Pages

This is default featured slide 1 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by Lasantha Bandara - Premiumbloggertemplates.com.

Thursday, January 31, 2013

DIAMOND AMKAMATA MMOJA WA WACHAWI WAKE

  Zikiwa zimepita siku 29 tangu alipofanyiwa vurugu za kutosha msanii anayetamba na kazi yake ya Kesho si mwingine Diamond wakati wa show yake aliyokuwa akiifanya ndani ya Maisha Club na kusababisha watu kadhaa kuumia na  chupa kurushwa pamoja na mayai viza.   Huku akiachwa bila ya cheni ,saa wala miwani aliyokuwa amezivaa na kuambulia boooooo kibao siku ya jumamosi Diamond alipokuwa akielekea Kigamboni kwenye show aliyokuwa...

CHRIS BROWN AJITOA INSTAGRAM

  Msanii Chris Brown, ameamua kujitoa katika mtandao wa instagram, siku ya jana, baada ya kuona mambo hayaendi sawa, inawezekana ni kutokana na comment za mashabiki  kwa kile alichokua anakituma na kukiandika, kabla ya kujtoa aliamua kuandika ujumbe huo hapo juu....

Rapper na Producer Timbaland amesaini mkataba na Record lebel ya Jayz `Roc Nation'

  Normal 0 false false false MicrosoftInternetExplorer4 st1\:*{behavior:url(#ieooui) } /* Style Definitions */ table.MsoNormalTable {mso-style-name:"Table Normal"; mso-tstyle-rowband-size:0; mso-tstyle-colband-size:0; mso-style-noshow:yes; mso-style-parent:""; mso-padding-alt:0in 5.4pt 0in 5.4pt; mso-para-margin:0in; mso-para-margin-bottom:.0001pt; mso-pagination:widow-orphan; ...

Wednesday, January 30, 2013

HII NDIZO TOP 10 ZA REDIO KITULO FM [25 JANUARY 2013]

10:-Ngoma Moja - Team Racerz 09:-Utamu - Dully ftn Diamond & Dimpoz 08:-Sina Noma naye - Koba MC 07:-Mtu wa watu - PNC ftn  Janjaro,Z anto,Pingu & Kassim 06:-Kinyulinyuli - Samir 05:-Listen - Belle 9 04:-Jambo jambo - Steve RnB 03:-Bonge la Bwana - Shetta ftn Linnah 02:-Kesho - Diamond 01:-Wazo la leo - StaminA ftn Fid...

Monday, January 28, 2013

Video Ya PRESS PLAY Kutoka Mwisho Wa Mwezi Huu...

     Hivi karibuni tuliona picha za Director Nisher kutoka Nisher Entertainment kutoka A-Town akishuka Bongo, DSM kwa ajili ya kurekodi video ya ngoma mpya ya DJ Choka a.k.a Mr. ApetitePRESS PLAY. Nisher alitua na mzigo ukafanyika, sasa mpya ni kwamba video hiyo itatoka mwisho wa mwezi huu... inayofahamika kama       Ujumbe huo kuhusu video hiyo iliyomuweka Nisher hapa...

BREAKING: PICHA 8 ZA LULU MAHAKAMANI LEO JAN 28 PAMOJA NA MAELEZO YA MASHARTI YA DHAMANA YAKE.

Lulu akiwa anaingia Mahakamani leo january 28 2013 akiwa na shauku ya kupata dhamana. Mahakama kuu leo imetangaza dhamana ya mwigizaji Lulu lakini iwapo atatimiza masharti aliyopangiwa ambayo ni pamoja na kuwasilisha hati yake ya kusafiria, kutosafiri nje ya Dar es salaam, kujiwakilisha au kuripoti mahakamani kila siku ya kwanza ya kila mwezi pamoja na wadhamini wake wawili ambao kila mmoja adhamini kwa shilingi milioni 20 za kitanzania. Upande...

DR CHENI;NIKO TAYARI KUMTOLEA LULU DHAMANA YA SHILINGI MILIONI 20

Muigizaji wa Bongo Movie Dr. Cheni amesema yeye ni miongoni mwa watu walio tayari kumdhamini muigizaji mwenzie Elizabeth Michael maarufu kama Lulu ambaye leo hii mahakama kuu ya Tanzania imempa nafasi ya dhamana. Lulu ambaye kwa zaidi ya miezi saba yupo mahabusu katika gereza la Segerea anakabiliwa na kesi ya mauaji dhidi ya marehemu Steven Kanumba. Akiongea na Clouds FM leo katika mahakama kuu ya Tanzania ambapo kesi hiyo...

Wednesday, January 23, 2013

[AUDIO] IZZO B ftn QUICK ROCKER,NGWEA & RUTH - BALL PLAYER

...

PROMISE NI UJIO MPYA WA MSANII WA KIKE TZ SHAA

        Staa Sara Kaisi Msanii wa Bongo Flava  Shaa anayewakilisha vizuri Tanzania Kupitia Muziki baada ya kuwa kimya kwa muda mrefu Baada ya kuachia single yake ya Mwisho Siri Ya Penzi na nyingine nyingi Siku Ya tarehe 28.01.2013 Ataachia single yake mpya inayokwenda kwa jina la ''PROMISE''. Ngoma hiyo ambayo mashahiri yake yameandikwa na Barnaba na kutayarishwa na ProducerManeck wa Am Records. Shaa ametupia cover...

NISHER:NASHUKURU MUNGU NIMEMALIZA KUTENGENEZA VIDEO MPYA"PRESS PLAY"

Baada ya kuwasili hapa Dar kwa ajili ya kutengeneza video mpya ya Dj choka kutoka B hits inayofahamika kwa jina la Press Play,sasa leo kupitia katika akaunti ya Nisher aliandika ujumbe na kusema kwamba wamemaliza jana ku shooting video mpya ya "Press play" Huu ndiyo ujumbe kutoka katika ukurasa wake wa Facebook ...

[LYRICS] BELLE 9 - LISTEN

Verse 1:                                                        wakufunzi wengi manguli wa mapenzi ila mi sitaki nataka kwako wakufunzi wengi manguli wa mapenzi girl...

Tuesday, January 22, 2013

Manager wa Rapper Game amesema yupo kwenye mchakato wa kurudisha kundi la G-Unit kama wasanii, 50 Cent na Game wata weka tofauti zao pembeni na kutengeneza pesa kwa pamoja .

Manager wa Rapper Game amesema yupo kwenye mchakato wa kurudisha kundi la G-Unit kama wasanii, 50 Cent na Game wata weka tofauti zao pembeni na kutengeneza pesa kwa pamoja .   Fahamu Ni takribani miaka kumi toka umemuona 50 Cent na Game waki share mic na Manager Dontay "Taydoe" Kidd amesema  50 Cent anajua hakuna G Unit bila game na Game anajua G Unit haiwezi kufanya vizuri bila yeye kwa sasa.   Dontay anategemea kutengeneza...

Rapper Izzo Bizness amesema Ball Player Inaanza Audio na ni mara ya kwanza kufanya wimbo na watu watatu.

Rapper Izzo Bizness amesema Ball Player Inaanza Audio na ni mara ya kwanza kufanya wimbo na watu watatu. Izzo amesema ameamua kubadilisha style kidogo kwani ingekuwa ni  marudio ya kazi alizozifanya mwaka jana . Wimbo unatoka kesho na WaTanzania ndio wataamua kama ni ujio mzuri wa Izzo au Akajipange tena . Kwenye wimbo huu ataskika kwa mara ya Kwanza Msanii Ruth aliyefanya Chorus,Izzo amesema kuwa beat ya Ball Player imetengenezwa...

BEN POL ATENGUA MSIMAMO WAKE WAKUTOTAKA FANYA COLLABO NA WASANII WENGINE

Kama unakumbuka vizuri mwaka jana Ben Paul alisitisha kufanya Collabo na msaani yoyote mpaka February 3, 2013, Lakini hapa katikati tumeskia Yatakwisha ft Linnah, Lord Eyes ft Ben Paul - No More Drama na Mama Yoyo Aliyoshirikishwa na G Nako. Leo Ben Paul ametengua kaulia yake kuhusu kusitisha kufanya collabo na kusema atakuwa akifanya collabo kwenye Ngoma nzuri . Ataangalia Potential ya Msanii ,Wimbo wenyewe na Production....

Monday, January 21, 2013

Lady Gaga Kupiga Show Kwenye Tamasha La Kumpongeza Rais Barack Obama

        Tamasha la Barack Obama lililokuwa limepangwa kufanyika january 19 lilisogezwa mbele hadi january 22 na badala yake likafanyika tamasha la family friends wa familia ya Obama. The pop star Lady gaga amepata shavu la kupiga show kwenye tamasha la january 22 ambalo litakua linamhusu Barack Obama na timu yake ya kampeni ikiwa ni kumuintroduce tena Ikulu. The Mother Monster amefuata nyayo za Jay-Z ambae alifanya...

Justin Bieber ashusha boxer na kuonesha makalio yake,ni bangi au hajazoea utu uzima?! Iangalie hapa

Pop and R& B star Justin Bieber amewashangaza fans wake walioshindwa kutafsiri nini chanzo cha haya yote, baada ya kupost picha inayomuonesha kwa nyuma akiwa ameshusha boxer kama sio chup* akiwa na lengo la kuonesha makalio. Bieber amepost picha hiyo kwenye Instagram na baada ya muda mfupi akaamua kuifuta, lakini tayari watu kibao walikuwa wameshaidownload na imezagaa kwenye mitandao kibao. Mwimbaji huyo ambae ndo kwanza amefikisha...

BALL PLAYER NI UJIO MPYA WA HIP HOP ICON KUTOKA MBEYA "IZZO B" JUMATANO HII

  Jumatano hii mashabiki wa Izzo Bizness wategemee kitu kipya kutoka kwake.  Rapper huyo ambaye jina lake halisi ni Emmanuel Simwinga anatarajia kauchia single yake mpya iitwayo ‘Ball Player’ aliowashirikisha Quick Rocka na Ngwair. Izzo amesema kuwa beat ya Ball Player imetengenezwa na Nahreel huku vocal na final mixing ikafanywa na Lamar wa Fish Crub. Amesema wazo la kuja na wimbo wenye jina la ‘Ball Player’ ni kulinganisha...

Sunday, January 20, 2013

SARAH LENORE ASAINI KATIKA LEBEL YA CASH MONEY RECORD LEBEL

YMCMB ni group linaloendelea kukuwa kila siku ,hivi sasa Birdman na Slim maboss wa kundi hilo kum-sign mshiriki wa shindano la  'America's Got Talent' Sarah Lenore katika label  yao ya Cash Money record label.  Sarah Lenore,ni muimbaji kutoka Detroit ambaye alishiriki katika kipindi cha America's Got Talent' kinachorushwa na television ya  NBC hiki ni kipindi cha tv cha kutafuta vipaji vya waimbaji , ameshakubaliana...

PICHA:-RIVER CAMP MASKANI KWA WASANII JOH MAKINI,NIKI WA2,BONTA ARUSHA

Kwenye picha ni Ras Omega ambaye ni moja ya waanzilishi wa River Camp na msanii Nikki Wa pili(Mdogo wa Joh Makini)wakiwa sehemu ya kuingilia ya maskani hiyo iliyopo maeneo ya Uzunguni Arusha. humo ndani kuna matunda ya kila aina Kuna aina ya mboga tofauti tofauti kama unavyoona pichani hizo ni moja ya mboga ambazo nazipenda sana 'Salad' na niliambiwa kuwa kabla ya Joh Makini kuingia kwenye muziki alikuwa na vitalu vyake...

PICHA:DIAMOND AKITANGAZA LIVE KIPINDI CHA COUNTDOWN NDANI YA CHOICE FM

Hii itakuwa ni mara ya kwanza kwa msanii wa Bongo Fleva maarufu kama Diamond Platinumz kwa kuwasha kipaza sauti na kuendesha show ya redio kwa masaa mawili live ndani ya choice Fm 102.5 Fm. ...

[Coming Soon] Video Ya ''KI-UTU UZIMA'' Ya Joh Makini Kuachiwa Hivi Karibuni.

       Msanii wa Rap/Hip-Hop Joh Makini ambaye anatokea kwenye kundi la Weusi, na kufanya vizuri na baadhi ya ngoma zake kama Bye Bye, Stimu Zimelipiwa na nyingine nyingi, hivi karibuni ataachia video yake mpya inayokwenda kwa jina la ''KI-UTU UZIMA'' ambapo mzigo mzima umesimamiwa na kampuni ya I-View Studio...

R.O.M.A Aeleza Maana Ya Mistari Hii Ya 2030

    Mida flani ya leo mchana, msanii maarufu anaetamba na track yake mpya ya 2030, Roma Mkatoliki amefanya kutoka maana ya ya baadhi ya lines zilizo katika ngoma yake mpya hiyo kupitia ukurasa wake wa facebook. ROMA mwenye mistari mikali iliyokaa kimapinduzi, alianza na ule unaouuhusu mji wa Tanga, akiwaambia wana Tanga "TANGA MMEKOSA NINI, AMKENI ACHENI UMWINYI, HAWA WACHAGA HAWATUWEZI ONA MANKA BARA 20"  ...

AMAZONI AJITOA KATIKA KUNDI LA MTANASHATI ENT

          Msanii wa muziki wa kizazi kipya maarufu kama Amazon ameweka wazi kuwa amejitoa Watanashati Entertainment, kwa kile alichodai kuwa Bosi wa kundi hilo ambae ni Hustadhi Juma Na Musoma, alikuwa anataka kumpa mkataba wa milele kitu ambacho kimemfanya Amazoni aone kama ni lengo la kummaliza kimziki.           Amazon alisema kujitoa kwake ni kwa roho safi lakini amesikitishwa sana na...

TOP TWENTY ZA REDIO KITULO FM 20/01/2013

20:-Kesho - Diamond Platnumz(Ingizo Jipya) 19:-Wazo la Leo - Stamina ftn Fid Q(Ingizo Jipya) 18:- 2030 - Roma ftn Story(Ingizo Jipya) 17:-Mapenzi - Rich Mavoko (20) 16:-Zilipendwa - Matonya (14) 15:-Kidela - Abdul kiba(17) 14:Let me Go - Keko (12) 13:-Mtima wangu - Amin ftn Linnah (10) 12:-kunatatizo kwenye nafasi hii wadau 11:-Nimerudi - Chid Beenz ftn Dully  10:-Darasa Huru - Meccacheka ftn Nakaaya (06) 09:-Kelele - Baucha ftn...

Labels