Pages

This is default featured slide 1 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by Lasantha Bandara - Premiumbloggertemplates.com.

Tuesday, October 30, 2012

Collabo ya AY na Sean Kingston yakamilika, kesho kumfikia mikononi mwake

Ile ya collabo ya AY na Sean Kingston iliyokuwa ikisubiriwa kwa muda mrefu hatimaye imekamilika. Taarifa hiyo imetolewa leo kupitia Twitter na promoter wa kimataifa Hemdee Kiwanuka ambaye kampuni yake ya networkshowbizz husimamia kazi za AY. Msanii wa nchini Uingereza Ms Triniti ambaye alishawahi kufanya collabo na AY, ataonekana kwenye video ya ngoma ingawa hajashirikishwa kama inavyoonekana kwenye tweets hizi: Tunasubiri...

New Track: Criss Wamarya - Kilometa 6 Remix (Flex)

It's been a while since Criss Wamarya last release the Original version.On his New Remix Kilomita Sita" joint,Criss Wamarya intends to appetise his fans with simething Modern refreshing and club dance beat. Thanks for support me. For Interview Call me: +255 718 777667 Track done at Digital Vibes Producer ...

Sunday, October 28, 2012

BARBIE WINE AKANA KUACHANA NA MUMEWE

Bobi Wine na Barbie walivumishiwa kwamba wanakaribia kuachana, Bobi aliaminika kuachana na mkewe huyo baada ya kuhusishwa na kimwana mwingine Hata hivyo Barbie Wine amejitokeza na kukanusha uvumi huo na kwa kauli yake mweyewe alisema "yeyote aliyesambaza uvumi huo kwamba mimi na Bobi tupo njiani kuachana asahau nimekuwa kimya kuhusu jambo hili lakini 'vidonda vya tumbo' hivi vinazidi kusambaa""Nilishasema hili miaka 12 iliyopita...

THE GAME HATAKI BIFU KATI YA MARIAH CAREY,NICKI MINAJ

Rapa msema ovyo, The Game amekuwa na mawazo tofauti kuhusu bifu lililopo baina ya Nicki Minaj na Mariah Carey, majaji hao wameingia katika bifu zito la majibizano na imefikia wakati Mariah Carey ameajiri ulinzi zaidi huku ikiaiwa kwamba Nicki alisema anatamani kumlipua kwa risasi Mariah, hata hivyo Nicki amekanusha vikali kuhusu kutamka jambo hilo la kihalifu The Game kwamda mrefu amekuwa na bifu lake binafsi na bosi wa lebo yake...

TONI BRAXTON AMEKUMBWA NA 'PRESHA'

Katika shoo yake mpya ya televisheni ya 'Behind The Music', Toni Braxton atazungumzia sanaa yake ya muziki mafanikio na masahibu ya kimaisha yaliyomkuta ikiwamo kufilisika hadi kupata mshutuko Katika kipindi hiko ambacho bado hakijarushwa, Braxton alisema alilazimika kuviweka mnadani vitu vyake vya thamanai zikiwemo tuzo zake za muziki na Grammy"Nakumbuka jinsi nilivyojisikia kudhalilika matatizo yalinipeleka puta mpaka nikapata...

DIAMOND PLATNUMZ NA NATAKA KULEWA (NIACHENI) NIUJIO WAKE MWINGINE

Jipange...

NYIMBO 20 BORA ZA KITULO FM TAREHE 28/10/2012

NAFASI      JINA LA WIMBO           JINA LA MSANII 20;                         Sean Paul                             She Doesn't Mind (10 last week) 19;                    ...

Friday, October 26, 2012

K RECORD'S KESHO JUMAMOSI KUMPATA MSANII ATAKAE SAINI LABLE

Studio ya Kurekodi Musiki ya K RECORD's na Boss wa studio hiyo watakuwa watakuwa wanatafuta mtu/msanii wa kusaini nae lable ya muda wa miaka miwili mchakato wa kumtafuta msanii utafanyika Jumamosi katika Ofisi hizo kuanzia saa saba mchana hadi saa kumi kamili jioni. Majaji katika mchakato huo watakuwa kama ifuatavyo;-FILBETH KABAGO -Mtangazaji wa Passion Fm SHEILA na LOLLI POP - Producer wa K RECORD'S  na mshindi wa kwanza atasaini lable...

KICHUPA CHA WAKUBWA WAJIJI JUMAMOSI HII KINASHUTIWA

Kundi linalofanya vizuri na ngoma ya MUDA kutoka Mwanza si lingine ni WAKUBWA WAJIJI lipo kwenye hatua za mwisho za kufanya Video ambapo Jumamosi hii watakuwa location kwaajili ya kufanya shootin' kundi hilo lipo chini ya MR BIG na Video wanafanya na Show bizzy Defined na Mike T na Audio imefanyika K RECORD's under The Hit Maker Lollipop ...

PICHA MBALIMBALI ZA STUDIO AMBAYO KESHO INAZINDULIWA _ VISION RECORD'S

  Kesho ni uzinduzi wa studio ya kurekodi Mjini makete na ratiba itakuwa;- Saa 10;00 Asubuhi - Mgeni rasmi Ataanza uzinduzi Saa 02;00 Mchana Ukumbini na ndiko shughuli nzima ya kusaka vipaji inakofanyika  Mtangazaji wa Redio Kitulo Fm na Mmiliki wa mtandao huu alipotembelea studio hiyo  Mr Red kushoto kutoka katika kundi la Empowerment  akiwa na Ergon Elly Mr Red katika Picha...

MADEE AJITOA TIP TOP CONNECTION.

v\:* {behavior:url(#default#VML);} o\:* {behavior:url(#default#VML);} w\:* {behavior:url(#default#VML);} .shape {behavior:url(#default#VML);} Normal 0 false false false MicrosoftInternetExplorer4 /* Style Definitions */ table.MsoNormalTable {mso-style-name:"Table Normal"; mso-tstyle-rowband-size:0; mso-tstyle-colband-size:0; mso-style-noshow:yes; mso-style-parent:""; mso-padding-alt:0in...

Wednesday, October 24, 2012

TAMKO LA TOP C KUHUSU KUTOKUTOKA KWA NGOMA YAKE MPYA

SIKU chache  zilizopita  nyota  wa muziki wa  kizazi kipya  aneyewakilisha  kutoka pande za 'T.A' Tanga Top  C alitangaza  kuwa  yu karibu kuiachia  ngoma yake mpya  ambayo anaamini  ni kali kuliko ile iliyompa ujiko hapa town yaani 'sababu ya ulofa'. Lakini  muda umapita  sasa  mkali huyo akiwa  kimya bila  kutoa ngoma  wala  kusema chochote sasa ...

UZINDUZI WA STUDIO YA KUREKODI MUZIKI TAREHE 27,10,2012

Ule uzinduzi uliokuwa unaongelewa katika vyombo vya Habari na Mitandao mbalimbali sasa umewadia ni Tarehe 27,10,2012 na Mgeni rasmi atakuwa Mkuu wa Wilaya ya Makete Mh. Josephine Matiro. Pia kutakuwa na tamasha la kusaka vipaji ndani na nje ya wilaya Fomu zinapatikana kwa 5000/= tu  Kiingilio ni 3000/= kwa wakubwa na watoto ni 1500/=  Happy kamili katika picha mbili tofauti Katika uzinduzi huo mkali wa nyimbo za Injili kutoka...

MARA BAADA YA MAKAMBAKO KUHAPEN LIKE THIS SASA THE GREEN CITY JIPANGENI NI MTIKISIKO 2012

Umati wa watu wakishuhudia wasanii mbalimbali wakiimba katika mtikisiko 2012 makambako   Agness wa Ebony Fm kulia Sio adhabu ni dance show Dj Muba kwenye willz of chumaa Amin Mwinyi Mkuu kulia kutoka THT Mtu cheeeeee...

MJUE D KNOB KUANZIA MWAKA ALIOZALIWA MPAKA MWAKA 2009

Normal 0 false false false MicrosoftInternetExplorer4 st1\:*{behavior:url(#ieooui) } /* Style Definitions */ table.MsoNormalTable {mso-style-name:"Table Normal"; mso-tstyle-rowband-size:0; mso-tstyle-colband-size:0; mso-style-noshow:yes; mso-style-parent:""; mso-padding-alt:0in 5.4pt 0in 5.4pt; mso-para-margin:0in; mso-para-margin-bottom:.0001pt; mso-pagination:widow-orphan; font-size:10.0pt; font-family:"Times...

Tuesday, October 23, 2012

X GIRL FRIEND---- NEW HIT KUTOKA KWA DJ NAS COMIN' SOOON

Hip Hop MC kutoka Stone Town IRINGA na anayefanya vizuri na ngoma yake ya PATA RAHA au CHAP CHAP si mwingine ni Nickson Sanga alimarufu kama DJ NAS yupo kwenye harakati za kuachia ngoma mpya ambayo imeandaliwa na The Hit Maker TEMMY kutoa I MUSIC. Akichonga na mmilikiwa mtandao wa www.ergonelly.blogspot.com DJ NAS amesema Ngoma hiyo inaitwa X Girl Friend na mashabiki wake wakae tayari kwa mzigo mpyaaaa  DJ NAS ni Mtangazaji na DJ wa...

Labels