Pages

This is default featured slide 1 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by Lasantha Bandara - Premiumbloggertemplates.com.

Tuesday, April 30, 2013

DOWNLOAD IZZO BIZNES FT. BARNABA & SHAA - LOVE ME

 DOWNLOAD HA...

Barua ya wazi kutoka kwa mdau wa BONGO FLEVA.

Naitwa Mtanzania Halisi Machungu !Ninao ujumbe mdogo kwa jamii ya burudani hapa nchini,wiki iliyopita Tuzo za muziki wa Tanzania zilitangaza majina ya wahusika watakuamo kwenye kinyang’anyiro hicho kwa mwaka 2013 ni sawa kabisa wala sina la kuhoji kwa kuwa tayariwametajwa hao pekee....

TAREHE 31 MEI 2013 NI SHOW YA MIAKA 31 KATIKA GAME LADY JAYDEE

Tarehe 31 May 2013 ndio show ya miaka 13 ya JayDee pia utambulisho rasmi wa Album ya Nothing But The Truth....Watu wangu kaeni tayari kwa maswali complimentaries zipo kidogo tu msimu huu, nina imani mmenisoma na mtakuwa tayari kujibu maswali magum...

Sunday, April 28, 2013

TOP 20 ZA REDIO KITULO FM 28 APRILI 2013

20:-Ukimuona - Diamond 19:-Maisha ya Skonga - Janjaro ft PNC 18:-Nikupe nini - Noorah ft Alikiba 17:-Sijazoea Masebene - Y Tony 16:-Antenna - Fuse ODG 15:-Keshaolewa - Sam waukweli ft Rich Mavoko & Z A...

CHECK OUT:SINGLE MPYA YA IZZO"LOVE ME" ILIVYOPOKELEWA NA MASHABIKI NDANI YA AMBASSADORS LOUNGE

Baada ya miezi mitatu tu tangu Izzo alipoachia single yake akiwa na Ngwea na Quick "Ball Player",sasa usiku wa kuamkia leo ndani ya Ambassadors Lounge ameachia single nyingine mpya "Love Me" ambayo ipo ki mapenzi zaidi akiwa na Shaa pamoja na Barnaba.   Hizi ni picha za mastaa na watu mbalimbali waliofika Ambassadors Lounge kusikiliza single hiyo mpya ambayo ilipigwa live...!!!!!!!!!!!!!!!   PICHA...

Saturday, April 27, 2013

HII NDIO NDEGE YA MSANII KUTOKA NCHI KENYA "JAGUAR"

  Mwanamuziki kutoka Kenya, JAGUAR amenunua ndege binafsi . Jaguar anaefanya vizuri kwenye muziki wake huko nchini Kenya na Africa kwa ujumla inasemekana he had purchased ndege yake hiyo binafsi siku za nyuma kipindi cha kampeni za uchaguzi nchini Kenya na ameshaitumia mara kadhaa...

IZZO BUSINESS LEO ANAZINDUA NGOMA YAKE MPYA "LOVE ME" EXCLUSIVE JUMAMOSI HII NDANI YA AMBASSADORS LOUNGE

Imepita miezi mitatu tu tangu Izzo alipoachia single yake akiwa na Ngwea na Quick "Ball Player", na jumamosi hii anategemea kuachia single nyingine mpya "Love Me" ambayo ipo ki mapenzi zaidi akiwa na Shaa pamoja na Barnaba.&nb...

NEW HIT:-Young Killer ft Stamina & Quick Rocka - Jana na LeO

...

DOWNLOAD NOLE FT. DARASA & OSMAN - SIYO VYOTE

...

NEW JOINT....VERY HOT:-D bANJ ft KANYE WEST - SCAPE GOAT rEMIx

...

Thursday, April 25, 2013

WACHEKI HAPA NOMINEES WOTE WA KILI AWARDS 2013 NA CATEGORIES ZAO

...

PRODUZA LAMAR ANATAFUTA VIJANA WA KIUME WENYE VIPAJI VYA KUIMBA

Produza Lamar akiwa kwenye studio zake Fishcrab  Lamar kutoka studio zake za Fish Crab amesema kuwa hivi sasa anasaka wasanii wanaume wenye vipaji vya kuimba kwa kiingereza na kiswahili. Lamar alisema kuwa anafanya hivyo kwakuwa mwaka uliopita alifanya mchakato huo huo wakutafuta vipaji kwa upande wa wasichana ambako alifanikiwa nakupata wasichana watatu ambao hivi sasa ndo wanaunda kundi la wasanii wa kike 'Shosteez'.Kwa sasa...

Wednesday, April 24, 2013

MAADHIMISHO MEMA YA SIKU YAKO YAKUZALIWA

Habari wadau Naitwa Edwin Moshi a.k.a Eddymoblaze, ni blogger mwenzenu nayemiliki mtandao www.eddymoblaze.blogspot.com, Napenda kuchukua fursa hii kumshukuru mwenyezi Mungu kwa kunifikisha salama siku ya leo Jumatano April 24 ambapo naadhimisha siku yangu ya kuzaliwa, pia na ninyi bloggers wenzangu nawashukuru kwa ushirikiano wenu katika hili bila kusahau familia yanguergonelly inakutakia maadhisho mema ya siku yako ya kuzaliwa....

ANGALIA JINSI TUNDA MAN ALIVYO AMBIWA NA FANS BAADA YA KUSUKA

...

HII NDIO ORODHA YA WASANII WALIOKIRI KUVUTA BHANG AKA KUPULIZA MSUBA

Msanii Rihana yuko kwenye list ya wasanii ambao walishawahi kukiri kutumia kituu,na pia huwa anapost picha akionekana akipuliza mjani aka bangi. Lady Gaga ashawahi kuthibitisha kuwa anakula kitu baada ya kuwasha mjani aka bhangi kwenye moja ya shoo zake huko Ulaya. JT aka Justin Timberlake naye yuko kwenye hii list ya wala vitu Frank Ocena naye yuko kwenye hii list iliyowekwa na mtandao mmoja wa Marekani Chris Brizzy...

Tuesday, April 23, 2013

BRAND NEW VIDEO: MAMA YEYOO YA G-NAKO NA BEN POL

...

BAADA YA KUFANYA VIZURI POA NA HIT YAKE YA "PETE" SASA HUU NDO WIMBO WA BEN POL UTAKAOFATIA

...

AVRIL KUZINDUA SINGLE YAKE NA OMMY DIMPOZ TAREHE 30 APRIL

Siku ya mkesha wa kuamkia sikukuu ya wafanyakazi "mei mosi", Msanii kutoka Kenya Avril anatarajia kuzindua single yake aliyomshirikisha Ommy Dimpoz huku perfomace za wasanii kutoka Kenya na Bongo zikitawala  ...

NEW HIT:-KR MULLAH FT JUMA NATURE - TUPO TAYARI

Ni ngoma mpya kutoka kwa msanii KR Mullah .KR ambae alikuwa kimya kidogo kwenye muziki, akiwa ni mmoja wa wasanii waliounda kundi la TMK Wanaume Family, na baadae kujitoa ... ameachia ngoma hiyo inayojulikana kama TUPO TAYARI ... Katika ngoma hii, KR amemshirikisha msanii anayeunda nae kundi moja la WANAUME HALISI...

NEW HIT:- PASHA - UMENIWEZA

Baada ya kufanya poa na Joint yake aliyomshirikisha Tunda Man wa TIP TOP "AMEKUWA" sasa tena na Joint mpya......inayokwenda kwa jina la "Umeniweza''... Pasha ambae hapo nyuma alifanya vizuri sana na baadhi ya ngoma zake kama Ni Soo, Hidaya na nyinginezo...

NEW HIT:-RACHEL - MWALI KIGEGO

Baada ya kufanya vizuri na ile ngoma yake inayoitwa Nashukuru, sasa mwanamuziki Recho kutoka THT, Recho ameachia wimbo wake unaokwenda kwa jina la ''MWALI KIGEGO''. Sikiliza na Dowloa...

Monday, April 22, 2013

WA MASAI WACHARUKA WATETEA ARDHI YAO TANZANIA

Katika kijiji kimoja Kaskazini mwa Tanzania, ndege aina ya Boeing 747 zinatua kwenye kiwanja binafsi, magari yenye nambari za usajili za milki za kiarabu, zikiendeshwa katika eneo hilo na yeyote mwenye simu ya mkononi anapotua hapo hupokea ujumbe ambao haukutaraji...

MWANAFUNZI WA DARASA LA TATU AFA KWA KUGONGWA NA GARI

WATU watatu wamekufa mkoani Njombe katika matukio tofauti likiwemo la ajali iliyosababisha mwanafunzi kupoteza maisha  na wengine wawili kujinyonga. Kamanda wa polisi mkoani Njombe kamishna msaidizi wa polisi Fulgence Nginyani amesema katika tukio la kwanza, la april 19 saa 11 jioni katika maeneo ya uwanja wa polisi makambako, mwanafunzi aliyetambuliwa kwa jina la jina la Helen Mwitula (9) mwanafunzi wa shule ya msingi Mwembetogwa ...

Friday, April 19, 2013

HUYU NDIO VICE PRESIDENT MPYA WA MAYBACH MUSIC GROUP [MMG]

Kendell Freem Bosi wa 'Crew' ya MMG, Rick Ross, amemchagua rasmi mnyamwezi Kendell Freeman a.k.a. Young Sav kuwa kama msaidizi wake - Vice Persident wa lebo yake ya MMG. Mkali huyu amekuwa na mchango mkubwa sana katika muziki wa Rick Ross, na katika profile yake, amekwishapiga kazi ya nguvu na wakali kama vile  Lil' Jon, Pitbull, na Ying Yang Twins, Young Sav pia akiwa chini ya lebo ya Def Jam kama Mixshow Manager, amepata...

Labels