Jay Z
Kanye west
Wasanii waliochaguliwa kuwania Tuzo za Grammy 2013 wametangazwa huku Jay
Z na Kanye West wakiwa wasanii waliongoza kuchaguliwa kuwania tuzo
zaidi katika vipengele tofauti tofauti.
Jay Z na Kanye West wamechaguliwa
kuwania Tuzo katika Vipengele 'Category' 6.
Msanii mwingine ambaye naye
yuko ngoma droo kwa kuchaguliwa naye katika vipengele 6 ni Frank Ocean
ambaye hivi karibuni alijitangaza kuwa ni shoga.Anayefatia kwa
kuchaguliwa ni msanii wa R&B Miguel ambaye amechaguliwa mara
5.
Wasanii wengine wa Hip Hop kama Drake, Nas, Lupe Fiasco, Ricky Ross
nao wanawani Tuzo hizo katika 'Category' mbalimbali.Tuzo hizo
zinatarajiwa kufanyika Feb 10 mwakani.

No comments:
Post a Comment