Pages

Tuesday, July 02, 2013

PICHA | MTOTO WA MIEZI MINNE ATUPWA JALALANI AKIWA HAI JIJINI DAR ES SALAAM


 Huyu ndiye malaika wa Mungu aliyetelekezwa maeneo ya bamaga nje ya chuo cha ustawi wa jamii karibu na TBC hapa akiwa amebebwa na mmoja wa mfanyakazi wa ITV baada ya wasamaria wema kumleta ITV,Anayeonekana kwa nyuma ni mmoja wa vijana waliomuokota mtoto huyo.
 Hembu angalia jinsi katoto kalivyo kazuri kenyewe kanahisi kako na mama yake 
kumbe msamaria mwema.
 
 
 
 

0 maoni:

Post a Comment

Labels