Pages

Saturday, July 13, 2013

ORODHA YA WASANII WANAOONGOZA KUZUNGUMZIWA ZAIDI KATIKA MITANDAO YA KIJAMII


Yes Wale Wasanii Wanao Zungumziwa sana kwenye mitandao ya kijamii duniani wametajwa huku mkali wa Young Money, Drake akiwa namba moja kwa kuzungumziwa mara 46,212,641 akifatiwa na Rapper Kanye West aliyeongelewa mara 25,418,362 kwenye mitandao tofauti ya kijamii. Takwimu zinaonyesha kutoka kwa album ya Yeezus na Magna Carta Holy Grail ndio kumesababisha Jayz na Kanye Kuongelewa sana kitu kilichofanya maongezi yao kuongezea mara milioni 5. Orodha Ndio Hii.

1. Drake – 46,212,641
2. Kanye West – 25,418,362
3. Lil Wayne – 22,052,209
4. Rick Ross – 16,113,915
5. Jay-Z – 16,022,820
6. 2 Chainz – 13,628,752

0 maoni:

Post a Comment

Labels