ANGALIA PICHA ZA VIDEO SHOOT YA CRISS BROWN NA NICK MINAJ ''LOVE MORE''
Chris
Brown Na Nicki Minaj wameteka mitaa ya Mjini L.A Kwa pozi tofauti
walizo kuwa wanafanya wakati wa shooting ya video yao mpya ya “Love
More” . Huu ni mmoja ya wimbo ambazo zipo kwenye album mpya ya Chris
Browm' X ' ambayo imebarikiwa na sauti za wasanii kama Kendrick Lamar, Rihanna, Kelly Rowland na wengine.
Bonyeza Read More Uone Picha Zaidi.
No comments:
Post a Comment