Pages

This is default featured slide 1 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by Lasantha Bandara - Premiumbloggertemplates.com.

Friday, April 18, 2014

(New Audio) Ezdee ft. Mau & Mabov – BORN TODAY

Nilirekodi juzi tarehe 16 kama zawadi to all the fans kwa siku yangu ya kuzaliwa. Inaitwa “BORN TODAY” pia ni special dedication kwa waliozaliwa April (Team Aries) zaidi it talks about the concept of us being alive. Nini maana ya kuzaliwa? What’s the purpose of living…? Vitu kama hivyo zaidi ukisikiliza  utapata mengi. Enjoy ujio mwingine wa EZDEE!!! Pia shukrani sana kwa wote walionitakia mema on my birthday....

MASAI NYOTAMBOFU AITEMA KAMPUNI YA AL-RIYAMY.

MCHEKESHAJI maarufu hapa nchini katika swaga za kimasai ambaye pia ni mmiliki wa masainyotambofu.info Gilliady Severine Kahema 'Masai Nyotambofu' Ameamua kuitema kampuni aliyokuwa na mkataba nayo ya Al-Riyamy Pro ambayo hurusha kipindi chake cha VITUKO SHOW kwenye runinga ya CHANNEL TEN.  Akizungumza na babamzazi.com leo, Masai Nyotambofu alisema kuwa ameamua kuachana na kampuni hio baada kugundua kuwa kuendelea kuwepo pale kwa muda...

HUYU NDIYE MTANZANIA NA MWANAMITINDO WA KWANZA AKAUNTI YAKE YA FACEBOOK KUWA VERIFIED NA KUWA OFFICIAL.

Flaviana Matata ni jina linalofahamika zaidi hapa Tanzania na hata nje ya Tanzania, Flaviana ambaye alizaliwa June 9, 1987 (age 26), Shinyanga, Tanzania Amekuwa ndiye mtanzania wa kwanza kwa akaunti yake ye facebook kuwa Verified na kuwa official kwa kuwepo alama ya Tiki katika akaunti yake inavoonekana hapa chini.  Kampuni ya Tigo Tanzania  ilikuwa ndiyo ya kwanza kuwa Verified katika mtandao wa kijamii wa facebook,...

MARTINE KADINDA AMUITA LULU MICHAEL NYAU.

Mwanamitindo maarufu Bongo, Martin Kadinda amempongeza Elizabeth Michael ‘Lulu’ kwa kumuita nyau. Martin alifanya ishu hiyo wakati akimtakia Lulu Happy Birthday Aprili 16 ambapo mwanadada huyo alikuwa akitimiza umri wa miaka 19. Mwandishi wetu alipomhoji kuhusiana na kumuita nyau, Martin alifunguka:“Yule kwangu ni mdogo, nimemlea tangu akiwaanasoma sekondari pale Perfect Vision Ubungo, nimetumia neno nyau kama utani lakini nikimaanisha mdogo...

Mrisho Mpoto aelezea sababu kutovaa viatu kwenye matembezi binafsi na ata akiwa safari za Kimataifa

Msanii wa muziki wa asili Mrisho Mpoto amedai kuwa ajisikii vizuri pindi anapo vaa viatu kutokana kudai kuvaa viatu kuna athiri utendaji wa kazi zake   Mpoto akiwa na gari ambalo alikataa kuzungumzi chochote Mpoto ameiambia bongo5 kuwa amesemwa sana kuhusu tabia ya kuto vaa viatu lakini ameshindwa kubadilika.“Beauty yoyote ipo kwenye jicho,unapozungumzi Mrisho Mpoto kuwa peku ,sehemu nyingi sana,mara nyingi sana watu wananiona peku, ni kwa...

MADAKTARI WASHINDWA KUUNGANISHA UUME WA MWANAMUZIKI ALIYE JIKATA MAKUSUDI.

Rapper mwenye uhusiano na kundi la Wu-Tang Clan, Andre Johnson hana tena kiungo kinachomfanya aitwe mwanaume kwakuwa madaktari wameshindwa kuunganisha. Mtandao wa TMZ uliandika kuwa Johnson aka Christ Bearer aliukata uume wake jana Jumatano na kujirusha kwenye nyumba ya ghorofa mbili anakoishi huko North Hollywood kwa kile kinachodaiwa kutaka kujiua.    Alikimbizwa kwenye hospitali ya Cedars-Sinai Medical Center lakini uume...

Lady JayDee - Nasimama (Official Video)

...

SHAKIRA ANA NDOTO ZA KUWA FISRT LADY WA TIMU YA BARCELONA

Mwimbaji wa Pop, Shakira ambaye ni mpenzi wa mchezaji wa timu ya Barcelona, Gerard Pique ameweka wazi nia na ndoto yake ya kuwa ‘first lady wa timu hiyo’. Shakira anaamini kuwa siku moja Gerard Pique atakuwa rais wa Barcelona na hiyo itampa yeye nafasi ya kuwa first lady wa timu hiyo. “Nafikiri siku moja Gerard atakuwa rais wa Barcelona na mimi nitakuwa ‘first lady’ wa Barca.” Shakira ameeiambia jarida la Bocas. Kauli...

IYANYA KULIPWA $4000 NA SUTI MPYA ILI AWEZE KUONEKANA KWENYE VIDEO YA HABIDA.

Muimbaji wa Nigeria, Iyanya ameombwa alipwe kiasi kikubwa cha fedha kutokea kwenye video ya wimbo alioshirikishwa na msanii wa Kenya, Habida.Habida amedai kuwa uongozi wa Iyanya umedai ulipwe $4000 ambazo ni zaidi ya shilingi milioni 6.5 ili kuonekana kwenye video hiyo. Pia walitaka Habida amnunulie Iyanya suti mpya ya kuvaa kwenye video hiyo.Kama hiyo haitoshi, walitaka msanii wa mitindo binafsi na ukijumlisha vyote hivyo zaidi ya shilingi milioni...

Ray C Foundation yaandaa kipindi cha TV ‘Pamoja Inawezekana’ kitaelimisha jamii juu ya madawa ya kulevya

Msanii wa muziki Rehema Chalamila ‘Ray C’, kupitia Ray C Foundation ameanza kuandaa kipindi chake cha TV ‘Pamoja Inawezekana” ili kuendelea na jitiada za kuendeleza kuelimisha jamii juu ya madawa ya kulevya. Ray C kupitia instagram yake amesema:Preparing my TV programme Pamoja Inawezekana,Ray C foundation inawaletea kipindi cha pamojainawezekana,stay tuned people more to come.Kipindi maalum cha ‘Pamoja Inawezekana’ kitakujia hivi karibuni,makubwa...

Labels