
Tamasha la Fiesta lonalotarajiwa kuzinduliwa Kigoma tarehe 17 August,
umetangaza list nzima ya wasanii watakao perfom siku hiyo ambao ni G
Nako, Joe Makini, Nikki wa pili, Godzila, Barnaba, Amini, AY, Stamina,
TID, Shilole, Shetta, Madii, Recho, Baba Levo, Linex, Mwana
FA,Makomando, Ney Wamitego, Cassim Mganga na Nikki Mbishi
0 maoni:
Post a Comment