katika hiyo track Jigga amezungumzia fununu ambazo anahusishwa nazo kwa muda mrefu kuwa anaamini dini ya kishetani Illuminati Jay
kupitia track hiyo ameelezea kuwa watu wanampigia kelele kama ni
Illuminati ,wanashindwa kuamini kama ujuzi na nguvu alizo nazo vinaweza
kupatikana kwenye mwili wa mwanadamu..
"Conspiracy
theorists screaming Illuminati/ They can't believe this much skill is
in the human body/ He's 6'2 how the (expletive) he fit in a new
Bugatti/..Question religion/Question it all/ Question existence/ Until
them questions are solved."amerap jay z..
check baadhi ya mashahiri..
0 maoni:
Post a Comment