Pages

This is default featured slide 1 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by Lasantha Bandara - Premiumbloggertemplates.com.

Friday, November 22, 2013

NYIMBO 10 ZA WIKI REDIO KITULO FM

Zimerushwa na Ergon Elly (katika Picha) 10:-Slow Down - Selena Gomez 09:-Touching Body - J Martins F| Dj Arafat 08:-Skelewu - Davido 07:-Baba la Baba - Baba levo(baba la baba) F| Amonaizy 06:-Imekatika - Timbulo F| X Maleya 05:-Basi Nenda - Mo Music 04:-Siri ya Mchezo - Fid Q F| Juma Nature 03:-Sijiwezi - Maua Sama 02:-Sugua Gaga - Shaa 01:-Usinihukumu - Criss wamarya ...

SASA KAZI NA BIASHARA ZA JEEZY KUSIMAMIWA NA ROCK NATION YA JAY Z

Rapper Young Jeezy ametangaza kuanza kufanya kazi na  Jay Z na lebel yake ya  Roc Nation. Jeezy ametangaza taarifa hizi kupitia twitter account yake kuwa Jay z na Lebel yake watasimamia sehemu ndogo ya muziki wake na kampuni yake ya CTE. Mixtape ya Jeezy ItsThaWorld2 inatoka November 27 na imesimamiwa na producer mkali anaijiita Drumma Boy. Toleo la kwanza la mixtape hii ya #ItsThaWorld ilitoka mwezi...

Wednesday, November 13, 2013

TIMBULO:-BAADA YA IMEKATIKA HIKI NDICHO KINACHOFUATA.

Normal 0 false false false MicrosoftInternetExplorer4 st1\:*{behavior:url(#ieooui) } /* Style Definitions */ table.MsoNormalTable {mso-style-name:"Table Normal"; mso-tstyle-rowband-size:0; mso-tstyle-colband-size:0; mso-style-noshow:yes; mso-style-parent:""; mso-padding-alt:0in 5.4pt 0in 5.4pt; mso-para-margin:0in; mso-para-margin-bottom:.0001pt; mso-pagination:widow-orphan; font-size:10.0pt; font-family:"Times...

Tuesday, November 12, 2013

USIKU WA MBALAMWEZI UTAKAO WAKUTANISHA WASANII KIBAO KWENYE STAGE MOJA

The Hit Maker wa Joint ya Mapenzi na Shule,Odemba,Si Kosa Lake na Zingine Kibao na anayewakilisha kundi la EMG Classic kutoka Wilayani Makete Mkoani Njombe Si Mwingine ni Y Jay Anatarajia Kufanya Uzinduzi wa Video ya Wimbo wake Mpya "Mbalamwezi" Siku ya Jumamosi ya Tarehe 16|11|2013 Pale Ikonda Mseketwa PUB na Jumapili ya Tarehe 17|11|2013 Uzinduzi Huo Utaendelea Makete Mjini katika Ukumbi wa Francis Kona. Mbalamwezi Audio Imefanyika katika...

SHIRIKA LA TUNAJALI (WE CARE) LINATARAJIA KUZINDUA MRADI WA ZERO VVU KWA MIKOA YA IRINGA NA NJOMBE

  Picha na aminia website   Na Veronica Mtauka   Shirika la TUNAJALI linatarajia kuzindua mradi wa zero Vvu katika mkoa Njombe na Iringa ili kutokomeza maambukizi mpya ya virusi vya UKIMWI kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto. Hayo yamebainika mapema hii leo mjini Makambako mkoani Njombe kwenye kikao cha wadau na wanahabari wa vyombo vya habari vya mkoa wa Njombe na Iringa ambapo wanahabari hao wametakiwa kuwa...

BREAKING NEWS:-MJUMBE WA TUME YA MABADILIKO YA KATIBA DK SENGONDO MVUNGI AFARIKI DUNIA

Mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Dk Sengondo Mvungi amefariki dunia nchini Afrika Kusini ambako alipelekwa kupatiwa matibabu katika hospitali ya Milpark. Dk Mvungi alijeruhiwa kwa kukatwa na mapanga kichwani siku chache zilizopita, nyumbani kwake Kibamba Msakuzi, nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaa...

Sunday, November 10, 2013

TOP TWENTY 10|11|2013 | ORODHA YA NYIMBO 20 REDIO KITULO NA VIDEO YA SHILOLE NAKOMAA NA JIJI

Normal 0 false false false MicrosoftInternetExplorer4 /* Style Definitions */ table.MsoNormalTable {mso-style-name:"Table Normal"; mso-tstyle-rowband-size:0; mso-tstyle-colband-size:0; mso-style-noshow:yes; mso-style-parent:""; mso-padding-alt:0in 5.4pt 0in 5.4pt; mso-para-margin:0in; mso-para-margin-bottom:.0001pt; mso-pagination:widow-orphan; font-size:10.0pt; font-family:"Times...

Friday, November 08, 2013

ONICAR TANYA MARAJ a.k.a NICK MINAJ AZUNGUMZIA KUHUSU SOUND YA ALBUM MPYA NA COLLABO ZA YOUNG MONEY

Ni miaka karibia miwili sasa toka rapper Nicki Minaj ametoa album yake ya mwisho Pink Friday: Roman Reloaded na sasa yupo tayari kwa cd mpya na ametangaza kuwa kazi imeshaanza. Kwenye Interview aliyofanyiwa hivi karibuni Minaj amesema sound ya album yake mpya itakuwa tofauti sana na nndio kitu kipya kwenye rap game kwa sasa.  Kama ni shabiki wa msanii huyu utakuwa unajua kuwa anapenda utofauti sana kwenye kazi zake na kwenye...

VIDEO MPYA | NEY WAMITEGO FT NEIBA - SALAMU ZAO

...

Labels