CP Katika Picha
Msanii wa muziki wa kizazi kipya Ambene Yesaya, pamoja na Cpwaa
wametengeneza video maalum kwaajili ya kuomba kura katika tuzo za Channe
O za Afrika kusini.
AY katika Picha
Cpwaa akitoa amelezo jinsi ya kuweza kufanikisha
wasanii wa ndani ya
nchi ya Tanzania kuibuka ushindi katika tuzo hizo mashuhuri Afrika.
No comments:
Post a Comment