Onyesho
hili litakuwa ni katika kusindikiza mashindano maarufu ya magari ya Abu
Dhabi Grand Prix, na kwa mujibu wa taarifa za chini chini, Mpunga wa
kutosha tu umetumika kumchukua staa huyu kwaajili ya kupanda jukwaani
siku hiyo.Wasanii wengine ambao watakuwepo katika kufanya onyesho katika tukio hili ni pamoja na Amr Diab, Elissa, Hussain Al Jassmi, Bendi ya Muse kutoka Uingereza na kundi la Depeche Mode kutoka Uingereza pia.






0 maoni:
Post a Comment