Pages

This is default featured slide 1 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by Lasantha Bandara - Premiumbloggertemplates.com.

Sunday, December 29, 2013

THEE BOSS LADY ''HUDDA MONROE AMPA DONGO JACKIE CLIFF KUHUSIANA NA SAKATA LA KUKAMATWA NA MADAWA YA KULEVYA CHINA

Aliyekuwa muwakilishi wa Kenya kwenye shindano la Big Brother Africa ‘The Chase’, Huddah Monroe aka Thee Boss Lady amerusha dongo kwa mrembo wa Tanzania Jackie Cliff ambaye alikamatwa na dawa za kulevya aina ya Heroin nchini china. Tweet ya Huddah inadai kuwa Jackie Cliff ni mrembo ambaye alitaka kuishi maisha mazuri ya haraka na kutumia vitu vya kifahari, pia akaambatanisha na picha mbili zinazomuonesha Jackie akiwa amepozi kabla...

PREZZO AMJIBU JAGUAR KWA KUONESHA GARI LAKE JIPYA LENYE THAMANI KUBWA.

Unaambiwa wiki moja baada ya staa wa muziki Kenya (Jaguar) kuonyesha gari lake jipya aina ya Jaguar ambalo alionekana nalo alipokwenda kufanya show, zimetoka picha za nje ndani za gari analotembelea rapper CMB Prezzo wa Kenya ambae mara kadhaa waliingia kwenye headlines na Jaguar kwa malumbano mbalimbali ikiwemo kutambiana muziki, mali na uwezo wa kifedha.  Gari la Jaguar lenye thamani ya shilingi Milioni 16 za Kenya ambalo liko mwisho...

MSANII DAYNA NYANGE AKANUSHA KUHUSIANA HABARI ZILIZO KUWA ZIMEENEA KUHUSIANA NA KUFANYA UCHAFU UFUKWENI

Mwana muziki wa Bongo freva toka mkoani    Morogoro mwana dada Dayna Nyange, amekanusha kuhusishwa na picha  zilizomuonesha akifanya uchafu ufukweni akiwa na njemba nusu uchi.  Dayna kupitia page yake ya facebook, ameweka wazi kwamba sivyo kama ilivyoandikwa na baadhi ya mitandao kwamba alfumwa badala yake ilikuwa ni sehemu ya location ya video yake ya wimbo mpya wa mimi na wewe "Jamani Hizi ni moja ya Picha.... Tulipokuwa...

Thursday, December 12, 2013

AUDIO & VIDEO | DAYNA NYANGE - MIMI NA WEWE

...

Wednesday, December 11, 2013

RAPPER THE GAME AMECHORA TATTOO YA NELSON MANDELA KUMUENZI

Rapper kutoka pande za Marekani The Game ameonyesha jinsi anavyompenda Nelson Mandela kwa kujichora tattoo ili kumuenzi Nelson Mandela.  Kupitia mtandao wake wa instagram, The Game alisema “The finished ‘Nelson Mandela lookin out of the prison bars by @NikkoHurtado done on my side. 7 hour sitting…. Few more hours to tie in the tats around it & we solid.  #NelsonMandela #RIP #Legend #Leader #Freedom #Peace #Equality...

Monday, December 09, 2013

JAY Z AONGOZA KWENYE GRAMMY NOMINEES

Grammy Nominees List: Jay Z Aongoza Kwa Kuwa Nominated Mara Nyingi Katika Grammy Awards 2014 Ujio wa Magna Carter: Holly Grail wa Rapper Jay Z mwaka huu umempelekea kuwa Nominated mara Tisa katika categories mbalimbali katika tuzo za Grammy za mwakani. Soma hapa list hiyo ya nominees watakao kuwa wakiwania tuzo hizo za Grammy 2014:- Album of the Year The Blessed Unrest – Sara Bareilles Random Access Memories – Daft...

MSANII WA MAREKANI KELLY ROWLAND ANASWA UWANJA WA FISI DAR ES SALAAM

Msanii maarufu wa Marekani Kelly Rowland, ametinga uwanja wa fisi Manzese Dar es salaam jana jioni baada ya kusikia sifa za maeneo hayo ya Uswahilini tangu akiwa USA.  Msanii huyo ametua nchini kwa tiketi ya MTV kupitia taasisi yake inayojishughulisha na kampeni za kupambana na Ukwimwi (Staying AliveFoundation) ya nchini Marekani, Kelly akiwa balozi wake.  Akiwa Uwanja wa Fisi, ambako kunasifika kwa ufuska...

Friday, December 06, 2013

KITULO FM TOP 10 | NYIMBO KUMI ZA WIKI

10:-Nakula Ujana - Ney Wamitego 09:-Basi Nenda - Mo Music 08:-My Dream - Jaguar F| Viviane 07:-Usinihukumu - Criss wamarya 06:-Tubonge - Dk Jose Kamilioni 05:-Roho yangu - Rich Mavoko 04:-Chelewa - Navy Kenzo 03:-Napendeka - Sir Tino Lyno 02:-Usinipe Robo - Amini 01:-Basi Njoo Kariakoo - Abby Skillz F| Ally Kiba & Shetta...

Rais wa zamani wa Afrika Kusini, Nelson Mandela amefariki dunia.

Rais wa zamani wa Afrika Kusini, Nelson Mandela amefariki dunia.    Mandela anaejulikana kama mpigania uhuru, usawa na haki za binadamu atakumbukwa kwa kujitoa kwake katika kuhakikisha watu weusi wanapata haki sawa katika ardhi yao toka kwa utawala wa makaburu kitu kilichofanya atumikie kifungo cha miaka 27 gerezani na hatimaye kuachiwa huru na kuwa rais wa kwanza mweusi nchini Afrika Kusini.    Dunia nzima imepokea...

Thursday, December 05, 2013

11 DESEMBA 2013 DJ CHOKA KUACHIA NGOMA MPYA

Ukiwa mfuatiliaji mzuri wa burudani ya muziki, haswa muziki wa hapa nyumbani Tanzania basi jina la Dj Choka halitokuwa geni kwako, kwa kuwa huyu ni mmoja wa ma Dj ambao wanafanya kazi nzuri sana hapa nchini kwa kugawa burudani safi kwa wale wapenzi wa burudani ya muziki wa hapa nchini. Kupita website ya Dj huyu mahiri, imeripotiwa kuwa Dj huyu anatarajia kuachia ngoma yake mpya siku ya Tarehe 11, December mwaka huu. Dj choka amabaye...

Drake Aingia Mkataba Na Kampuni Ya Michael Jordan

Msanii wa Young Money kutoka Toronto Rapper Drake ameweka instagram picha tofauti za bidha yake ya Ovo Ikiwa Na Logo Ya Bidha ya Jordan kumanisha kuwa sasa kampuni hizi mbili zinafanya kazi pamoja.     Drake ameonyesha matoleo la  OVO na Jordan X na XII ambayo bado hayajaingia sokoni.    Jordan wametangaza kufanya kazi na Drake kupitia twitter. ...

WEUSI KUFANYA YAO NDANI YA MBEYA 13|12|2013

WEUSI‬ ndani ya Mbeya tarehe 13.12.13 pale CITY PUB yaani...

WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA AMEWEKA WAZI MSHAHARA WAKE LEO BUNGENI

Waziri mkuu Mizengo Pinda ameweka wazi mshahara wake na kusema kuwa analipwa mshahara wa milioni 6, mshahara ambao ni pamoja na posho ya mke wake. Pia amesema kuwa mshahara wake hauna tofauti kubwa sana na mshahara wa Rais, kwa kuwa hautofautiani hata milioni 1, na ameongeza kuwa yeye ni mkopaji mzuri sana wa mikopo toka benki ...

Sunday, December 01, 2013

MWIGIZAJI WA FILAMU YA FAST & FURIOUS ''PAUL WALKER'' WA MAREKANI AFARIKI DUNIA.

Mwigizaji PAUL WALKER wa Marekani afariki dunia kwenye ajali mbaya ya gari. Ni yule wa filamu Fast and Furious Muigizaji Paul Walker , anayejulikana  sana duniani kwenye uigizaji kupitia filamu za Fast and Furious , amefariki katika ajali ya gari. Ajali hiyo imetokea katika eneo la Santa Clarita, kaskazini ya Los Angeles wakati alipokuwa katika tukio la kijamii. Walker alikuwa ni abiria katika...

DESEMBA 2 MWAKA HUU TEAM RACERZ LIFE GROUP (T R L G) WATATAMBULISHA TRACK YAO MPYA ''WASHA WASHA''

Team Racers New Release, Tomorrow 2nd Of December!! Song Called Washa Washa Produced By GihCue At Digital Vibes  #ConBoi #Kacci #Fredrick Mullah #GihCue GihCueTha TownXon+2556576599...

WASHIRIKI WAWILI KUTOKA NCHINI UGANDA NA RWANDA WASHINDWA KUFIKA FAINALI ZA SHINDANO LA TUSKER PROJECT FAME SEASON SIX

Ikiwa zimebakia siku 7 tu kufikia fainali za shindano la Tusker Project Fame Season Six, weekdn hii shindano hilo liliendelea kama kawa huku washiriki wote washindano hilo walikuwa katika probation/ hatari ya kuondolewa katika kinyanga’nyiro hicho cha kumsaka mshindi wa TPF 6. Lakini katika probation hiyo washiriki hao walifanikiwa kuokolewa na wapenzi wao ama watazamaji wa shindano hilo kwa kupigiwa kura ili waweze kubakia katika mpambano...

KITULO FM TOP 10 | BEST OF THE WEEK TRACKS

10:-Sugua Gaga - Shaa 09:-Drive Slow - JCB F| Prof J 08:-Sijiwezi - Maua Sama 07:-Siri ya Mchezo - Fid Q F| Juma Nature 06:-Baba la Baba - Baba Levo (Baba la Baba) F| Amonaizy 05:-Wale Wale - Kala Jeremiah F| Ney Lee 04:-Come Over - Vanessa Mdee a.k.a V Money 03:-Mtemi Pesa - Squeezer F| Belle 9 02:-Usinihukumu - Criss wamarya 01:-Chelewa - Navy Kenzo (Aika,Nareal & Weestar Waz...

EMMANUEL MSUYA AIBUKA MSHINDI KATIKA FINAL YA EBSS 2013

Usiku wa jana jumamosi ndiyo siku ambayo shindano la kumtafuta mkali na mshindi wa Epic Bongo Star Search wa mwaka huu 2013 lilifikia tamati, ambapo katika ufukwe wa Escape  1, jijini Dar-Es-Salaam ndipo Final ya shindano hilo ilifanyika. Shindano hilo la EBSS 2013, lilikuwa limebakiza washiriki watano tu amabao walifanikiwa kuingia katika fainali za kumsaka star mpya wa shindano hilo, washiriki hao walikuwa ni Amina Chibaba, Emmanuel...

Orodha Ya Washindi Wa Tuzo Za CHOAMVA 2013

Kundi La Pro Habo Unit Aka P-Unit kutoka nchini Kenya limeondoka na tuzo mbili kwenye CHOAMVA kwa kushinda kipengele cha video bora ya Afrika Mashariki na video bora ya dancehall.    Pia msanii kutoka Tanzania, AY alikuwa akiwania tuzo ya video bora ya Afrika Mashariki.Orodha Nzima Ya Washindi Iko Hapa Most Gifted East African Music Video – P-UnitMost Gifted Kwaito Music Video – ProfessorMos Gifted African South – OskidoMost Gifted...

Labels