ELLY BLOG

Pages

▼

Friday, October 26, 2012

MADEE AJITOA TIP TOP CONNECTION.



 


Msanii mahiri wa muziki wa kizazi kipya anayewakilisha pande za manzese, Hamadi Ally 'Madee' kutoka kundi la Tip Top connection, imedaiwa kuwa amejitoa katika kundi hilo na sasa anataka kufanya muziki kivyake na sababu za kujitoa kwake bado hazijulikani.
Unknown kwa Friday, October 26, 2012
Share

No comments:

Post a Comment

‹
›
Home
View web version
Powered by Blogger.