Lord Eyez baada ya kukamatwa akiiba
Muda mfupi uliopita Ommy Dimpoz ametweet picha hiyo juu na kuandika maelezo haya:
Pia kupitia BBM Ommy ameongeza kwa kuandika:
“Kwenye dp yangu sio ajali ni wezi wa power windows wakiongozwa na
msanii mwenzangu wa bongo flava Lord Eyez ndo wameiba mpaka plate
number tumeshamkamta lakini.”
Lord Eyez akiwa chini ya ulinzi
0 maoni:
Post a Comment