ELLY BLOG
Pages
(Move to ...)
Home
▼
Thursday, September 13, 2012
JUMAMOSI TAREHE 15 SEPTEMBA DOGO JANJA ANATIMIZA MIAKA 18
Dogo anayewakilisha KUNDI LA MUZIKI LA "MTANASHATI ENTERTAINMENT" Jumamosi atatimiza miaka 18
“Habari njema kwa mashabiki wangu na marafiki zangu wa karibu, muda mfupi uliopita nimepata simu kutoka kwa baba yangu mzazi. Ananikumbusha tarehe ya birthday yangu 15/09/1994 ndio siku niliyozaliwa so Jumamosi hii nitatimiza miaka 18. Nafurahia kuwapa taarifa hizi. Nawapenda sana”
No comments:
Post a Comment
‹
›
Home
View web version
No comments:
Post a Comment