Picha
ya Ubungo asubuhi hii, magari ya abiria na binafsi yanayotoka maeneo ya
Kimara yanatakiwa kuishia kituo cha Rombo alafu watu watembee kwa mguu
mpaka Ubungo ambako kuna ulinzi mkali kwenye ziara ya Obama, bodaboda
wanatoza elfu 5 mpaka 6 kukupeleka Ubungo.
0 maoni:
Post a Comment