Pages

This is default featured slide 1 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by Lasantha Bandara - Premiumbloggertemplates.com.

This is default featured slide 2 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by Lasantha Bandara - Premiumbloggertemplates.com.

This is default featured slide 3 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by Lasantha Bandara - Premiumbloggertemplates.com.

This is default featured slide 4 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by Lasantha Bandara - Premiumbloggertemplates.com.

This is default featured slide 5 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by Lasantha Bandara - Premiumbloggertemplates.com.

Monday, March 11, 2013

HAWA NDIO WASANII WATAKAOPIGA SHOW KATIKA BIRTHDAY PARTY YA MICHELLE OBAMA

Adelle
Beyonce
Kufuatia taarifa za sherehe kubwa za maadhimisho ya kutimiza miaka 50 (Golden Jubilee) tangu kuzaliwa kwake First Lady, Michelle Obama ambayo itafanyika tarehe 17 Januari Mwaka ujao, Tayari wasanii mahiri - Beyonce a.k.a Mama Blue Ivy pamoja na Adelle wameshatajwa kuwa katika orodha ya watumbuizaji siku hiyo.
Michelle
Za moto moto zinaweka wazi kuwa tarari Michelle ameshawapa taarifa hizi wasanii hapa, na kati yao tayari Adelle amekwisha kubali mara moja kuwa kati ya watia ladha katika siku hii kubwa ya Michelle na Beyonce pia anatarajiwa kukubali bila kipingamizi.

Maandalizi ya mapema kabisa ya shughuli hii ni moja ya vitu ambavyo vinawaaminisha watu kuwa Januari 17 2014 itakuwa ni bonge moja la siku katika historia ya Familia ya Obama.
Obama Family

HUYU NDIO STAR ANAYE AZIMWA MAGARI NA JUSTIN BIEBER NAKUPATA NAYO AJALI.

Justin Bieber Amekuwa karibu na Msanii wa Young Money Lil Twist Na Mara Nyingi Msanii Huyu Huonekana Na Magari Ya Justin. Wiki Iliyopita Aligonga gari ya Justin Aina Ya Fisker Karma na Weekend Hii Ameonekana Calabasas Akiwa na gari Lingine la Bieber Aina Ya Range Rover. Inasemekana Ndio Gari Ya Bei Raisi Zaidi Anayo Miliki Bieber.
Lil Twist

WASANII NA WATU MAARUFU WALIOZALIWA LEO


Msanii ambaye pia ni mtangazaji sahivi pande za Iringa Ebony Fm Soggy Dogg leo ni siku yake ya kuzaliwa alizaliwa 11/3/1979.Happy b'day aarif maisha marefu.
Mchezaji Didier Drogba Alizaliwa 11/3/1978
Aliyewahi kuwa msanii wa kundi la Destiny Child LeToya Lucket alizaliwa 11/3/1981

Silaha nyingine ndani ya World of Benefit



Jina lake halisi ni Latipher Mkuu, si maarufu sana machoni pa watu lakini ni mahiri sana katika kazi, kama ulivyo mvuto wa umbile lake ndivyo alivyo na mvuto katika kazi ya sanaa ya uigizaji.
Kipaji chake kimedhihirika hivi karibuni baada ya kupata fursa ya kushiriki katika filamu ya Worl Of Benefit ambayo ipo katika hatua ya ‘editing’ ikisubiri kuingizwa sokoni.
Licha ya ushiriki wake wa ‘scene’ chache ndani ya filamu hiyo lakini Latipher ameweza kuonesha kipaji cha hali ya juu akiwa sambamaba na mkongwe Rose Ndauka.
Akizungumzia umakini wake katika kazi Latipher amesema hivi, “Awali, sikuwa na uzoefu mkubwa katika mambo ya uigizaji, lakini baada ya kukaa ‘camp’ kwa siku kadhaa na kupata mafunzo ya kutosha kutoka kwa wasanii wakongwe nilijikuta nikiingiwa na ujasiri, papo hapo nilianza kujituma na kufanya mazoezi bila kuchoka, nafurahi kuona nilichokipigania kimefanikiwa, nitaendelea kujifunza zaidi ya hapa ili baadae niwe muigizaji bora kabisa wa filamu.”
Washiriki wengine aliokutana nao Latipher katika filamu hiyo ni pampja na Mzee Chilo, Hemed Suleiman, Awadh Saleh, Mama Mjata, Timbulo, Peter, Tutti, Miriam na Natalia.

[PICHA 2]:- MARA YA KWANZA PREZZO KUONEKANA NJE BAADA YA KIFO CHA GOLDIE.

Hii Show Inaitwa The Circle Ilifanyika Nairobi Na Ndio Mara Ya Kwanza Prezzo Ameonekana Nje Baada ya Kifo Cha Goldie. Kwenye Hii Show Alikuwa On Stage Na Camp Mulla.

Sunday, March 10, 2013

PASHA AFUNGUA DUKA LA NGUO

Yap yap niajee....kama kawa harakati zinaendelea.....karibuni sana PASHA CLASSIC WEAR
Yap yap niajee....kama kawa harakati zinaendelea.....karibuni sana PASHA CLASSIC WEAR ''Pasha alisema''

PICHA / ZA UTUPU ZA MWANADADA ''SAPNA'' WA VIDEO YA JAMBO JAMBO YA ''STEVE RnB ''

  

Mastaa wa Bongo bado waendelea kutikisa mitandaoni na  picha zao za utupu walizopigwa na kujipiga wao wenyewe na kuvuja kama ilivyo kwa msanii mrembo aliyepamba video ya wimbo wa Bongo Fleva uitwao Jambo Jambo wa msanii Steve RnB, Aisha Firozi ‘Sapna’ ni kawaida kwani hujifotoa mwenyewe.

Rafiki wa video queen huyo ambaye ndie aliyewasilisha picha hizo na kutaka jina lake lisiweekwe hadharani alisema
 “Yule ni mtu wangu wa karibu sana, lakini tabia yake kwa kweli huwa siipendi kabisa. Anajipiga picha chafu mwenyewe, kwake ni starehe kubwa, huwezi kuamini.
”
  Aidha alizidi kuongeza kuwa picha hizo amejipiga hivi karibuni nyumbani kwa rafiki yake aitwaye Doreen, Tabata - Magengeni jijini Dar es Salaam, ambapo ni mahali video queen huyo huishi yeye pamoja na rafiki yake huyo.

BAADA YA PICHA HIZI KUSAMBA NDIO SAPNA ALIPO TAFUTWA NA KULIZWA NA ALIKUWA NA HAYA YA KUSEMA.....

“Hizo kweli ni picha zangu na nilijipiga mwenyewe sasa sijui wewe umezipataje na zimefi kaje huko kwenu? Mimi nilipiga kwa masilahi yangu mwenyewe, huwa natamani sana kujiangalia jinsi umbo langu lilivyo, ndiyo maana niliamua kujipiga na si vinginevyo.

“Kila mtu na maisha yake na mimi sikuwa na dhamira mbaya kujipiga picha hizo zaidi ya kujiangalia tu nilivyo,” alisema Sapna.

Mabingwa watetezi, Simba wamefufuka katika jinamizi la matokeo mabovu baada ya kuibuka na ushindi wa 2-1 dhidi ya Wagosi Coast Union.

SIMBA 2-1 Coastal Union

Mabingwa watetezi, Simba wamefufuka katika jinamizi la matokeo mabovu baada ya kuibuka na ushindi wa 2-1 dhidi ya Wagosi Coast Union. Simba ambao walianzisha wachezaji wengi wa kikosi cha vijana walionekana kuwa na uchu wa mabao toka dakika ya mwanzo huku Mrisho Ngassa akionekana kuwa mwiba mkali kwa walinzi wa Coastal Union, na ilikuwa ni katika dakika ya 45 alipoipatia bao la kwanza. Wakati bado Coastal wakitafakari nini kimetokea, Haruna Chanongo alifunga bao la pili baada ya kugongeana vizuri na Ngassa na hadi mapumziko Simba walikuwa wakiongoza. Kipindi cha pili Coastal walipata bao la kufutia machozi kupitia kwa Razack Halfan huku Simba wakiendelea kumiliki mpira kwa asilimia kubwa. Hadi mwisho Simba 2-1 Coastal Union.
Mabingwa watetezi, Simba wamefufuka katika jinamizi la matokeo mabovu baada ya kuibuka na ushindi wa 2-1 dhidi ya Wagosi Coast Union.
Simba ambao walianzisha wachezaji wengi wa kikosi cha vijana walionekana kuwa na uchu wa mabao toka dakika ya mwanzo huku Mrisho Ngassa akionekana kuwa mwiba mkali kwa walinzi wa Coastal Union, na ilikuwa ni katika dakika ya 45 alipoipatia bao la kwanza. 
Wakati bado Coastal wakitafakari nini kimetokea, Haruna Chanongo alifunga bao la pili baada ya kugongeana vizuri na Ngassa na hadi mapumziko Simba walikuwa wakiongoza.
Kipindi cha pili Coastal walipata bao la kufutia machozi kupitia kwa Razack Halfan huku Simba wakiendelea kumiliki mpira kwa asilimia kubwa. Hadi mwisho Simba 2-1 Coastal Union.

DIAMOND PLATINUMZ AKIZUNGUMZIA MALENGO YAKE YA KUJENGA MSIKITI

Licha ya Msanii huyu Diamond kumjengea Nyumba yakuishi Mama yake mzazi yenye thamani za kitanzania  ya zaidi yashilingi milioni 200,sasa msanii huyo anayefanya poa na kazi yake ya Kesho kwenye Industry ya muziki amesema kuwa mpango wake wa kujenga msikiti bado upo hayo ameyasema kupitia Top 20 za Redio Clouds  leo.

[PICHA]:- MSANII SHAA AKIWA KWENYE VIDEO SHOOT YA WIMBO WAKE LAVALAVA.



Katika Video Shoot Ya LavaLava.Picha Kutoka Kwenye Ukurasa Wa Facebook Wa Shaa.

HII NI OFFICIALLY WEBSITE YA BARNABA WA THT NA ITAKUWA ON AIR ON MONDAY [11/03/2013]

ALICHOKISEMA KENDRICK LAMAR AMBAYE NI MC BORA KWA MWAKA 2012/2013 KUPITIA MTV

Kendrick Lamar


Anaitwa Kendrick Lamar,Ni msanii ambaye yuko Chini Ya AfterMath Records Ya Dr Dre na Kupitia MTV Amechaguliwa kama MC Bora wa mwaka 2012/2013 kwenye Game kwa sasa.

Kwenye Mahojiano Na Kituo Kimoja Marekani Lamar amesema Kuwa MC Bora kwenye orodha hio ni kitu kikubwa sana japokuwa alishawahi kufikiria kuwepo kwenye Orodha hiyo lakini sio kuwa namba Moja.

Kendrick aliendelea kusema wasanii watalalamika kuwa bado hajawa na kiwango hicho na nimapema sana Ila yeye anadhani kuwa namba Moja kwenye list hiyo amewakilisha Rappers wote wanaochipukia wenye uwezo ambao bado haujaonekana.

Na Hii Ndio Orodha Yenyewe ya Waliochaguliwa
 
1:- Kendrick Lamar 

2:- 2 Chainz

3:- Rick Ross

4:- Nas

5:- Drake

6:- Big Sean

7:- Kanye West

8:- Asap Rocky 

9:- Future
 
10:-Meek Mi

Saturday, March 09, 2013

[VERY ...HOT]DOWNLOAD AMA G - SHORT TIME (OYOYO)


MAELEZO YA RAMA D KUHUSU WIZI WA KAZI YAKE - TIGO

Kupitia mtandao wa kijamii pendwa Facebook Msanii Rama D ambae anafanya vizuri na nyimbo yake ya "KUWA NA SUBIRA" ametoa maelezo yake kuhusu issue ya nyimbo yake kutumika kwenye caller tune bila ruhusa yake wala mkataba wowote.

Rama D amefunguka kwa style hii

"Napenda kuwapa taharifa Mashabiki wangu Wapenzi wa Muziki wangu na Ndugu Zangu wenye mapenzi Na Muziki wangu kuwa naskitika na naskia uchungu Sana Kwa kampuni ya sim Tigo kwa kuuza Kazi yangu ya "Kuwa Na Subira"toka mwaka jana mwezi wa 6 Bila makubaliano na Muhusika mkuu ambaye ni Mimi Rama Dee tafadhari ndugu zangu naomba mnisaidie sitaki kupita njia nyingine zaidi ya hii kuweka ukweli hapa..
 
naumia sana sana kuona Tigo inanikandamiza inafananya biashara Ambayo sio halali,najuwa ndani ya Wapenzi wa Muziki wangu kuna Wansheria na Waandishi wa Habari pia wapo watu wenye Blogs na Web naomba mnisaidie kuwajulisha wananchi juu ya Manyanyaso ya Kampuni hii ya simu Tigo Hii inaonyesha ni jinsi Gani hakuna haki wala heshima kwenye sanaa,pia kutumia njia ambayo haitambuliki kuwadanganya Wananchi kuwa hiyo ni kazi halali ambayo imetoka kwangu..
 
Ndugu zangu Tigo wanaharibu Mahusiano yangu na Nyie Mashabiki wangu Kwa maana wanauza kazi kwa njia sio halali...Kama umenunuwa Kazi yangu Ya Kuwa Na subira Tigo basi juwa wamekudhurumu haki yako ambayo ilikusudia kunichangia mimi."
 
Habari Kwa Hisani http://hassbaby.blogspot.com

BAADHI YA PICHA KUTOKA KWENYE HARUSI YA KIMILA YA 2FACE...


Baada ya kufanyika Harusi ya Kimila Jana,Machi 8,Staa Huyu Anategemea kufanya harusi nyigine Dubai siku kadhaa zijazo....!!

Hii ni siku kadhaa nyuma picha za wapenzi hawa walizopiga kuwajulisha wananchi juu ya matarajio yao kufunga ndoa karibuni........

[NEW SONG....HOT]:-Brown Wa NBA ft T-Nock - Rangi Ya Makopa


Artist:- Brown Wa NBA ft T-Nock
Song:- Rangi Ya Makopa 
Produced by:- Lollipop
Studio:- K-Reckord (Classic Music)
New artist from Mwanza


[NEW SONG.....VERY HOT]:-SIR TINO fT MR BLUE - JILINDE


[NEW HIT....VERY HOT]:-WITNEY - SITAKI


UHURU MUIGAI KENYATTA AMEIBUKA MSHINDI NA KUTWAA URAIS NCHINI KENYA


BREAKING NEWS

Hatimaye aliyekuwa mgombea urais nchini Kenya kupitia chama cha The National Alliance Party (TNA), Uhuru Muigai Kenyatta ameibuka mshindi na kutwaa urais kwa jumla ya kura 6,173,433, na kumbwaga Raila Odinga aliyepata kura  5,340,546 kutoka majimbo yote 291.

Bwana Uhuru Muigai Kenyatta ametangazwa rasmi na tume huru ya uchaguzi na mipaka nchini Kenya (IEBC) na sherehe za kuapishwa kwake zitafuata.

Mwenyekiti wa tume huru ya uchaguzi na mipaka (IEBC) Mr.Issack Hassan ameyatangaza hayo matokeo leo mchana saa 8.Hatimaye aliyekuwa mgombea urais nchini Kenya kupitia chama cha The National Alliance Party (TNA), Uhuru Muigai Kenyatta ameibuka mshindi na kutwaa urais kwa jumla ya kura 6,173,433, na kumbwaga Raila Odinga aliyepata kura 5,340,546 kutoka majimbo yote 291.

Bwana Uhuru Muigai Kenyatta ametangazwa rasmi na tume huru ya uchaguzi na mipaka nchini Kenya (IEBC) na sherehe za kuapishwa kwake zitafuata.

Mwenyekiti wa tume huru ya uchaguzi na mipaka (IEBC) Mr.Issack Hassan ameyatangaza hayo matokeo leo mchana saa 8.

NEW HIT:-DULLAH ft MR BLUE & DARASA - MAMBO YAENDELEE


Labels