Pages

This is default featured slide 1 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by Lasantha Bandara - Premiumbloggertemplates.com.

Friday, December 28, 2012

ANGALIA PICHA JINSI EMPOWERMENT MUSIC GROUP WALIVYO FUNIKA KATIKA SHOW YAO SIKU YA KRISMASI

 Empowerment Music Group kwa Stage na dancers wao  Mr Red moja ya member wa kundi hilo akituzwa na Mdau wa muziki  Ergon Elly katika Willz of Chuma  Ergon Elly [kushoto] na Y - Jay member wa kundi  Mashabiki wakifuatilia kinachoendelea Ukumbini kupitia Big Screen  Y - Jay member wa EMG  Mr Red [kushoto] na  Y - Jay Show ilifanyika katika viunga vya Makete mjini...

[NSong] Brand New - Joh Makini - Sijutii

Hii ni audio ya wimbo wa Joh Makini 'Sijutii' ambayo video yake ilishatoka. Kwa mujibu wa JOh wimbo huu ulirekodiwa mwaka 2007 na umekuwa released mwaka huu 2012.    Unaweza kuusikiliza na kudownload hap...

[SONG] BRAND NEW - R.O.M.A - 2030 Intro

       Hii ni Intro ya ngoma mpya ya ROMA Mkatoliki inayo kwenda kwa jina la 2030 ambapo ametoa story kamili dhidi ya maisha ya mwanae na maana nzima ya 2030.  Sikiliza na pia download ha...

Top 20 ya wasanii waliojitolea zaidi kusaidia jamii mwaka 2012...Taylor Swift aongoza, list yamtema Rihanna.

Taylor Swift Japokuwa jamii ndiyo inayomuweka juu mtu yeyote lakini pia hutegemea kitu kutoka kwake baadae kulingana na moyo wake mwenyewe na anavyoiona jamii ya wahitaji mbalimbali, kwa kujitolea kuisaidia jamii hiyo tunaita 'kuirudishia jamii" ama kwa lugha ya kigeni tunaweza kusema 'giving back to the society' Kwa mujibu wa mtandao wa shirika la kusaidia jamii "DoSomething.org.' mwaka 2012 mwimbaji wa kike wa Pop na Country...

Hizi Ndio Sababu Zinazolifanya Kundi La P-Unit Lisivunjike

        Kundi la P-Unit kutokea nchini Kenya ambalo lionaundwa na wasanii watatu yaani Frasha, Gabu na Bon Eye limeweza kutoa sababu ya wao kutotengana au kuwa pamoja hadi leo.  Akiongea kwa niaba ya kundi zima la P-Unit, Gabu amesema kuwa P-Unit ni kama familia na wanaheshimiana sana, na sababu kubwa inayo wafanya waendelee kuwa na umoja katika kundi hilo ni mipango thabiti ambayo wamejiwekea, wanatambua...

VANESSA MDEE a.k.a V KUUTAMBULISHA WIMBO WAKE MPYA MWAKANI 2013

Baada ya kufanya vizuri katika collabo mbili kati ya A.Y na Ommy Dimpoz aliweza kufahamika  na kupelekea mashabiki wengi kumkubali katika muziki wa Bongo Fleva,Sasa kama unakumbuka siku ziliyopita alifunguka katika ukurasa wake wa twitter na akasema kwamba anatarajia kuachia ngoma yake mpya siku ya tarehe 26 mwezi huu lakini mpaka sasa kimya ni tatizo.    Leo kupitia Double XXL aliamua kufunguka na kusema kwamba amekuwa na mambo...

Uliiona hii!! Chris Brown asema anataka kuondoka kwenye hii dunia baada ya kutoa album yake, je anataka kujiua? soma undani wa habari hii.

'Don't work me up hit maker' ambae amekuwa gumzo kwenye media mwaka huu katika maswala mbalimbali ikiwemo mapenzi yanayotatanisha kati yake na warembo wawili Karruache Tran na Rihanna, ugomvi wake na Drake na mafanikio yake makubwa katika Muziki, alitoa tamko ambalo liliwashtua wengi siku kadhaa kabla ya kusherehekea sikukuu ya Christmas.   Chris Brown aliandika kupitia Instagram ujumbe unaoonesha ana machungu sana na hili...

Sunday, December 23, 2012

SERIKALI YABEBA JUKUMU LA KUMSAIDIA SAJUKI HADI KUPONA

  Serikali imechukua jukumu la kumhudumia msanii na muongozaji wa filamu Sadick Juma Kilowolo ambaye anatarajia kuondoka wiki ijayo kuelekea India kwa matibabu. Katibu wa Shirikisho la Filamu Tanzania (TAFF) Wilson Makubi, alisema Sajuki ambaye kwa sasa amelazwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili, amegundulika kuwa ana tatizo la kufeli kwa figo na kwamba yuko chini ya uangalizi na uchunguzi zaidi. Alisema kutokana...

TOP 20 ZA REDIO KITULO FM 23 DESEMBA 2012

20;-Leka Dutigite - Kigoma Allstars(12) 19;-Darasa Huru - MeccaCheka ftn Nakaaya(Ingizo Jipya) 18;-Utamu - Dully Sykes ftn Diamond & Ommy Dimpoz(2 weeks) 17 ;-Bonge la Bwana - Shetta ftn Linnah(19) 16;-Mama Yeyo - G nako ftn Ben Pol(20) 15;-Riziki Tip Top Connection(06) 14;-Let me Go - Keko(17) 13;-Ameen - Mwana FA ftn AY & Dully Sykes(11) 12;-Si kosa Lake - Empowerment Music [EMG](16) 11;-Niache Kido - Nick II,Gnako & Joh...

Saturday, December 22, 2012

[SONG] BRAND NEW;-KOBA MC - SINA NOMA NAE

  Artist;- Koba Mc  Song ;-Sina Noma Nae Prod;- GQ Studio;- DIGITAL VIBES Special Thanx SAB Multimedia Morogoro Contact +255717996666 ...

CLOSER NI NGOMA MPYA YA VANESSA MDEE a.k.a V

    Baada ya kupiga  collable na wasanii mbalimbali hapa bongo mwanadada Vanessa Mdee ameamuakuja na ngoma yake mwenyewe pina ikumbukwe licha ya kuwa mtangazaji lakini wengi wetu tunamfahamu kutokana na collabo kadhaa alizofanya hivi karibuni kama Money featured by AY, Ommy Dimpoz's Me N You  Vanessa Mdee a.k.a V. Zaidi au naweza kusema mpya kutoka kwa mwanamuziki huyu ambae pia ni mtangazaji wa kituo cha Redio cha Choice...

MAANDALIZI YA TOP 50 ZA REDIO KITULO FM 2012/2013

Kwa mdau wa muziki wa kizazi kipya hii inakuhushu kwa kupendekeza ni ngoma/wimbo upi uhusike kwenye Top 50 ya kufunga mwaka 2012 na kuukaribisha mwana 2013 kwa kuandika katika sehemu ya comment au Tuma Ujumbe mfupi wa maandishi yaani SMS kwa simu namba  0755 894 663. Hizi ni Top 50 za Redio Kitulo Fm na Track hizo zitahesabiwa na Mtangazaji  Ergon Elly pia Matukio mbalimbali yaliyotokea yanayohusu wasanii yatahusika siku ya tarehe ...

ZIFAHAMU NYIMBO ZILIZOPO KWENYE ALBUM YA KALA JEREMIAH IITWAYO PASAKA

 INRODUCTION PASAKA KALA WA MWANZA ft LANGA,SUPLISE & CHANGAS HALLOW WAAMBIENI ft ROMA,STIVE RNB & BELLA KOMBO STREET DANGER ft NEMO,BLACK WA USWAZI, & JOSE MTAMBO AZIMIO LA ARUSHA ft DOGO SHEBY MTOTO WA MAMA ft MASTER DO SABAYA REMIX ft BASHARY USHAMJU ft NOORAH ACHANA NAO MISS FLANI ft LEAH MUDDY DEAR GOD ft BABY SOFI VIPII? NINGEKUWA RAIS ft JOKATE MWENGELO DEDICATION WIMBO WA TAIFA ft NAKAAYA SUMARI NDOTO ft DULLY SYKES MISS...

Mwanamuziki kutoka Nigeria, Goldie Harvey ashinda tuzo kubwa za Nigeria Music Video Awards [NMVA]

         Mwanamuziki kutoka Nigeria, Goldie Harvey ashinda tuzo kubwa za Nigeria Music Video Awards [NMVA] huko Nigeria.   Goldie ameshinda tuzo hiyo ambapo alikuwa kwenye kipengele cha Utumiaji mzuri wa mavazi [Best Use Of Costumes] kupitia ngoma yake ya Say My Name. Katika tuzo hizo, Goldie ambae pia ni alikuwa ni mshiriki wa Big Brother Africa [Star Game] iliyopita, alikuwa anashindanishwa...

HII NI COVER YA MOVIE YA MAREHEMU SHARO MILIONEA

Hii ndiyo movie mpya ambayo Marehemu Hussein a.k.a Sharo Millionea alikuwa yuko mbioni kuitoa kabla ya kifo kumkuta. Apumzika kwa Aman...

FAT JOE KWENDA JELA KWA KUKWEPA KULIPA KODI

        Kiongozi wa kundi la Terror Squad maarufu kama Fat Joe ama Joe Crack ambae hapo nyuma alitamba na baadhi ya ngoma zake kama Lean Back, What's Love, Aint say Nothing na nyingine nyingi. Sasa latest news kutoka kwa rapper huyo ni kuwa yuko matatani kutokana na kukumbwa na mashtaka ya kudaiwa kodi ya kiasi cha dola za kimarekani $1 Million ambazo ameshindwa kulipa katika pato la taifa la mwaka...

KOIKOI NI UJIO MPYA WA MSANII OMMY DIMPOZ

    Msanii anaefanya vizuri na kazi zake kama "Me & Una zingine si mwingine ni Ommy Dimpoz akaribia kuachia ngoma yake nyingine kwa fans na inawezekana ikawa funga mwaka 2012.         Ommy ambae kwa sasa anatamba na wimbo wake wa 'Me N You' ambao amemshirikisha Vanessa Mdee a.k.a V hivi amesema yupo karibu kuachia kamba hiyo inayokwenda kwa jina la Koikoi.  Hivyo kama we ni shabiki...

KESI YA ELIZABETH 'LULU' MICHAEL IMEHAMISHIWA MAHAKAMA KUU NA HIVYO HAJATOKA KWA DHAMANA KAMA ILIVYO RIPOTIWA HAPO AWALI

Awali habari zilizoandikwa kuwa lulu atasherehekea sikukuu za mwisho wa mwaka akiwa nje lakini mambo yamekuwa sivyo kama ilivyoandikwa na hivi ndivyo  mambo yamekuwa.  Mahakama ya Hakimu mkazi Kisutu ya jijini Dar es Salam leo imefunga jalada la kesi ya kuua bila kukusudia inayomkabili msanii wa Filamu nchini ELIZABETH MICHAEL maarufu kama LULU tayari kwa kulipeleka mahakama Kuu ya Tanzania ili kesi hiyo ianze kusikilizwa. Kabla ...

Friday, December 21, 2012

Hawa ni Waigizaji wa Bongo Movie waliofanya vizuri mwaka 2012

  Kwa mjibu wa mitandao  imefanya utafiti kukusanya majina wa waigizaji bora wa mwaka 2012. Haya ndio majina yaliyotajwa zaidi. Waigizaji bora wa kiume. 1. Jacob Stephen Mwigizaji Jacob Stephen amekuwa na mafanikio makubwa katika kazi zake ambazo zimekuwa kivutio kikubwa kwa mashabiki baada ya kubeba uhusika kama inavyo takiwa na kufanya mashabiki wake kuvutiwa...

TAZAMA BAADA YA MH. GODBLESS LEMA KUSHINDA RUFAA NA KURUDISHIWA UBUNGE WAKE

Mbunge wa Arusha Mjini-CHADEMA,Mh Godbless Lema akiondoka kwa staili ya maandamano Mahakamani leo baada ya kushinda katika rufaa ya kesi yake ya kupinga matokeo, iliyosomwa jijini Dar es Salaam leo kushoto kwake ni katibu wa Chadema mkoa wa kinondoni na katibu wa kuteuliwa wa kanda maalum ya Dar es salaam Henry Kilewo    Mwekiti wa Chadema na Mbunge wa Hai, Mh Freeman Mbowe(wa pili kulia)akiteta jambo na Mbunge wa Arusha...

Labels