Sikiliza ‘Nataka Kulewa’ ya H.Baba anayodai Diamond ameiba idea (BONGO5)
H.Baba
ameileta Bongo5 cd yenye demo ya wimbo wake 'Nataka Kulewa' ambayo
anadai ameibiwa idea na Diamond.
H.baba ametuletea exclusively kipande cha wimbo wake uitwao ‘Nataka
Kulewa’ ambao amemshirikisha Q-Chief. Msanii huyo anamshutumu Diamond
kuiba wazo na jina la wimbo wake huo katika wimbo wake mpya wenye jina
kama hilo.
Wengi walikuwa hawaamini na kusema
H.baba anatafuta pa kutokea.
No comments:
Post a Comment