Msanii huyo 1st lady wa kundi la zamani la Fugees
amehukumwa kwenda jela miezi mitatu hii leo katika mahakama iliyopo
anapoishi Newwark New Jersey Marekani.
Lauryn Hill alikuwa afungwe miaka
mitatu jela lakini hukumu yake imepunguzwa hadi kufikia miezi mitatu,
Baada ya kukutwa na kosa hilo la kukwepa kodi kati ya 2005 - 2007.
Hii
itakuwa ni mara ya kwanza kwa Lauryn Hill kuingia jela na pia anaweza
akatoka mapema baada ya mwezi.
0 maoni:
Post a Comment