SAFARI YA MWISHO YA "JOHN S MAGANGA" LEO KATIKA MAKABURI YA KINONDONI
Mwili wa marehemu John S Maganga unategemewa kuzikwa leo katika makaburi
ya kinondoni kuanzia saa 9 mchana picha ni mwili wa marehemu ukipokelewa
kutoka hospital kwa ajili ya sara ya mwisho na maziko.
No comments:
Post a Comment