Pages

This is default featured slide 1 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by Lasantha Bandara - Premiumbloggertemplates.com.

This is default featured slide 2 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by Lasantha Bandara - Premiumbloggertemplates.com.

This is default featured slide 3 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by Lasantha Bandara - Premiumbloggertemplates.com.

This is default featured slide 4 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by Lasantha Bandara - Premiumbloggertemplates.com.

This is default featured slide 5 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by Lasantha Bandara - Premiumbloggertemplates.com.

Wednesday, November 28, 2012

Album ya Rihanna ‘Unapologetic’ yakamata nafasi ya kwanza kwenye chart za Billboard



Album mpya ya Rihanna ya  Unapologetic
yakamata nafasi ya kwanza kwenye chart za albam 200 za Billboard.

“Unapologetic,” iliyokamata nafasi ya kwanza pia kwenye iTunes katika nchi 43 ikiwa masaa tu tangu itoke November19, iliuza kopi 238,000 kwa mujibu wa Billboard.

Wimbo wa kwanza kutoka kwenye albam hiyo, “Diamonds” upo kwenye top five ya Billboard Hot 100 wiki iliyopita na kuwa single ya 12 ya Rihanna kuwahi kukamata nafasi ya kwanza.

Albam hiyo imefanyiwa promotion ya uhakika na Rihanna aliyefanya ziara ya siku saba kwenye majiji saba duniani kote kwa kusafiri na waandishi wa habari pamoja na mashabiki wake.

KHAIRAIN NI JINA LA MTOTO WA RAPPER NEY WA MITEGO

 
 MSANII wa muziki wa kizazi kipya mwenye nyimbo za maneno ya shombo kwa baadhi ya wasanii hususani wa filamu nchini Ney wa Mitego mungu amemjalia kwa kupata mtoto wa kiume aliyempa jina la Khairain

Akipiga stori na Ergon Elly Rapper huyo alisema mama wa mtoto huyo anaitwa Jackiline na mipango yake ya hapo Baadae Mtoto wake akiwa mkubwa ajekuwa Mtu mkubwa katika Nchi iliae kuwasaidia watu wasiojiweza katika Nchi hii
Alisema mwanamke aliyezaa naye ni wa kawaida na hafahamiki katika tasnia ya sanaa kiujumla, kwa hali hiyo inamsababisha yeye kuishi vizuri na mwanamke huyo bila ya matatizo yoyote hususani skendo zinazosababisha kuvunjika kwa mahusiano mengi ya wasanii walio wengi

"Nimefurahi kupata mtoto wa kiume kwani ni moja ya ndoto zangu, namshukuru mwanamke aliyenizalia mtoto huyo, muda ukifika nitamuweka wazi na kufunga naye ndoa kwani ndoa ni mipango ya baadaye kidogo mpaka tujipange " alisema Ney wa Mitego

Wakati huo huo Ney alizungumzia picha zake zinazoonekana kuzagaa katika mitandao ya kijamii akionekana yeye na msanii wa Bongo Muvi 'Nisha' wakiwa faragha

Alisema kuwa chanzo cha picha hizo ni za filamu yao mpya ambayo inatarajia kutoka hivi karibuni sokoni, katika filamu hiyo alicheza yeye na Nisha wakiwa faragha na hawakupanga kuongelea chochote juu ya picha hizo

"Picha  hizo zimesambaa mitandaoni kwa bahati mbaya kwa sababu zilikuwa kwenye simu ya Nisha bahati mbaya alipata ajari na simu yake kupotea hivyo baadhi ya watu wakaziona hizo picha na wakaamua kuzisambaza kwenye mitandao bila ya kujua madhumuni ya picha hizo" alisema Ney wa Mitego

Tuesday, November 27, 2012

KAULI YA MAMA YAKE RAY C KUHUSU WATU WANAOMZUSHIA RAY C KIFO ISIKIE HAPA

KUTOKA DIGITAL VIBES MZIGO MPYA UNAKUJA KAA TAYARI


PICHA10 ZA GARI ALILOPATA NALO AJALI SHARO MILIONEA.

.
.
.
.
.
.
.
.
Upande wa mbele wa gari.
Maelezo mengine na picha za eneo la ajali nitaviweka hapa baadae kidogo na pia vitasikika kupitia Amplifaya ya Clouds fm kuanzia saa moja usiku.

Picha kwa hisani ya Millardayo .com

WIMBO ULIOIMBWA NA TANZANIA ALL STARZ UKIMUHUSISHA MAREHEMU SHARO MILIONEA - TUKAZE MOYO

 Wimbo Mpya uliotengenezwa Leo pale kwa C9-Kiri Records ukimuhusu Sharo Milionea..... Fuata Link kuudownload.!!!#Wasanii zaidi ya 15 wameingiza sauti kwenye ngoma Maalum kwaajili ya Kifo cha Sharo Milionea ... Imembidi C9 kuwapunguza na kusitisha wengineo wasiingize sauti maana wimbo ungekuwa mrefu zaifi... !

FID Q AaCHIA COVER JINGINE LENYE SHAIRI


Baada ya kuona mashabiki wengi wa Hip Hop wanakubali kazi zake za muziki hapa nchini,sasa basi ameachia cover nyingine lenye shairi kwa ajili ya wewe shabiki wake.
Ujumbe aliyoandika katika cover ameandika kwamba"UREMBO WA UZURI UPO NDANI, KWA NJE MNAJIONGOPEA MUUZA SURA USIKOSE AMANI,MAKUNYANZI YAKIKUTOKEA"

CHECK OUT NA BLOG MPYA

 
MY NAME: Aloyce Mlawa (From Njombe, currently TABORA)
BLOG NAME: Aloy Son Blog
EMAIL: aloyson@live.com
MOBILE: 0715-103054/ 0755-103054

NAOMBA USHIRIKIANO WENU KWA HABARI, MATUKIO NA MATANGAZO

BARNABA MIKOSI YAZIDI KUMUANDAMA



Msanii Barnaba Elias ameendelea kuandamwa na mfululizo wa mikosi, baada ya wikiendi iliyopita kuibiwa gitaa lake ambalo alipewa na Mke wa Rais wa Marekani aliyopita Mama Laura Bush. 

Barnaba alielezea kusikitishwa na tukio hilo ambapo anasema liliibwa maeneo ya Leaders nje ya ofisi za THT ambapo ndipo makao makuu ya kituo chao cha kazi.

 Barnaba alisema, baada ya kuingia katika ofisi za THT siku ya jumamosi, majira ya saa kumi na mbili na kufanya mambo yake, alishangaa kutolikuta gitaa lake hilo alilopewa kama prize Asset na Laura Bush, Mke wa Rais aliyepita na alichanganyikiwa kidogo kwa namna lilivyotoweka.

“Ninavyokwambia nilifunga milango yote lakini hawa jamaa wametumia mbinu kali maana hakuna mtu aliyeshituka. 

Barnaba anasema bado juhudi za kulitafuta gitaa hilo zinaendelea na anasema atashukuru kama atapata mtu atakayemsaidia kwa taarifa ili kulipata gitaa hilo

HUU NI UJUMBE KUTOKA KWA MAREHEMU BAADA YA KU CHART NA LINEX

Huu ni ujumbe kutoka kwa marehemu baada ya ku chart na msanii wa Bongo Fleva hapa Tzee almaarufu kama Linex Sunday. 

HALI YA MZEE MAJUTO SI NZURI PRESHA YAPANDA BAADA YA K UONDOKEWA NA JEMBE LAKE SHARO



 akiongea na EAradio mtoto wa king majuto kupitia simu ya baba yake alisema

 Hali ya presha ya Mzee King Majuto imepanda na kuzidi kuwa mbaya baada ya

  kupokea taarifa za msiba wa Sharo Milionea hali inayopelekea mkewe na

 yeye (Mwanae )kupeana zamu katika kumhudumia ili kurejesha hali yake 

 katika  hali ya kawaida.

Na;-moronew.blogspot.com

KWA MUJIBU WA MO NA GASTAR KUTOKA CLASSIC RECORD

Baada ya kutokea kifo cha msanii almaarufu Sharo milionea ,sasa kwa namna moja au nyingine wasanii mbalimbali na watu wote tumeguswa na msiba huu.
Kwa mujibu wa producer Mona gastar leo asubuhi aliweza kuniambia kwamba studioni kwake kuna baadhi ya wasanii waliojitokeza kuja ku record ngoma kwa ajili ya kumuenzi Sharo Milionea.Baada ya hapo ndipo nikaona ujumbe kutoka Country Boy kupitia katika ukurasa wake wa Facebook huu hapa.

Picha ya Sharo Milionea baada ya kupata ajali: Tunatoa tahadhari kwa picha ni mbaya na tunaomba radhi


SAFARI YA MWISHO YA "JOHN S MAGANGA" LEO KATIKA MAKABURI YA KINONDONI

 

Mwili wa marehemu John S Maganga unategemewa kuzikwa leo katika makaburi ya kinondoni kuanzia saa 9 mchana picha ni mwili wa marehemu ukipokelewa kutoka hospital kwa ajili ya sara ya mwisho na maziko. 
R.I.P Jonh s Maganga.

Monday, November 26, 2012

KAMANDA WA POLISI TANGA ATOA UFAFANUZI KUHUSU KIFO CHA SHARO MILIONEA SIKILIZA



MSANII/MUIGIZAJI/MCHEKESHAJI SHARO MILIONEA KUZIKWA KESHO KATIKA MAKABURI YA KINONDONI

Msanii/Muigizaji/Mchekeshaji Hussein Ramadhani Mtioeti (27) maarufu SHARO MILIONEA amefariki dunia katika ajali ya gari jijini Tanga.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga, Prudence Masawe, amethibitisha kutokea kwa ajali na kusema kuwa marehemu amefikwa na umauti baada ya gari lake aina ya Toyota Haria lenye namba za usajili T478DVR kuacha njia na kupinduka.

Hili ni pigo jingine kwa Tasnia ya Filamu nchini Tanzania, hasa ukizingatia kuwa juma lililopita alifariki msanii Mlopelo na wakati Sharo Milionea anafariki tayari tasnia hiyo ya bongo Move ipo katika Msiba mwingine mzito wa Mcheza Filamu John Steven anaetarajiwa kuzikwa kesho.
 
Kamanda Massawe amesema kuwa tukio hilo limetokea majira ya saa mbili usiku wa Novemba 26, 2012 katika kijiji cha Maguzoni Soga Wilaya ya Muheza Mkoani Tanga.

Akisimulia zaidi RPC Massawe anasema kuwa marehemu alikuwa akiendesha gari hilo na alikuwa peke yake bila abiria mwingine na ajali kumfika akiwa katika kijiji hicho kilichopo kati ya segera na Muheza.

“Marehemu ndie alikuwa akiendesha gari lile, na lililopopinduika yeye alirushwa nje kupitia kioo cha mbele na umauti kumfika hapo hapo” alisema Kamanda Massawe.

Aidha Kamanda Massawe amesema msanii huyo alikuwa akitokea jijini Dar es Salaam na alikuwa akienda nyumbani kwao Muheza.

Inakumbukwa kuwa Msanii huyo aliyejizolea umaarufu mkubwa kwa staili yake ya utembeaji na uongeaji alinusurika katika ajali nyinge mapema mwaka huu baada ya basi alilokuwa akisafiria la Taqwa kutoka nchi jirani ya Burundi kupata ajali Mikese mjini Morogoro Januari 5 mwaka huu akirejea Dar es Salaam.
Ergon Elly blog inatoa salamu za Pole kwa Familia, wasanii wa Filamu, Vichekesho na muziki nchini kwa Msiba huo mzito  hasa ukizingatia kuwa bado wapo katika Msiba wa Mcheza filamu John Stephen anaetarai kuzikwa kesho Makaburi ya Kinondoni.

BRAND NEW MUSIC;-DAVID COSMAS - MAMA CHUMBE

TRACK DETAILS
Track Name: MAMA CHUMBE
Artist: DAVID COSMAS
lyrics composed by: DAVID COSMAS AND TIDDY HOTTER
Produced by: TIDDY HOTTER
Studio: ONE LOVE FX MWANZA, TZ
JUNE 2012
VIDEO PRODUCED BY E-MEDIA
Contacts: 0712 560 201

HIZI NI BAADHI YA NYIMBO ALIZO IMBA WAKATI WA UHAI WAKE SHARO NA ZINGINE KASHIRIKISHWA


TAZAMA PICHA YA MAREHEMU SHARO MILIONEA MARA BAADA YA KUPATA AJALI


Labels