COVER LA ALBUM MPYA YA LIL WAYNE`I AM NOT A HUMAN BEING II' NDIO HILI .
Rapper kutoka YMCMB Lil Wayne ameshirikiana na kampuni ya ubunifu ya Rapper kutoka G.O.O.D Music Kanye West itwayo DONDA katika kutengeneza cover la album yake mpya ya I Am Not A Human Being II Inayotoka March 26th..
Hii Ndio kampuni iliyosimamia Cover la 2 Chainz Based On A TRU Story .
No comments:
Post a Comment