Pages

This is default featured slide 1 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by Lasantha Bandara - Premiumbloggertemplates.com.

Friday, February 28, 2014

Ostaz Juma: Wasanii na Watangazaji wa redio njaa sana, mtakufa, pesa zangu zinawafanya mnitetemekee

Hiki ndicho alichokiandika kwenye Facebook: Naona watu mmeguswa sana mimi kuanika Picha za PNC katika mitandao et, tatizo wasanii wa tanzania mnanjaa sana kuanzia watangazaji Radio na wasanii njaa ndio zinazo wasumbua. Hata mkisema napata pesa kwa utapeli mitandaoni sawa ila ndio pesa zangu na ndio zinawafanya mnitetemekee na kunitaja kwenye vinyimbo vyenu visivyokua na ubora.  Sawa mimi tapeli naibia watu hilo sikatai nakubali...

Monday, February 24, 2014

NEW SONG | KOBA F| DULLY - KIZUNGUMKUTI

DOWNL...

NEW SONG | MEDA CLASSIC - I LOVE U

DOWNLO...

Meneja wa Tip Top Connection Babu Tale amesema kuna uwezekano wa kuja kufanya kazi tena na MB Dogg

Meneja wa Tip Top Connection Babu Tale amesema kuna uwezekano wa kuja kufanya kazi tena na msanii aliyewahi kuwa chini ya kampuni yake kipindi cha nyuma MB Dogg, lakini sasa itakuwa ni kibiashara zaidi tofauti na zamani walipokuwa wanafanya kazi kindugu. MB Dogg Akizungumza na Millardayo.com Tale amesema, wapo wasanii kadhaa ambao walitoka Tip Top wanaotaka kufanya naye kazi akiwemo Keisha na Spack, lakini yeye anampango...

BARAKA DA PRINCE MSANII MPYA 2014 KUTOKA TETEMESHA ENTERTAINMENT......STAY TUNE

Mambo vipi, Nachukua fursa hii kumtambulisha msanii mpya wa Tetemesha Records. Anaitwa BARAKA da PRINCE kutoka Mwanza, lakini kwa sasa makazi yake ni Dar ambapo atakuwa hapa moja kwa moja kama makazi yake ya kudumu kikazi. Amekua chini ya Tetemesha toka mwaka jana lakini kwa kawaida kabla ya kumtoa hadharani msanii mpya hua kuna utaratibu wa ndani katika hatua za kumuandaa ndio sababu ninamtambulisha sasa. Tegemeeni Video na...

PROFESSOR JAY NA MRISHO MPOTO WAMEPATA SHAVU LA UBALOZI WA KAMPENI YA KILIMO

Professor Jay ameiambia Bongo5 kuwa wamesaini mkataba wa mfupi na tayari wameshaanza majukumu ya kazi ya kuhamasisha vijana kufanya kilimo mkoani Iringa.   “Watu waliotuteua wanaitwa Ansaf lakini wawakilishi wa serikali ya United States of America ambayo inaitwa ‘One’ kwahiyo hapo kuna Ansaf na One ndio wanetuteua sisi kuwa mabalozi,” amesema Jay. “Wamesema tuanze kuifanya kwasababu inatakiwa ifanyike kwa wakati huu na hatujasaini...

Tuesday, February 04, 2014

WAKAZI - CONTROLVERSE (NEW VIDEO & AUDIO)

Huu ni ujio mpya wa Wakazi kabla ya kuachia rasmi albamu yake ya Abacus EP.Katika ngoma hii amewagusia watu kadhaa hasa wana hiphop lakini ndani ya mashahiri yake anazuia ngoma hiiisichezwe redioni. “This is just another freestyle song by Wakazi released as a teaser before the release of his abacus EP and his brand new singles also slated for end of the month release.  In here Wakazi is trading bars & punchlines which seem to be warning...

SIKU YA SARATANI DUNIANI LEO FEB 04

Saratani ni moja kati ya magonjwa hatari sana duniani. Siku ya Saratani duniani, huadhimishwa kila Februari 4 ya kila mwaka…Lengo kuu la maadhimisho ya siku hii ni kutoa elimu zaidi kuhusiana na kujikinga, kwenda kupima na jinsi ya kupata matibabu endapo utagundulika kama umeathirika na Saratani. Kupunguza vifo vinavyotokana na ugonjwa huu wa kansa kufikia mwaka 2020 ndiyo lengo kuu la Union For International Cancer Control (UICC), taasisi...

Monday, February 03, 2014

YULE DADA ALIYEMCHUKULIA WEMA SEPETU BWANA , ATIA AIBU BAADA YA PICHA ZAKE ZA UTUPU KUONEKANA MTANDAONI.

Rafiki kipenzi wa Wema Sepetu mwanadada Naima ambaye ndiyo anamiliki mpenzi wa zamani wa shosti yake anayejulikana kwa jina la Clement ambaye ni kigogo na pedeshee wa mjin hapa, hivi karibuni aliachia picha mtandaoni akiwa mtupu na kufanya watu washikwe na mshangao na kumshangaa dada huyu....

Lady Jay Dee kuachia rasmi video ya 'Historia' February 8

Lady Jay Dee kuachia rasmi video ya 'Historia' February 8, mashabiki 20 walio Facebook kuhudhuria party maalum ya kuitambulisha Mitandao ya kijamii inazidi kuwa njia rahisi na kubwa zaidi kwa wasanii kuwasiliana moja kwa moja na mashabiki wao na hata kufahamu ni kwa jinsi gani wanaelewa na kuwafuatilia kwa karibu, na zaidi kutoa maoni yao moja kwa moja kuhusu kinachofanywa na wasanii hao. Mwimbaji wa kike wa bongo flava mwenye mafanikio makubwa,...

Young Dee: Muziki umeirudisha heshima ya familia yangu, nimeikomboa nyumba ya familia kwa kulipa deni, ilikuwa iuzwe million 37

Wakati ambapo rappers wengi wa Tanzania wanalalamika kuwa muziki hauwalipi kivile kutokana na kazi kubwa wanayofanya, kuna baadhi ya rappers ambao wana mtazamo tofauti na kwao rap ya Tanzania imewawezesha kufanya vitu vikubwa kuanzia katika ngazi ya familia, na wanaushukuru muziki wa Tanzania kwa hatua hiyo. Rapper mwenye uwezo mkubwa wa kurap kwa Kiswahili fasaha, Young Dee, ni mmoja kati ya rappers ambao kwao muziki umewatendea haki na hawaoni...

DJ D-Ommy wa Times FM kuachia mixtape maalum kwa wapendanao ‘The Valentine’s Heart Felt Mixtape’

Dj D-Ommy aka The Number One Freestyle Dj in Tanzania, ataachia mixtape yake siku ya wapendao (February 14), mixtape aliyoipa jina la ‘The Valentine’s Heart Felt Mixtape’, maalum kwa ajili ya wapendao. ‘The Valentine’s Heart Felt’ itakuwa mixtape ya tatu kutoka kwenye mikono ya Dj D-Ommy ikizifuatia mixtape zilizopita ambazo ni The Return of the Transform Master na Afro Pop Cutz...

HAJA NDIYO MAJINA YANAYOWANIA ''ACTION & CUT VIEWER'S CHOICE AWARDS 2014'' TANZANIA

Muigizaji wa filamu na mtangazaji wa kipindi cha Action and Cut kinachorushwa na kituo cha runinga cha Channel Ten, Bond Bin Sinan aameandaa tuzo za wasanii wa filamu nchini kupitia jina la kipichi hicho. Tayari majina ya watakaowania tuzo hizo yametoka.  Jinsi ya kumchagua msanii unayemtaka, tuma jila la msanii kwa kila categories kwenda namba 0782 555 465.  Zoezi hili ni kwa wiki 7 na baada ya hapo tarehe ya tuzo itatajwa. Hii...

Sunday, February 02, 2014

RAIS KIKWETE AONGOZA MATEMBEZI YA MSHIKAMANO YA MIAKA 37 YA CCM JIJINI MBEYA......KUHUTUBIA TAIFA MCHANA HUU

 Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM),Rais Jakaya Kikwete  akiwapungia mkono baadhi ya Wananchi (hawapo pichani),walioshirikia matembezi ya mshikamano yaliyoanzia viwanja vya SIDO,kuelekea kwenye bustani iliyopo nje ya uwanja wa kumbukumbu ya Sokoine jijini Mbeya mapema leo asubuhi,ikiwa ni sehemu ya kilele cha maadhimisho ya kusherehekea miaka 37 kuzaliwa kwa chama cha CCM. Kushoto kati ni Mwenyekiti wa CCM wa mkoa wa Mbeya...

02|02|2014 KITULO FM TOP TWENTY

Nafasi wiki hili Jina la Wimbo & Msanii Wiki lililopita 20 Wacha Waseme – Ambanto ft Aslay (Ingizo Jipya) - 19 Kula Gambe – Shilla Vee (Ingizo Jipya) - 18 Kioo – Jaguar 20 Last week 17 Mimi na wewe – Dayna Nyange 19 Last week 16 Siri ya Mchezo – Fid Q F| Juma Nature 15 Last week 15 The Monster – Eminem F| Rihanna 14 ...

Labels