I know it is a gift I got from God. It keeps me going through life's issues. Through music, I get to express myself easier and better. However, I want to use my music as a tool to speak to the voiceless...

Ben Pol alijua ‘Baadaye’ ya Ommy Dimpoz itakuja kuwa hit

Mara nyingi wasanii hupata fursa ya kusikiliza nyimbo za wenzao zinapokuwa kwenye hatua ya kutayarishwa.Ben Pol aliusikia wimbo wa Ommy Dimpoz kabla hata ya kutoka na kumwambia kuwa utakuja kuwa tishio.‘Unakumbuka niliwahi kukuambia kuhusu 'Baadae ,ona bro ,sasa nchi yote inaimba 'Baaadaeee eeeh'...hongeraaaa!!!,” ametweet Ben Pol kumwambia Ommy Dimpoz.“Nakumbuka broo thanxxx,” alijibu Ommy.Baadaye ni wimbo wa pili wa Ommy Dimpoz kufanya...

Sunday, July 29, 2012

NEW TRACK: Momba & Juma Nature - Mdundiko

Mambo niaje ndg zangu??poleni na mfungo mtukufu wa ramadhani..!!hii ni ngoma mpya ya MOMBA ambayo safari hii kamshirikisha JUMA NATURE ngoma hii inaitwa MDUNDIKO.imefanywa na producer MAZOU kutoka MAZOU RECORDS. Tunategemea sapoti yako sana hasa ukiwa kama mdau wa muziki wetu wa kitanzania..momba ni msanii ambaye ana rekodi kadhaa nyuma ambazo ni dar es salaam,gari,mimi sio sharobaro na kabwela... +255 714 885380 MOMBA.Na DJ CHOKA...

YUZZO - NEVER RUN AWAY (Official Video)

 NA Dj CHOKA...

Picha: Jason Derulo akiperform nchini Rwanda

Jana mwanamuziki wa Marekani Jason Derulo alitumbuiza kwenye uwanja wa Amahoro nchini Rwanda kwenye fainali za shindano la Primus Guma Guma SuperStar.        Hizi ni baadhi ya picha za show hiyo.                       Picha na LEOTAINMENT...

Keko asainishwa na Sony BMG Africa

Tuliliona hili linakuja mapema mno kutokana na uwezo wa rapper huyu. Hatimaye kweli imekuwa hivyo. Rapper wa kwanza wa kike nchini Uganda kupenya kwenye mainstream, Keko amekula mkataba na record label ya Sony BMG Africa. Keko amekuwa akiwasiliana na Sony BMG Africa na amekuwa akifunga safari za hapa na pale kwenda Afrika Kusini kuzungumzia mchongo huo. Habari njema ni kuwa rapper huyo anayetamba sasa na ngoma ‘Make You Dance’ amechukuliwa...

Rachel K wa Uganda kujaribu bahati American Idol ijayo

Mwanamuziki wa Uganda Rachael K amepanga kujaribu bahati yake kwenye mashindano ya American Idol mwaka huu. Tayari ameshajiandikisha kwenye shindano hilo na yupo tayari kumface jaji mpya wa mashindano hayo, Mariah Carey. July 19 kupitia ukurasa wa Facebook aliandika: “American Idol auditions tomorrow in Oklahoma City!??! Heading to registration now!!! Kutokana na status hiyo watu wengi wa Uganda na kwingine walimtakia kila lakheri...

Thursday, July 26, 2012

Ushahidi:Diamond si 'mpweke' tena!

Facebook bana raha sana! Haifichi mambo! Ukibadilisha status tu washkaji wanajua! So kumbe Diamond alikuwa mpweke muda wote huo? Kwani yeye na Jokate waliishia wapi?Tunafahamu wametosana kwa mujibu wa magazeti ya udaku na sio muda mrefu. Lakini kwa picha hiyo hapo juu inaonekana kama kijana alikuwa mpweke kwa muda sasa. Hongera lakini kwa kubadilisha status. Upweke haujawi kuwa mzuri. Ain't no fun when you are lonely! Na Daily...

Godzilla auponda mfumo wa elimu Tanzania

Rapper mwenye swagga za 50 Cent, Godzilla ameukosoa mfumo wa elimu uliopo nchini ambao anadai hautengenezi wataalam. Kupitia mtandao wa Facebook, Godzilla ameandika: Mfumo wa Elimu Tanzania inabidi ubadilishwe. Elimu ndefu sana na haiko katika kutengeneza wataalam(Experts). Mfano mtu kasoma hadi darasa la 7 akafeli na mtu aliyesoma hadi Form6 akafeli wote wanakuwa sawa coz hawaajiliwi #so miaka yote imepotea...

Labels