Pages

This is default featured slide 1 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by Lasantha Bandara - Premiumbloggertemplates.com.

Thursday, March 28, 2013

MBUNGE AFARIKI DUNIA

MBUNGE wa Chambani, Salim Hemed Khamis (CUF), ambaye alidondoka jana ghafla katika mkutano wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, amefariki dunia mchana wa leo hii. MBUNGE wa Chambani, Salim Hemed Khamis (CUF), ambaye alidondoka jana ghafla katika mkutano wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, amefariki dunia mchan huu.  Salim alianguka jana saa tano asubuhi wakati akihudhuria...

NYIMBO KUMI KALI ZA WIKI HAPA REDIO KITULO FM 29 na 30 MACHI 2013.

10:-Odemba – Empowerment Music Group E.M.G 09:-Always – Country Boy ft TID 08:-Nishai – Chibwa ft Juru 07:- Ball Player – Izzo B ft Ngwea,Quick Rocker & R...

KAMA ULIMIS KUSIKILIZA NYIMBO 20 KALI ZA REDIO KITULO FM JUMAPILI YA TAREHE 24 MACHI 2013 LIST HII HAPA.

20:-Ball Player – Izzo B ft Ngwea,Quick Rocker & Ruth [Ingizo Jipya] 19:-Naataka Leo – Alawi Jr ft Ommy Dimpoz [20] 18:-Odemba – EMG [Ingizo Jipy...

Wednesday, March 27, 2013

'SINA MAKOSA':- NI UJIO MPYA WA TIMBULO

...

BANANA ANAMPANGO WAKUFANYA KAZI NA WYRE

Banana Banana Zoro, msanii wa muziki ambaye kwa sasa anafanya poa kwenye chati mbalimbali za muziki kwa ngoma yake ya sio kama wale, ameamua kuweka hadharani kijisehemu cha mipango yake mikubwa kabisa ambayo anaifanya katika muziki wake kwa mwaka huu...

DEEK RICHARDS AFARIKI DUNIA...

Mwimbaji wa Muziki wa Pop Nchin Marekani na Mtunzi Maarufuwa Kundi la Jackson 5 Amefariki Dunia....Deek Richards amefariki Dunia Akiwa na Umri wa Miaka (...

Monday, March 25, 2013

HII NDIO LOGO YA KUNDI LA EMPOWERMENT MUSIC GROUP LILILOPO WILAYANI MAKETE - NJOMBE TZ

...

Sunday, March 24, 2013

KAMA ULIMIS TOP 10 TRACKS OF THE WEEK ZA REDIO KITULO FM TAREHE 22 MACHI 2013 HIZI HAPA

10:-Joto,Hasira - Lady JayDee ft Pro Jay 09:-Asante - Suma Mnazalet ft Dannyjo...

Wednesday, March 20, 2013

KILIMANJARO MUSIC AWARDS 2013 YAZINDULIWA LEO RASMI JIJINI DAR ES SALAAM

Meneja wa Kinywaji cha Kilimanjaro, George Kavishe akizungumza leo Tuzo za muziki maarufu kama Kilimanjaro Tanzania Music Awards 2013 zimezinduliwa leo jijini Dar es Salaam zikiwa na dhumuni kubwa la kutambua wasaniii waliopata mafanikio katika sekta ya muziki kwa kipindi cha mwaka mmoja uliopita, sambamba na kuasiniwa kawa mkataba wa udhamini wa Tuzo hizo kati ya kampuni ya TBL na BASATA kwa miaka mingine mitano...

VIDEO AUDITIONS ZA CLOSER YA VEE KUANZA KUFANYIKA KESHO

  Mchakato wa kuwatafuta warembo watakaoshiriki katika Video mpya ya Vanessa Mdee umeanza.   YEAH!!!    Auditions hizo zitaanza rasmi kesho [Tarehe 20 March] and this goes kwa wadada wote wazuri ambao wangependa kushiriki katika video mpya ya Vanessa "CLOSER" inayotarajiwa kuanza shooting hivi karibuni. Auditions hizo zitakazofanyika katika eneo/ukumbi wa Azura Beach uliopo jijini Dar es salaam zitaanza saa...

TIGER WOODS AVUTA KIFAA KIPYA.

NYOTA namba moja wa zamani duniani katika mchezo wa gofu, Tiger Woods na bingwa wa michuano ya olimpiki ya kuteleza kwenye barafu wa Marekani Lindesey Vonn wametangaza rasmi kuwa na mahusiano ya kimapenzi.   Wawili hao walitangaza taarifa hizo katika kurasa zao za mtandao wa kijamii wa Facebook ambapo walituma picha wakiwa pamoja na kumaliza uvumi uliokuwa umesambaa juu ya mahusiano yao.  Woods amewahi kumuoa...

ENTARTAINMENT UPDATES: LIL WAYNE ATOKA ICU

Rapa Lil Wayne baada ya afya yake kuonekana kuimarika siku hadi siku hatimaye ametoka katika chumba cha wagonjwa mahututi (ICU)na kuhamia katika chumba cha kawaida katika hospitali Cedars Sinai iliyopo jijini Los AngelesAlikaa katika chumba hicho takribani siku 6 akiwa yupo chini ya uangalizi makini, alifikishwa hospitali hapo siku ya jumatano ya wiki iliyopita ...

Monday, March 18, 2013

[ LYRICS]:-KALA JEREMIAH FEAT. BEN POL - KARIBU DAR

kARIBU DAR LYRICSintro: BROTHER TUMA EEE NGOJA KWANZA EEPRODUCER MBEZI YOOH HAHA 0444 SMART MUSSICubeti wa kwanzapICHA LINAANZA KA MOVIE YA SOLOMON GHAFLA VUMBI LINAZIDI WAJANJA WANAVAA MIWANIHII NDO DAR KARIBU ILA USIJISIKIE NYUMBANI HAPO UBUNGO USINUNUE SIMU UTAUZIWA SABUNIPANDA DALADALA TUKUTANE BUGURUNIKUNA WATU WANAPIGA NDOLE UTADHANIA MAJINIKA NI USIKU UTAONA RANGI ZOOTE ZA BIKINIWANAUZA MWILI ILI WANUNUE WALI MA...

[PICHA]:-VANESSA MDEE NA MWANA FA NDANI YA BOOTH

  Jana usiku it was one of those nights to remember kwani Vanessa Mdee recently known better as VeeMoney alikuwa studio with your favorite cousin, MwanaFA... BIG TINGS!!! Vee, that lady anaefanya vizuri sana kwa sasa na ngoma yake ya CLOSER [ranked as one of the most downloaded song this year] alikuwa MJ RECORDS na FA wakirekodi ngoma ya pamoja ambayo bado haijajulikana. MwanaFA crackin' it down...   VeeMoney ndani ya booth.   MwanaFA...

CHEKI ALICHOKIFANYA WIZKID KAMA SHUKRANI KWA KUFANIKIWA KIMUZIKI

Kufuatia mafanikio makubwa kimuziki ambayo msanii wa muziki wa Naijeria, Wizkid ama Weezy kama anavyojulikana sasa, mwishoni mwa wiki aliamua kufanya kitu cha kipekee huko Lagos kwa kufanya onyesho la bure kwaajili ya mashabiki wake. Wizkid mwenyewe amesema kuwa ameamua kufanya hivi kutokana na ukweli kuwa kipaji cha kuimba amekipata bure bila kumpa Mungu kitu chochote. Zaidi ya kupiga show bure, Msanii huyu pia aliamua kugawa mpunga kidogo kwa wapenzi wa kazi zake ambao walikuwa na bahati...

Nicky Minaj nae amtembelea Lil wayne Hospitalini

The best rapper alive kiongozi wa kundi la YMCMB mtu mzima Lil wayne juzi kati alikimbizwa Hospital Baada ya kuzidiwa na kudondoka chini na kupoteza fahamu mpaka mmoja wa walinzi wake alipomuona na kumkimbiza hospitali akiwa kwenye hali mbaya sana na kwa taarifa tulizo zipata ni kua Lil wayne mpaka sasa yupo kwenye chumba cha wagonjwa maututi "ICU" ambapo watu kibao walionekana hospitalini hapo wakiwemo...

Sunday, March 17, 2013

Huu ni muunganiko wa wasanii watano wachanga wa bongo fleva

 Huu ni muunganiko wa wasanii watano wachanga wa bongo fleva ambao sooo watakuja kuwa wasanii wakubwa tanzania, Y TONY, MIRROR,SHADOOH,PAPAA MASAI,NA NUH. ambao wako chini ya mamenager tofauti ambao ni shabaha,hk,mr kapongo,bad, na muro ndio wanaowasimamia vijana hao kwa pamoja hivi karibuni wanategemea kufanya tamasha kubwa sana lakuzindua kundi hilo lenye vipaji vyakuimba. new maisha club dar tar 7 april. na baada...

[COOMING SOON]:-OFFSIDE TRICK 'NIPE NIKUPE'

...

UKWELI KUHUSU UTAJIRI WA KIM KARDASHIAN HUU HAPA

Kim Kardashian Baada ya tukio la kuibiwa kwa taarifa za siri za mastaa mbalimbali hivi juzi, sasa story mtaani zimemuelemea mwanadada Kim Kardashian kutokana na siri juu ya utajiri wake kuonyesha picha ya tofauti na yeye alivyo. Imefahamika kuwa, licha ya umaarufu na dili zote ambazo Kim anazipiga, akaunti yake ya benki ina dola elfu 10 tu za kimarekani. (Hii ni sawa na shilingi milioni 16 na laki 2 tu za kitanzania). Japo...

MAPACHA WASTAAFU KAZI YA UKAHABA BAADA YA MIAKA 50 WAKIWA WAMELALA NA WANAUME 355,000

Louise na Martine Fokkens wakiwa kazini. MAPACHA wenye umri wa miaka 70 nchini Amsterdam, Uholanzi, wameamua kustaafu kazi yao ya ukahaba baada ya kuifanya kwa miaka 50. Mapacha hao Louise na Martine Fokkens wameamua kustaafu baada ya umri kuwatupa mkono na kudai kuwa kwa sasa hawapati wate...

TAHADHARI KUTOKA KWA RAPPER YOUNG KILLER BAADA YA KUIBIWA KUPITIA FACEBOOK.

Young Killer F...

ALICHO ANDIKA DIAMOND PLATNUMZ KUHUSU KUTEGEMEA KUPATA MTOTO.

Diamond Na Pe...

WAKAZI Keeps It REAL With NEY WA MITEGO's New Track.

  Jana kupitia mtandao wa Twitter, rapper kutoka UKONGA/Chicago, WAKAZI alitweet na kuandika anachoona kuhusu wimbo mpya wa NEY WA MITEGO "Muziki Gani"... Wakazi alitoa opinions kuhusu wimbo huo wa Ney aliomshirikisha mwimbaji mzuri na anaefanya vizuri kwenye muziki kwa sasa, Diamond Platnumz na kuuita "Pumba Tupu"... Imekuwa ni discussion kubwa katika mtandao huo so far ikimuhusisha mmoja wa waanzilishi wa Kundi la Hip-Hop, KWANZA...

Kwa Mara Ya Kwanza... Check Lulu Anavyofunguka Juu Ya Marehemu Kanumba...

  Wakati zimebaki siku chache tu kutimia mwaka mmojatangu msanii marehemu Steven Kanumba afariki dunia, msanii Elizabeth Michael a.k.a Lulu, ambaye bado anakabiliwa na kesi ya mauaji ya bila kukusidia ya msanii huyo,  Lulu azungumza...   Ikiwa ni kwa mara ya kwanza, Lulu (@hotlulumichael) ametweet maneno kadhaa katika ukurasa wake wa twitter zikionesha na kuthibitisha anavyomkumbuka na kum-miss Marehemu Kanumba. Cheki tweets...

TOP 20 JUMAPILI 17 MACHI 2013 [REDIO KITULO FM]

Normal 0 false false false MicrosoftInternetExplorer4 /* Style Definitions */ table.MsoNormalTable {mso-style-name:"Table Normal"; mso-tstyle-rowband-size:0; mso-tstyle-colband-size:0; mso-style-noshow:yes; mso-style-parent:""; mso-padding-alt:0in 5.4pt 0in 5.4pt; mso-para-margin:0in; mso-para-margin-bottom:.0001pt; mso-pagination:widow-orphan; font-size:10.0pt; font-family:"Times...

Wednesday, March 13, 2013

[Audio]:-MEZ B - KIDELA

...

NEW SONG...VERY HOT:-Download | Gill ft Matonya - Nitafanya nini [Audio]

...

Labels