Pages

Thursday, July 04, 2013

LULU AKIRI KUTOKUWA KATIKA MAHUSIANO YA KIMAPENZI NA MWANAUME YEYOTE

Muigizaji wa filamu nchini Tanzania Elizabeth Michael (Lulu), amefunguka kwa mara ya kwanza tangu alipotoka rumande, kupitia kipindi cha "Take one" kinachorushwa Clouds Tv.
 
Lulu ameongea mengi ikiwemo sababu za yeye kukaa kimya tangu awe huru, mambo asiyokuja kuyasahau maishani mwake,pamoja na project anayoifanya kwa sasa

0 maoni:

Post a Comment

Labels