RAPPER TYGA APATA MTOTO WA KIUME.# PICHA NA STORY KAMILI HAPA
 |
| Blac
Chyna And Tyga |
Rapper Wa Young Money `Tyga' mwenye miaka 22 na mpenzi wake
aliyeonekana kwenye video ya Tyga - Rack City ` Blac Chyna wamekaribisha
mtoto wao wa kwanza saa chache zilizopita. Mtoto huyu wa kiume amepewa
jina la King Cairo Stevenson na amezaliwa 16 ,10,2012.
 |
| Tyga
Akimbeba Mtoto Wake |
Tyga Aliingia Twitter Nakutoa Taarifa Hivi.
Blac Chyna Aliandika
Hivi
Na sammisago
No comments:
Post a Comment