Lil Twist, mshkaji wa
karibu sana na Msanii Justin Bieber ambaye pia ndiye anahisiwa kuwa bad
influence kwake, ameingia tena kwenye kisa kingine baada ya kukamatwa na
polisi akiwa anaendesha gari la Bieber [Fisker Karma] katika hali
isiyokuwa ya kawaida - dalili zote zikiwa zinaonyesha kuwa kuna kitu
ametumia kidogo ambacho kilikuwa 'kimetwist' akili yake
>>>>> mos definitely 'tungi'.


0 maoni:
Post a Comment