Pages

Thursday, July 18, 2013

HILI NDILO JINA LA ALBUM YA BUSTA RHYMES ''E.L..E 2''


Mashabiki wa Rapper Busta Rhymes wamekuwa wakisubiria kwa hamu kubwa album ya kwanza ya Rapper Huyu tangu ajiunge katika label ya  Cash Money ,sasa Busta Rthymes ametoa jina rasmi la hiyo album baada ya kuachia single ya kwanza ‘Twerk It’ 
 
Albam hiyo itaiwa E.L.E. 2. Ikiwa ni muendelezo wa albam yake ya mwaka 1998   E.L.E (Extinction Level Event): The Final World Front

0 maoni:

Post a Comment

Labels