Msanii
wa maigizo nchini na pia anafanya vizuri kwenye Bongo Fleva Hemedy
Suleiman aka PHD amezungumza na Bongo Star Link juu ya ujio wake mpya wa
wimbo wake unaoitwa REST OF MY LIFE akiwa amemshirikisha MR. BLUE.
Hemedy
amesema wimbo huo mkali sana so anatarajia kuutoa siku ya tarehe 1
mwezi wa 4 mwaka huu na wimbo huo umefanyika pale SEI REC, anawaomba
mashabiki wake wakae vizuri anakuja kulivuruga tena game la bongo fleva
baana ya kuwaacha na video kali ya GOING CRAZY
No comments:
Post a Comment