Usiku wa kuamkia leo kulifanyika Shindano la kumsaka mrimbwende wa
Temeke, ambapo Svtlona Nyameyo aliwamwaga warembo 15 na kuibuka kidedea,
huku nafasi ya pili ikitua kwa Narietha Boniface na Latifa Mohamed
akifunga pazia la Tatu Bora itakayojiunga katika kambi ya Taifa ya
kumsaka Miss Tanzania 2013/14.
wing888 slot เกมสล็อตแตกง่าย บริการไวปลอดภัยสูง
2 months ago






0 maoni:
Post a Comment