Pages

This is default featured slide 1 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by Lasantha Bandara - Premiumbloggertemplates.com.

This is default featured slide 2 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by Lasantha Bandara - Premiumbloggertemplates.com.

This is default featured slide 3 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by Lasantha Bandara - Premiumbloggertemplates.com.

This is default featured slide 4 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by Lasantha Bandara - Premiumbloggertemplates.com.

This is default featured slide 5 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by Lasantha Bandara - Premiumbloggertemplates.com.

Thursday, December 06, 2012

BRAND NEW SONG;-SHETTA FTN LINNAH - BONGE LA BWANA



BEN POL AWACHANA WALE WANAOJIFANYA NI MANABII WA WENZAO


Wednesday, December 05, 2012

EXCLUSIVE:JAY MOE AFANYA COLLABO NA OMMY DIMPOZ

Jay Moe baada ya kufanya vizuri katika ngoma zake,sasa latest infoz nyingine ambayo nimeipata hii leo ni kwamba jana alikuwa ndani ya Bongo record akifanya ngoma yake nyingine mpya akiwa amefanya collabo na Ommy Dimpoz na jina la hiyo inaitwa Only you. 
 
Kwa hiyo wale mashabiki wa Jay Moe na Ommy Dimpoz kaeni tayari kwa ujio huu mpya kutoka ndani ya Bong Record.

SOMA KICHWA CHA GAZETI HILI HII NI MARA BAADA YA KIFO CHA MAREHEMU SHARO MILIONEA


HAPPY BIRTHDAY TATU YASSIN ''TATY''

Mtandao huu unakutakia siku njema ya maadhimisho ya siku yako ya kuzaliwa.

CHECK OUT NA LIST YA AWALI YA WASANII AMBAO WATAHUSIKA KATIKA BACHELOR PARTY


Kwa mara ya Pili mkali kutoka Mkoani Iringa George Kasela a.k.a Squeezer atapiga show katika ardhi ya Makete nawasanii wengine kutoka Mkoani Iringa.

Show hiyo imeandaliwa na ICE ENTERTAINMENT na Hii ndio list ya wasanii
01;-SQUEEZER
02;-WENDE

Pia katika BACHELOR PARTY squeezer atatambulisha ngoma mpya kwa mara ya kwanza itasikika hapo na amewashirikisha wasanii kama Chid Beenz na Bob JR pia imefanyika Sharobaro Record's chini ya The Hit Maker Bob Jr.

Katika upande wa Video Itafanyika na Man Walter wa Combination sound.

Nawasanii wengine utawajua kesho watatambulishwa katika kipindi cha 97 Show na Ergon Elly na Redio Kitulo Fm

CELINE DION AWATOA ,MAPACHA WAKE

MWANAMUZIKI mkongwe wa miondoko ya taratibu Celine Dion kwa mara kwanza amewaonesha watoto wake mapachana.

Toka alipojifungua Oktoba 2010, mapacha Nelson na Eddy, hawakuwahi kuonekana hadharani.
 
Lakini safari hii wameonekana wakiwa wakubwa Paris nchini Ufaransa akiwa na mume wake Rene Angelil.

Celine alikuwa nchini humo kwa ajili ya kufanya mahojiano ya kipindi maalum na kituo kimoja cha televisheni na alipomaliza walirejea nchini Marekani.

Mwinyi Goha ampigia magoti Jaydee, ataka kurudi Machozi Band


Tuesday, December 04, 2012

HAPPYBIRTH DAY BROTHER MEN DULLY SYKES;-LEO NI SIKU YANGU YA KUZALIWA, NIMETIMIZA MIAKA 32


Napenda kuwajulisha watu wangu kuwa leo Birthday yangu, nimetimiza miaka 32. 

Namshukuru mwenyezi Mungu kwa kunifikisha hapa nilipo na anaendelea kunijalia. 

Nawashukuru wadau wote wa tasnia ya burudani ndani na nje ya Tanzania kwa kunipa sapoti kubwa. 1

DULLY SYKES ATIMIZA MIAKA 32, AJA NA 'UTAMU UTAMU' KWA ZAWADI KWA MASHABIKI WAKE




MSANII mwenye jina Kubwa katika tasinia ya muziki wa kizazi kipya Tanzania Dully Sykes amewapa mashabiki wake zawadi ikiwa ni moja ya maadhimisho ya kusherehekea siku yake ya kuzaliwa ambapo  ametimiza miaka 32

Ametoa zawadi ya 'single' yake mpya inayokwenda kwa jina la Utamu Utamu akiwa amewashirikisha wasanii wenzake wa bongo fleva wanaotikisa kwenye anga za muziki Diamond, pamoja na Omy Dimpozi
 Dully alisema kuwa katika kusherehekea siku yake ya kuzaliwa ameamua kuwaweka karibu zaidi mashabiki wake kwa kumalizia kuitengeneza video yake ya Utamu Utamu ambapo hivi karibuni ataizindua ikiwa ni zawadi kwao

"Nimetimiza miaka 32 nashukuru mungu lakini sifikirii kufanya part yoyote ile kwani sitaki kuwa na mkusanyiko wa watu wachache ila ninachokiwaza ni kutoa zawadi kwa mashabiki na wadau wote kama shukurani kwa siku ya kuzaliwa kwangu" alisema Dully

Alisema kuwa single hiyo itakuwa bomba na kufanya vizuri kwa sababu na maaandalizi yaliyoandaliwa kwa ajili ya kuiboresha video hiyo

"Wasanii nilishorikiana nao ni wakali na wanatikisa katika anga za muziki hivyo kila kitu kitakuwa vizuri na ngoma itafanya vizuri sana naamini hivyo, kwani siajawahi kuwaangusha mashabiki wangu tangu nimeanza muziki" alisema

MENEJA WA TIP TOP CONNECTION ASEMA SABABU ZA WAO KUINGIA KATIKA UTENGENEZAJI FILAMU NA PIA KUHUSU MSANII MPYA WA TIP TOP



Hivi karibuni  Meneja wa kundi la Tip Top Connection Babu Tale alisema kuwa hivi sasa pia kundi hilo litakuwa ni kampuni na mbali na muziki pia litakuwa likijishughulisha na utengenezaji filamu.

Babu Tale amezungumzia sababu za kufanya hivyo na pia amemzungumzia msanii mpya wa kundi hilo ambaye anarap

ILIVYOKUWA SIKU YA MTIKISIKO 2012


        Tamasha la tano la KILIMANJARO MTIKISIKO 2012 jumamosi ya wiki iliyopita ya Dec mosi lilifikia tamati Iringa mjini katika viwanja vya SAMORA.

STAGE

WATU WAKIFATILIA GAME HAPOHAPO UWANJANI

CROWD..
       Hili ni TAMASHA linalofanyika kila mwaka chini ya EBONY ENTERTAINMENT, Radio EBONY FM inayosikika katika mikoa yote ya NYANDA ZA JUU KUSINI na kwa udhamini mkubwa wa TBL kupitia bia yake ya KILIMANJARO PREMIUM LAGER ambapo mwaka huu limevunja rekodi ya kujaza uwanja wa mpira wa SAMORA kwa kuhudhuriwa na mashabiki na wapenda burudani wa mikoa ya Nyanda Za Juu zaidi ya 15,000.

WATU...

DJ MUBA

JB TOKA MABAGA FRESH
 
Mbali na wasanii kutoka katika mikoa ya Nyanda Za Juu...wasanii waalikwa kutoka Dar-es-Salaam waliofanikiwa kukonga nyoyo za mashabiki hao ni pamoja na ROMA, PROF JAY, IZZO B, DARASA, STAMINA, BOB JUNIOR, QUICK ROCKA, KALA JEREMIAH, JUMA NATURE, GANGWE MOBB, MABAGA FRESH, NEY WA MITEGO, MR. BLUE, BELLE 9 na wengine kibao.

IZZO B

STAMINA

DARASA
KILIMANJARO MTIKISIKO 2012 lilianzia katika mji mdogo wa MAKAMBAKO kwa mbili, ya kwanza katika viwanja vya AMANI na baadae kwenye ukumbi wa GREEN CITY HALL, baada ya MAKAMBAKO likafanyika jijini MBEYA kwenye viwanja vya CITY PUB na jumamosi wiki iliyopita limemalizika katika viwanja vya SAMORA mjini Iringa.

DARASA

DARASA

SUMA MNAZARETI

KALA JEREMIAH

DJ ALI-B

D.N.A. TOKA KENYA

D.N.A...ASANTE IRINGAAAA..

NEY WA MITEGO

NEY

BOB JUNIOUR

BELLE 9

R.O.M.A.


                                                         

 
                                                 DAZ BABA
                                                    IZZO B
                                                   KALA JEREMAH
                                                      GODZILLA
                                                          DNA
NEY WAMITEGO




Kim Kardashian ndiye mrembo aliyetafutwa zaidi kwenye yahoo! Mwaka 2012, Mikasa ya mapenzi yampandisha.



Mwanamitindo Kim Kardashian amefunika kwenye top ten ya 2012 Yahoo! Searched list. Nyota ya mrembo huyo imeng’aa na kumuweka nafasi ya juu akiwafunika watu wengine maarufu na warembo wenye majina makubwa.

Jina la the Kanye West’s chocolate limeshika nafasi ya tatu baada ya nafasi ya kwanza kukamatwa na ‘election’ na nafasi ya pili kwenda kwa “iPhone 5”. Hii inamfanya Kim kuwa ndiye the most searched person katika kipindi cha mwaka 2012. 

Kwa mujibu wa Vera Chan, ambae ni mchambuzi wa Yahoo! Web trend, Kardashian alitafutwa zaidi kwa sababu ya umarufu uliotokana na matukio yake na mikasa ya mapenzi. 
 
Moja kati ya mikasa iliyowashawishi watu kumtafuta zaidi kwenye Yahoo! ni battle kati yake na mmewe wa zamani Kris Humphries, na iliyompandisha zaidi ni mikasa kibao ya kimapenzi kati yake na rapper Kanye West.

Sio hayo tu, Vera Chan alisema reality series yake inayorushwa kupitia television ya E! Iliwapa sababu watu wengi ku-msearch kwenye Yahoo!

Mchambuzi huyo amesema,kitu cha kushangaza katika nomination zilizoleta list ya top ten ya mwaka huu ni kwamba habari zote zilizoingia kwenye website zilikuwa zimesomwa tayari na watu, lakini watu waliendelea kuzi-search tena habari hizo hizo mwaka mzima.

Katika list hiyo Kardashian amewafunika wanawake maarufu wengine kama Whitney Houston ambae kifo chake mwaka huu kilisababisha watu wengi wazitafute habari zake, Lindsay Lohan na Jenifer Lopez ambae alikuwa judge wa ‘American Idol’.

Hii ndiyo top 10 ya watu na vitu vilivyotafutwa kupitia Yahoo! mwaka 2012
1.            Election
2.            iPhone 5
3.            Kim Kardashian
4.            Kate Upton
5.            Kate Middleton
6.            Whitney Houston
7.            Olympics
8.            Political polls
9.            Lindsay Lohan
10.         Jennifer Lopez

New Video: Diamond Platnumz - Nataka Kulewa [Official Video]


Finally, hii ndio video kamili ya wimbo wa Diamond Platnumz 'Nataka Kulewa', ambayo imetayarishwa na kusimamiwa na kampuni ya I-View Studios chini ya Raqey Mohamed. 
 
Itazame kisha toa comments zako kwa jinsi utakavyoipokea.

Monday, December 03, 2012

BRAND NEW HIT;- BEN PAUL FTN LUCCI


Msanii wa RnB Tz Ben Pol ameachia Brand New Track Inayoitwa Majonzi akimshirikisha Lucci na hii ni kwa Ajili ya Wasanii walio tutoka hivi karibuni .

Sikiliza na Downlod hapo chini 

RAPPER LORD EYEZ ATUNGA MISTARI KAMA UJUMBE KWA RAY C


 
Rapa maarufu nchini Tanzania Isack Waziri 'Lord Eyez amefunguka kuwa ametunga mistari michache ya Wimbo kama ujumbe wake kwa msanii Rehema Chalamila maarufu kama Ray C ambawo hapo awali waliwahi kuwa wapenzi na kuripotiwa kuwa mbioni kufunga ndoa kabla wawili hao kuachana

Akizungumza katika mahojiano yake na kituo cha televisheni  jijini Dar es Salaam alisema kuwa ameamua kutunga mistari kuhusiana na matatizo yanayomkabili kwa sasa kwa lengo la kumfariji msanii huyo

Alisema kuwa anasikitika na baadhi ya watu kumuhusisha katika matatizo yanayomkabili Ray C yanayotokana na matumizi ya madawa ya kulevya jambo ambalo anadai hausiki nalo

"Sihusiki kabisa na swala la Ray C kutumia dawa za kulevya na naomba watu wasiniongeze mzigo kwa kunihukumu katika vitu ambavyo sihusiki navyo, hata mimi tatizo lake limenigusa na ninamuombea sana arudi katika hali yake ya kawaida na ninaamini mungu atamsaidia na atakuwa pouwa " alisema Lord Eyez

DOWNLOAD UTAMU YA DULLY SYKES FTN DIAMOND & OMMY DIMPOZ


ANGALIA BEHIND THE SCENE YA UTENGENEZWAJI WA VIDEO YA WIMBO WA NATAKA KULEWA WA MSANII DIAMOND

Moja ya scene za kwenye video ya 'Nataka kulewa'
Kabla haujaiona video kamili inayosubiriwa kwa hamu na wapenzi wa Bongo flavor ya Diamond Platnumz "Nataka kulewa", hebu kwanza jionee video ya matukio yaliyojiri wakati wa utengenezwaji wa video hiyo iliyokamilishwa na kampuni ya I-View Studios chini ya director ambae pia ni manager wa Diamond anaefahamika kama Raqey Mohamed. 

Pia msikilize Diamond mwenyewe akizungumzia mambo mbalimbali yanayohusu wimbo na video hiyo ikiwa ni pamoja na sababu za yeye kuchagua kuuandika wimbo huo, sababu za kumchagua video model waliemtumia anayeitwa Jackie Cliff na sababu za mavazi aliyoyatumia. Tazama hapa behind the scene...www.leotainmenttz.com/2012/12/teaser-angalia-behind-scene-ya.html

BRAND NEW MUSIC;-G-NAKO FTN BEN PAUL - MAMA YEYO


MeccaCheka wafanya collabo na nakaaya

 MeccaCheka wafanya collabo na Nakaaya na round hii track inakwenda kwa jina "Darasa Huru" ikiwa ni hiphop track yenye mafunzo tosha kwa jamii,"Tumewajia ki-concious saivi maana Meccacheka wengi wanatufaham kama wakali wa ngoma za club zaidi kupitia "rakata","cheka Ung'atwe na "pole" tulizorecord mtindo wa kwaito/mdundiko" asema Mwiro ambaye ndio kiongoz wa kundi,Riz asema "Meccacheka tunawashukuru zaidi washabiki wetu wote mnaotupa shavu, kutu-support game letu pamoja na harakati zetu zingine,pia kwa siter Nakaaya na Defxtro pande za noizmekah.com kwa kutupa moyo wa kufanya yetu" kwa mawasiliano/interview na booking za show check nasi kupitia 0654879598 & 0715652878 download darasa huru www.hulkshare.com/1lf8skbkh5kw/?force=1

Labels