Pages

This is default featured slide 1 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by Lasantha Bandara - Premiumbloggertemplates.com.

This is default featured slide 2 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by Lasantha Bandara - Premiumbloggertemplates.com.

This is default featured slide 3 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by Lasantha Bandara - Premiumbloggertemplates.com.

This is default featured slide 4 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by Lasantha Bandara - Premiumbloggertemplates.com.

This is default featured slide 5 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by Lasantha Bandara - Premiumbloggertemplates.com.

Monday, June 03, 2013

HABARI BBA | NANDO MSHIRIKI WA TANZANIA BBA APEWA KAZI YA KUTEMBELEA MIGUU NA MIKONO KWA MUDA WA SIKU TANO!!!


SHINDANO la Big Brother Afrika limeendelea kwa washiriki wawili kutolewa katika wiki ya kwanza ya mchezo huo ambao unashirikisha washiriki wapatao 28 kutoka nchi 14 barani Afrika.

Jumatatu iliyopita washiriki walipata nafasi ya kutoa mapendekezo yao ya kuchagua washiriki ambao wanaona wanafaa kuingia katika Danger Zone ambapo watano kati yao ndio waliotajwa mara nyingi zaidi na washiriki wenzao hivyo kuingia huko.

Washiriki waliongia katika Danger Zone walikuwa ni Betty wa Ethiopia, Selly wa Ghana, Denzel wa Uganda, Natasha wa Malawi na Huddah wa Kenya ambapo watazamaji walitakiwa kumpigia kura mshiriki ambaye wanaona anafaa kubakia ndani ya jumba hilo.

Katika kura zilizopigwa na watazamani kutoka nchi 14, Betty ndio alipata kura nyingi zaidi baada ya kupata kura 5, akifuatiwa na Selly na Natasha waliopata kura tatu kila mmoja huku Denzel na Huddah wao wakiambulia kura mbili hivyo kumaanisha kwamba safari yao katika kugombea dola 300,000 kuishia hapo.

Baada ya kutolewa katika jumba hilo IK mtangazaji wa kipindi hicho aliwapa nafasi washiriki hao kulipa kisasi kwa kuchagua mshiriki mmoja ambaye hupewa kazi ambayo hutakiwa kuifanya kwa muda atakaopangiwa.

Wa kwanza alikuwa Denzel ambaye alitakiwa kuchagua mshiriki ambaye atatakiwa kila akitoka nje kupunga hewa kwenye jumba hilo awe anatembea kwa miguu na mikono kwa muda wa siku tano na kijana huyo hakusita kumchagua Nando mshiriki wa Tanzania kufanya kazi hiyo.

Aliyefuata alikuwa na Huddah ambaye yeye aliambia achague mshiriki ambaye atakuwa akitandika vitanda vyote katika jumba hilo kwa muda wa siku mbili na mwanadada huyo mrembo kutoka Kenya alimtaja mwanadada mwenzake Dillish kutoka Namibia kufanya zoezi hilo.

SALAMU ZA RAMBIRAMBI TOKA KWA WIZARA YA HABARI,VIJANA,UTAMADUNI NA MICHEZO KUTOKANA NA KIFO CHA MANGWEHA


Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia
Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, imepokea
kwa mshituko na masikitiko makubwa taarifa ya kifo cha msanii
wa muziki wa kizazi kipya (Bongo fleva) Albert Mangweha,
aliyefariki huko Afrika Kusini katika hospitali ya St. Hellen akiwa
katika shughuli za muziki, Jumanne tarehe 28 Mei, 2013.

Cover La Album Mpya Ya Kanye West `Yeezus'

Rapper Kanye West amethibitisha kupitia tovuti yake ya kanyewest.com, Jina la Album Yake ya sita ni Yeezus na ni project yaki peke aliyo ifanyia kazi kwa muda mrefu kuliko project yoyote.

Kanye West amesha fanyia show nyimbo mbili kwenye album hio ambazo ni New Slaves Na Black Skinhead. Mpaka sasa haijajulikana kama album itatoka hivi kama inavyo onekana hapo, kuwa ni cd na utepe mwekundu tu au patakuwa na orodha ya nyimbo.

NEW HIT | BIG BOY SWANGA ft MESSEN SELECTOR - REAL LOVE


NEW SONG | BECKA TITLE F| MIRROR & BLUE - USIKU WA LEO


AUDIO | G-VAN F| TUDDA - NATAYA


AUDIO | MILLTANA F| TIFFA - KAMCHUKUE



Sunday, June 02, 2013

PICHA |MSHINDI WA MISS DAR CITY CENTRE 2013

 Mshindi wa miss Dar city centre,Alice Isack
Warembo waliofanikiwa kuingia 3 bora wakiwa na mshindi,Alice Isack

MSANII & PRODUCER ''J MARTINS'' AOA MWISHONI MWA MWEZI MEI

Msanii na producer kutoka nigeria wik iliopita Tarehe30 mwezi Mei Mwaka Huu alifunga pingu za maisha kimya kimya na girlfriend wake wa muda mrefu Nnezi Mbila, na tafrija hiyo ilifanyika Protea Hotel Oakwood in Lekki, Lagos.

Wakali kama kama P-Square, Uti Nwachukwu, AY, Jude Okoye, footballer Ikechukwu Uche Senator Ayim Pius Ayim, the governor of Abia State,Theodore Orji walihudhuria katika sharehe hizoJ martins amekuwa star wa pili kutoka Nigeria mwaka huu kufunga ndoa baada ya 2 face Idibia 

VIDEO|ASLAY F|ALLY NIPISHE - MANENO YA WAHENGA


BAADA YA KUSIKIA MWILI WA MWANAE UMESHINDWA KUWASILI NCHINI, MAMA MANGWEA ANGUKA GHAFLA ALAZWA HOSPITA YA MKOA

Bi Denisia Mangwea.mama mzazi wa msanii Albart Mangwea
MAMA mzazi wa marehemu Albart Keneth Mangwea Bi Denisia Mangwea[63] leo asubuhi ameanguka ghafla baada ya kupoeka taarifa kwamba mwili wa mtoto wake Albeth umeshindwa kuwasili nchini ukitokea Afrika ya kusini.

Mtandao huu leo mchana ulipokea taarifa z a tukio hilo ambapo ambapo dada mkubwa wa Albeth Bi Magreth Mangwea alipoulizwa alithibitisha mama yake kuanguka ghafla baada ya kusikia mwili wa mpendwa mtoto wake umeshindwa kuwasili nchini.
Huku Pilika pilika za maandalizi ya kupokea mwili wa Albert Mangwea zikiendelea kwa sasa nyumbani kwao Kihonda Mazimbu Road

PICHA|LIVE kutoka Mbezi Beach Dar es Salaam - Mh Radhia Msuya Balozi wa Tanzania nchini AfricaKusini atembelea nyumbani kwa wafiwa wa Albert Mangweha






LIVE kutoka Mbezi Beach Dar es Salaam - Mh Radhia Msuya Balozi wa Tanzania nchini AfricaKusini atembelea nyumbani kwa wafiwa wa Albert Mangweha

PICHA NA DJ CHOKA

PRODUCER B JAYZ SASA NDANI YA STUDIO MPYA "SKY RECORD'S" MKOANI NJOMBE - CHAUGINGI

 Sky Records
Mara baada yakufanya kazi katika Studio za SUMA Records kuanzia Mwaka 2010 mwezi 11 hadi 2013 Producer B Jayz sasa Amefungua Studio yake Mkoani Njombe katika Mtaa wa Chaugingi na Studio Hiyo Mpya Inatarajiwa Kuanza kufanya kazi Mwezi wa  Saba mwaka Huu.

Akijibu Swali lililokuwalikiulizwa na Baadhi ya watu wake wakaribu kuhusiana na kimya chake Producer Huyo amesema "Nilikuwa kimya kwa muda kutokana na Maandalizi ya kufungua Studio yangu...Sasa Nimerudi na Kitu kipya .....STUDIO inaitwa SKY RECORD's na Rasmi Mwezi wa Saba Midundu inaanza kunyongwa"

Producer Huyo awali alikuwa anafanya kazi Wilayani Makete katika Studio za Suma Record's na amefanya kazi kibao kwa muda wote aliokuwepo wilayani huko kama "kazi za makirikiri wa ki-kinga''


Download | Izze Martin & Milyo - Sijuti kuwa nae. [Audio]


Wasanii Wa Africa Mashariki Waliotajwa Kwenye Tuzo Za Burudani Za Nigeria, Orodha Ipo Hapa.


 
Kundi la Camp Mulla Na P Unit Kutoka Kenya wametajwa kwenye orodha ya wasanii wanao wania Tuzo Za Nigeria Za Burudani.

Kwenye Orodha Hio Pia wapo wakali kutoka Uganda, Wasanii wanaokubalika Africa Mashariki kwa melody zinazoshika watu kiraisi zaidi Moze Radio na Weasel wa Goodlyfe Na Rapper Navio wametajwa kwenye kipengele hicho cha Best Eastern Africa Artist Or Group Of The Year. Wasanii wengine ni K'Naan Na Fally Ipupa

EASTERN AFRICAN ARTIST OR GROUP OF THE YEAR
CAMP MULLA
FALLY IPUPA
K’NAAN
NAVIO
RADIO & WEASEL
P UNIT

Saturday, June 01, 2013

NYIMBO ZA MAOMBOLEZO YA NGWEA


NYIMBO ZINGINE ZA MAOMBOLEZO

NEW SONG:-DREAM - FURAHA YA LEO


Habari naitwa Dream wimbo wangu unaitwa Furaha ya leo umeandaliwa katika studio za Natal Records Dar es salaam lakini pia unapatikana kwenye callertune kupitia code no.23370 kwenda 15007 my contact info 0652124848

NISHER APATA TUITION KUTOKA KWA ADAM JUMA


By Fred Bundala
Hakuna anayebisha kuwa jina la Nisher kutoka Arusha kwa sasa ni kubwa nchini kutokana na kuongoza na kutayarisha video za wasanii wakubwa akiwemo Joh Makini, Belle 9, Mabeste na wengine. Hivi karibuni aliongoza na kuitayarisha video ya G-Nako ya wimbo wake Mama Yeyoo aliyomshirikisha Ben Pol.

Hata hivyo Adam Juma ambaye ni muongozaji na mtayarishaji mkongwe wa video za muziki nchini amegundua tatizo dogo kwenye video ya Mama Yeyoo na kuchukua muda wake kumpa darasa. Hivi ndivyo alivyomwambia ingawa alitumia zaidi lugha ya fani hiyo ambayo unaweza usiielewe.

RATIBA KAMILI YA MAZISHI YA ALBERT MANGWEHA

Taarifa muhimu toka kwa msemaji wa Familia ya Marehemu
Albert Mangweha ambae ni
Kenneth Mangweha ametoa Ratiba Rasmi baaa ya ile ya jana
kusema mwili ulipaswa kuwasili
Tarehe 1 June 2013 alasiri lakini kutokana na Watanzania
waishio nchini South Africa
kuomba Familia ya marehemu nao kupata nafasi ya kuuaga mwili

Labels